Gaza kubadilishwa jina na kuwa "West Israel"

Gaza kubadilishwa jina na kuwa "West Israel"

Baada ya Trump kumpa rungu Netanyahu kwa kumpatia silaha za kila aina ili kuingamiza Gaza.
Nchini Israel wameshatoa jina jipya Kwa eneo lote la Gaza baada ya kuondolewa wapalestina wote kwenda Egypt na Jordan

Katika mkutano wao Kati ya Trump na Netanyahu wamekubaliana kuwaondoa wapalestina wote ili kutengeneza Gaza mpya ambayo inaitwa west Israel.

Trump ameongea na waandishi wa habari na kuwaambia kuwa "haoni kama Israel inaweza kuachia Gaza tena bila Wapalestina wote waondoke"

Huu ni mfupa ngumu sana kwa Netanyahu na Trump kama wataweza kuwaondoa wapalestina, tuache tusubiri tuone itakuaje View attachment 3225803

View: https://x.com/THEREALJEW613/status/1886981794274177411
 
Naanza kuamini hata ile sijui hamas walivamia ndani ya Israel wakaua na kuteka watu ilikua ni mpango wa hawa jamaa kupata sababu ya kuwafukuza hawa wapalestina.halafu eti Israel ilivyo na intelligence kali hawajui mpaka leo mateka wao wako wapi na wakati tunaambiwa wako hapo hapo Gaza.?how comes Israel hawajui mateka walipo ila wanajua viongozi wa Hamas walipojificha?
 
Back
Top Bottom