Gaza kubadilishwa jina na kuwa "West Israel"

Sasa huyu Trump mbona anatuchanganya sisi Kobazi? Tulimuunga mkono kwa kupinga kwake homosexuality na ndoa za 'kikanjanja' ambapo ndoa inapo things fall apart mwanamke anataka apewe 50% ya mali. Huko kote tulimuunga mkono. Ila hili la Palestina anatuweka njiapanda sana huyu Mwanaizaya! 😆😂
 
Mkubwa ni Mkubwa tuu, Marekani Ikiamua Gaza Asikae mtu hakuna Nchi itasema kinachotakiwa ni Busala itumike alafu hamas Wajue walichofanya Ndio Kinawacost vizazi Vyao Vyote Amani haitafutwi kwa Mtutu Ukiona Mtu Amekuzidi Nenda naye Kisiasa Na Mambo Yatakaa Sawa Japo Yatachukua Muda lakini Mtaeleweka lengo na Mtajijenga Kiuchumi Mzuri na Kuheshimika
 
So hapa kilichokufurahisha ni nini? Waislam kumuunga mkono kwa kupinga ushoga na kutokubaliana nae msimamo wake juu ya gaza au kuna lingine?? Acha ushambenga utaolewa
 
Trump mpaka muda huu sijamuelewa kabisa kauli zake na haya anayoyafanya ila muda ni Mwalimu
Utamuelewa vipi mtu ambaye ikitokea akapimwa na madaktari wa magonjwa ya akili, lazima agundulike na tatizo la ukichaa!!
 
Kuwaondoa wapalestina gaza ni uhamuzi sahihi kwa upande wa Israeli...ni kete matata sana wanayo taka kuicheza ...kama watatumia muda vizuri ...ni ngumu kuwa na amani baina ya Israeli na Palestina kutokana na vitabu vyao vya dini hasa dini ya mudi boy ...kitu ambacho waislamu wanashindwa kukijua ni kwamba kuna tofauti baina ya ukristo na uisrael waisrael nao wanaimani ambayo nayo misingi yake inachagiza kumwagana damu kwa sababu ndivyo torati ilivyo
 
Wataondoka ....nchi pekee iliyo na uwezo wa kuzuia jambo hilo ni urussi
 
Sawa ngoja tuone
 
Wakiita west israel mbona haijakaa vizuri? Ina maana kuna israel mbili kama ilivyo sudan mbili. Ingebaki hivyohivyo gaza maana ipo tangu kale
 
Kobazi wamenuna,walitaka igeuza gaza kuwa kambi kuu ya magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…