Gaza kubadilishwa jina na kuwa "West Israel"


View: https://x.com/THEREALJEW613/status/1886981794274177411
 
Naanza kuamini hata ile sijui hamas walivamia ndani ya Israel wakaua na kuteka watu ilikua ni mpango wa hawa jamaa kupata sababu ya kuwafukuza hawa wapalestina.halafu eti Israel ilivyo na intelligence kali hawajui mpaka leo mateka wao wako wapi na wakati tunaambiwa wako hapo hapo Gaza.?how comes Israel hawajui mateka walipo ila wanajua viongozi wa Hamas walipojificha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…