Gaza: Mpaka sasa, Watu zaidi ya 1,055 wamekufa na 5,000 kujeruhiwa

neno ni upanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
494
Reaction score
1,656
Habari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo Gaza watalala giza!

Hawa jamaa saivi wanajuta walichokifanya Israel, unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia!!
 
Habari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo gqza watalala giza! Hawa jamaa saivi wanajuta walichokifanya Israel, unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia!!
Hivi kwanini watanzania wengi hupenda kushabikia vita vya nje hata kama hatuna masirahi ya moja kwa moja uko nje huvi ni elimu duni au ujinga?........
Simanishe huyu mleta mada ni kwamba naona watu wanashanikia sana vita ya Urusu na Ukuraini
 
Israel wanakimbilia 2000
 
Mbona nyie mlishabikia kwa furaha vifijo Israel ilivyopigwa na hammas mkasema Palestine wamechoka kuonewa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwanini watanzania wengi hupenda kushabikia vita vya nje hata kama hatuna masirahi ya moja kwa moja uko nje huvi ni elimu duni au ujinga?........
Simanishe huyu mleta mada ni kwamba naona watu wanashanikia sana vita ya Urusu na Ukuraini

Hivi kwanini watanzania wengi hupenda kushabikia vita vya nje hata kama hatuna masirahi ya moja kwa moja uko nje huvi ni elimu duni au ujinga?........
Simanishe huyu mleta mada ni kwamba naona watu wanashanikia sana vita ya Urusu na Ukuraini
Halafu vya bandari kimyaaa. Huoni Media za Tanzania zikiongea ongeaa . Ila wakipata topic utaona media zote inaongelea live VIta. Ujingaaa
 
Habari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo Gaza watalala giza! Hawa jamaa saivi wanajuta walichokifanya Israel, unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia
Hali siyo imezidi kuwa mbaya, Bali hali ya Sasa imezidi kuwa nzuri zaidi. Magaidi 1055 yameuliwa
 
Hivi kwanini watanzania wengi hupenda kushabikia vita vya nje hata kama hatuna masirahi ya moja kwa moja uko nje huvi ni elimu duni au ujinga?........
Simanishe huyu mleta mada ni kwamba naona watu wanashanikia sana vita ya Urusu na Ukuraini
Elimu duni na ujinga vyote kwa pamoja...
 
Wamekula wameshiba wamekosa kazi za kufanya wameona wauwane wenyewe Kwa wenyewee kisaa tu huyu n mwisrael na huyu n mpalestinaa ..
 
Hivi kwanini watanzania wengi hupenda kushabikia vita vya nje hata kama hatuna masirahi ya moja kwa moja uko nje huvi ni elimu duni au ujinga?........
Simanishe huyu mleta mada ni kwamba naona watu wanashanikia sana vita ya Urusu na Ukuraini
Wanàamini Israel ni mkristu mwenzao
 
Halafu vya bandari kimyaaa. Huoni Media za Tanzania zikiongea ongeaa . Ila wakipata topic utaona media zote inaongelea live VIta. Ujingaaa
Kweli au ndo hizo laana zinazo semwa kwamba tz tume laaniwa
 
Habari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo gqza watalala giza! Hawa jamaa saivi wanajuta walichokifanya Israel, unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia!!
Na wayahudi waliokufa wangapi mpaka sasa? Mbona hujasema?

Masaa matatu nyuma idadi ya wayahudi waliokufa iilikuwa zaidi ya 1,200 kwa mujibu wa wion.

Au hilo hulifahamu?
 
Back
Top Bottom