FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Usi
Wasiwasi wewe wa nini?Ya sasa hivi ni balaa pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiwasi wewe wa nini?Ya sasa hivi ni balaa pole
Hivi ulikuwa huelewi vita ya tatu ya dunia imeshaanza?Pande zote mbili zina kundi kubwa la watoto, wanawake na vikongwe wasio na hatia acheni upumbavu kushangilia damu kumwagwa i dont care uko pande gani! Member waliokua wanaheshimika humu wanatapika tuu na kujivua nguo. Hamjui kinavoendelea kuchafuka huko itakuja hadi huku! Domino effect.
Pray for the children 🙏
Mmmh wangejua hulka ya muyahudi na mwarabu dhidi ya ngozi nyeusi wange ka kimya tu......naona ni limbukeni pamoja na elimu duni.
Ulikuwa unashabikia na kuungana na wapelestina walipovamia waisrael na kuwauwa. Sasa hivi unasema Myahudi mchokozi.Myahudi siku zote ndiyo mchokozi, mwezi uliopita kauwa watu gaza.
Tulia andika vizuri. Kenge nyie mnaikorofisha Israel mlifikiri mtachekewa?. Na hapo bado mpaka uchanganye herufi kubwa na ndogo ndio tutaelewanaHivi kwanini watanzania wengi hupenda kushabikia vita vya nje hata kama hatuna masirahi ya moja kwa moja uko nje huvi ni elimu duni au ujinga?........
Simanishe huyu mleta mada ni kwamba naona watu wanashanikia sana vita ya Urusu na Ukuraini
Umekua mpole subiri wapelekewe motoUsi
Wasiwasi wewe wa nini?
Hahahaaa!Uzuri hapo Ghaza na majengo ya wanaisrael pia yapo.Bado.
Hataki mazungumzo yoyote, anatembezea kichapo cha nguvu mpka idadi ya waisrael waliouliwa wafidiwe.
Wanatakiwa wapelestina wafe zaidi ya mara 10 kwa idadi ya waisrael waliokufa ndiyo afanye hayo mazungumzo ya mateka ya wanajeshi.
Hiki ki mama hikiNa wayahudi waliokufa wangapi mpaka sasa? Mbona hujasema?
Masaa matatu nyuma idadi ya wayahudi waliokufa iilikuwa zaidi ya 1,200 kwa mujibu wa wion.
Au hilo hulifahamu?
Kimekukosea nini? Kimama'ko kimo humu JF? Niongee nacho kiutu uzima, maana naona hakijakufunda vyema kwa hizo lugha zako.Hiki ki mama hiki
Palestine ilikuwepo na itaendelea kuwepo. Tena sasa ndiyo inaelekea kupta nchi yake. Hayo ya kuuliwa wapalestina hayajaanza leo wala jana, lakini unaonesha una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikii.Umekua mpole subiri wapelekewe moto
Gaza pekee walokufa ndo hao,bado hujaongelea wapiganaji wa Hamas walioingia Israel na kuchinjwa huko ambapo inasemwa ni takriban 800Na wayahudi waliokufa wangapi mpaka sasa? Mbona hujasema?
Masaa matatu nyuma idadi ya wayahudi waliokufa iilikuwa zaidi ya 1,200 kwa mujibu wa wion.
Au hilo hulifahamu?
Hamas walishakufa siku nyingi, usiwahesabu kabisa ni maiti zinazotembea.Gaza pekee walokufa ndo hao,bado hujaongelea wapiganaji wa Hamas walioingia Israel na kuchinjwa huko ambapo inasemwa ni takriban 800
Na wayahudi waliokufa wangapi mpaka sasa? Mbona hujasema?
Masaa matatu nyuma idadi ya wayahudi waliokufa iilikuwa zaidi ya 1,200 kwa mujibu wa wion.
Au hilo hulifahamu?
Hakika itafika,sasa hivi number inapanda kwa kasi.Nimeona kule Istagram Wapalestina wanalalamika kuna watu wengi sana wamefukiwa chini ya vifusi na hawana vifaa wala uwezo wa kuwaopoa.Mtu mmoja alikuwa analia kuwa ndugu zake zaid ya 18 wako ndani ya vifusi kwa hilo jengo lililoshushwaHadi wafike 10000
Update ipi tena? Za kuambiwa changanya na zako.Hebu tupe tena update kwa sasa kwa mujibu wa wion? Naona number zinapanda kwa kasi sana upande mmoja.
Kidogo sana hiyo, siku moja au mbili zijazo tutaongelea malaki.Hakika itafika,sasa hivi number inapanda kwa kasi.Nimeona kule Istagram Wapalestina wanalalamika kuna watu wengi sana wamefukiwa chini ya vifusi na hawana vifaa wala uwezo wa kuwaopoa.Mtu mmoja alikuwa analia kuwa ndugu zake zaid ya 18 wako ndani ya vifusi kwa hilo jengo lililoshushwa
Naomba nisaidie hiyo link tafadhari kama hutojaliUpdate ipi tena? Za kuambiwa changanya na zako.
Nenda kwenye ile link ya wion ni live ile, nao wameshanunuliwa na wayahudi.
Hujuwi kuwa media za Internet ni biashara kubwa sasa hivi?