Gaza: Mpaka sasa, Watu zaidi ya 1,055 wamekufa na 5,000 kujeruhiwa

Gaza: Mpaka sasa, Watu zaidi ya 1,055 wamekufa na 5,000 kujeruhiwa

Wameshaongeza idadi inakaribia 1300. Lakini hawa jamaa siyo wa kuamini wanaweza kuwa wanaongeza figures ili kujustify kuendelea kuvurumisha mabomu Gaza.
Swali la udadisi: Kwa nini Egypt hataki kufungua mpaka wake na Gaza ili watu wapate pa kukimbilia?
Wakiingia Misri nao watajumuishwa kwenye orodha ya magaidi.
Maana Hamas watakuwa wanarusha makombora kutoka Misri kwenda Israel na watakachofanya Israel nao watayarudisha Misri. Sasa nani anakubali hasara?
Huwezi kuchezea sharubu za Simba akakuangalia tu
 
Hivi wanajeshi wa Israel waliotekwa wamakombolewa tayari![emoji23][emoji23][emoji23][emoji14]
Bado.
Hataki mazungumzo yoyote, anatembezea kichapo cha nguvu mpka idadi ya waisrael waliouliwa wafidiwe.
Wanatakiwa wapelestina wafe zaidi ya mara 10 kwa idadi ya waisrael waliokufa ndiyo afanye hayo mazungumzo ya mateka ya wanajeshi.
 
sasa hv vilio vya mitandaoni kwann msiviache maana tiktok kote huko watu wanalia kuwa wapalestina wanaonewa kwa hiki kipigo wanachopata [emoji16][emoji16][emoji16]
Kipindi wao wanaenda kuwauwa waisrael kwenye tamasha la muziki mbona hawakusema kitu?
"Nikanyage kwa bahati mbaya, nikulipue kwa makusudi"
Waongee na HAMAS vizuri maana anachofanya Israel ni kurudisha chenji iliyobakia
 
Myahudi siku zote ndiyo mchokozi, mwezi uliopita kauwa watu gaza.
Tufanye hivi, either nikutafutie usafiri ukaongeze nguvu ya mapambano kule uwanja wa kivita, au endelea kulia lakini punguza sauti, lilia kwapani.
Unachagua kipi?
 
Habari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo Gaza watalala giza!

Hawa jamaa saivi wanajuta walichokifanya Israel, unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia!!

i stand with palestina
 
Nadhanii HAMAS waliamini responce ya wanaowapa backup iyakuwa asap according to matukio


Lebanon wanafanya mistake kubwa kuhost mashambulizi ya Hezbollah kutupa makombora Israel.
Wakimalizana na hamas anafuata lebanon
 
Egypt kafunguwa mpaka na katuma magari yenye misaada kwa wapalestina, Wayahudi wamyarushia mabomu yakarudi. Wayahudi ndiyo waliofunga mipaka yote ili wawamalize wapalestina.

Wayahudi wanafanya mauwaji ya Kimbari (genocide).
Inabidi wamalizwe kabsa yaani wa israeli wawachakate wapalestina kama hawana akili nzuri yaani piga piga kanyaga ua magaidi wote
 
Mmmh wangejua hulka ya muyahudi na mwarabu dhidi ya ngozi nyeusi wange ka kimya tu......naona ni limbukeni pamoja na elimu duni.
Huku ni kujichosha.Unaweza kuwapangia watu kitu cha kuwaza au kushabikia kweli?
 
Inabidi wamalizwe kabsa yaani wa israeli wawachakate wapalestina kama hawana akili nzuri yaani piga piga kanyaga ua magaidi wote
Wameshindwa kuwamaliza toka 1948 wataweza leo wakati wamekula kichapo na bado hakijaisha.
 
Hilo la kuonewa wa Wapalestina tunalilia toka tumezaliwa, hata nyerere alilililia sana mapaka akawafukuza Wayahudi Tanzania na akafunga ubalozi wao na kukata kabisa mahusiano nao.
Kwa hiyo leo mnamsifia Nyerere.! Watu kwa unafiki tu hamjambo.
 
Wameshindwa kuwamaliza toka 1948 wataweza leo wakati wamekula kichapo na bado hakijaisha.
Nyie mnaounga mkono ugaidi siku chache zijazo matukio yatakayotokea huko Gaza yatawafanya mtoweke kabisa kwenye jukwaa hili, ngoja tusubiri.
 
Nyie mnaounga mkono ugaidi siku chache zijazo matukio yatakayotokea huko Gaza yatawafanya mtoweke kabisa kwenye jukwaa hili, ngoja tusubiri.
Ya Gaza hayajaanza leo, labda kwako ni mageni.

Yapo toka 1948.
 
Wewe huna akili mimi naeleza hali halisi kuwa waisraeli wengi wamekufa kuliko wapalestina.kuanzia sasa hivi ni wajinga tu ndio watakaokubali propaganda kuwa Israel au Mosad hawapigiki.
Kwa bahati mbaya waswaili wengi wako hivyo, kwao Waisrael ni Miungu wadogo wa Dunia, they can do anything with impunity bila ya kuhojiwa na yeyote au kuburuzwa ICC.
 
Back
Top Bottom