KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Hahahaaa!Haka kaswali kangu naona hakajibiwi,wakulu bado mnajitafuta.Hivi wanajeshi wa Israel waliotekwa wamakombolewa tayari![emoji23][emoji23][emoji23][emoji14]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa!Haka kaswali kangu naona hakajibiwi,wakulu bado mnajitafuta.Hivi wanajeshi wa Israel waliotekwa wamakombolewa tayari![emoji23][emoji23][emoji23][emoji14]
Wakiingia Misri nao watajumuishwa kwenye orodha ya magaidi.Wameshaongeza idadi inakaribia 1300. Lakini hawa jamaa siyo wa kuamini wanaweza kuwa wanaongeza figures ili kujustify kuendelea kuvurumisha mabomu Gaza.
Swali la udadisi: Kwa nini Egypt hataki kufungua mpaka wake na Gaza ili watu wapate pa kukimbilia?
Bado.Hivi wanajeshi wa Israel waliotekwa wamakombolewa tayari![emoji23][emoji23][emoji23][emoji14]
Kipindi wao wanaenda kuwauwa waisrael kwenye tamasha la muziki mbona hawakusema kitu?sasa hv vilio vya mitandaoni kwann msiviache maana tiktok kote huko watu wanalia kuwa wapalestina wanaonewa kwa hiki kipigo wanachopata [emoji16][emoji16][emoji16]
Myahudi siku zote ndiyo mchokozi, mwezi uliopita kauwa watu gaza.Katika mashambulizi haya. Nani wa kwanza kumchokoza mwenzake
Tufanye hivi, either nikutafutie usafiri ukaongeze nguvu ya mapambano kule uwanja wa kivita, au endelea kulia lakini punguza sauti, lilia kwapani.Myahudi siku zote ndiyo mchokozi, mwezi uliopita kauwa watu gaza.
Habari wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya huko gaza mpaka sasa idadi imefikia 1055 na majeruhi, zaidi ya 5000 lakini pia umeme wa solar nao umegoma kabisa kufanya kazi kwa maana hiyo Leo Gaza watalala giza!
Hawa jamaa saivi wanajuta walichokifanya Israel, unachokoza nyuki na hauna pa kukimbilia!!
Wakimalizana na hamas anafuata lebanonNadhanii HAMAS waliamini responce ya wanaowapa backup iyakuwa asap according to matukio
Lebanon wanafanya mistake kubwa kuhost mashambulizi ya Hezbollah kutupa makombora Israel.
Inabidi wamalizwe kabsa yaani wa israeli wawachakate wapalestina kama hawana akili nzuri yaani piga piga kanyaga ua magaidi woteEgypt kafunguwa mpaka na katuma magari yenye misaada kwa wapalestina, Wayahudi wamyarushia mabomu yakarudi. Wayahudi ndiyo waliofunga mipaka yote ili wawamalize wapalestina.
Wayahudi wanafanya mauwaji ya Kimbari (genocide).
Kwani wanashindana kuua raia?Wewe huna akili mimi naeleza hali halisi kuwa waisraeli wengi wamekufa kuliko wapalestina.kuanzia sasa hivi ni wajinga tu ndio watakaokubali propaganda kuwa Israel au Mosad hawapigiki.
Huku ni kujichosha.Unaweza kuwapangia watu kitu cha kuwaza au kushabikia kweli?Mmmh wangejua hulka ya muyahudi na mwarabu dhidi ya ngozi nyeusi wange ka kimya tu......naona ni limbukeni pamoja na elimu duni.
Wameshindwa kuwamaliza toka 1948 wataweza leo wakati wamekula kichapo na bado hakijaisha.Inabidi wamalizwe kabsa yaani wa israeli wawachakate wapalestina kama hawana akili nzuri yaani piga piga kanyaga ua magaidi wote
Kwa hiyo leo mnamsifia Nyerere.! Watu kwa unafiki tu hamjambo.Hilo la kuonewa wa Wapalestina tunalilia toka tumezaliwa, hata nyerere alilililia sana mapaka akawafukuza Wayahudi Tanzania na akafunga ubalozi wao na kukata kabisa mahusiano nao.
Nyie mnaounga mkono ugaidi siku chache zijazo matukio yatakayotokea huko Gaza yatawafanya mtoweke kabisa kwenye jukwaa hili, ngoja tusubiri.Wameshindwa kuwamaliza toka 1948 wataweza leo wakati wamekula kichapo na bado hakijaisha.
Ya Gaza hayajaanza leo, labda kwako ni mageni.Nyie mnaounga mkono ugaidi siku chache zijazo matukio yatakayotokea huko Gaza yatawafanya mtoweke kabisa kwenye jukwaa hili, ngoja tusubiri.
Ya sasa hivi ni balaa poleYa Gaza hayajaanza leo, labda kwako ni mageni.
Yapo toka 1948.
Katika mashambulizi haya. Nani wa kwanza kumchokoza mwenzake
Hata masika mvua waga zinanyesha sana lakini kuna siku inanyesha zaidi.Ya Gaza hayajaanza leo, labda kwako ni mageni.
Yapo toka 1948.
Wewe "sikiaga" tu.Hata masika mvua waga zinanyesha sana lakini kuna siku inanyesha zaidi.
Kwa bahati mbaya waswaili wengi wako hivyo, kwao Waisrael ni Miungu wadogo wa Dunia, they can do anything with impunity bila ya kuhojiwa na yeyote au kuburuzwa ICC.Wewe huna akili mimi naeleza hali halisi kuwa waisraeli wengi wamekufa kuliko wapalestina.kuanzia sasa hivi ni wajinga tu ndio watakaokubali propaganda kuwa Israel au Mosad hawapigiki.