Gaza: Mpango wa amani kati ya Israel na Hamas uko karibu kufanikiwa

Kundi la wapiganaji la HAMAS limekubali wanajeshi wa ISRAEL Kubaki ukanda wa GAZA, katika kile kinachoonekana kubadili msimamo wake wa awali ambao ulikwamisha upatikanaji wa mpango wa kusitisha vita.
Wamelegeza msimamo baada ya vifo vya Wapalestina takribani 44,000.

War is more than evil.
 
Matumaini mapya ya kusitisha vita vya GAZA yaanza kuonekana mara baada ya Wapatanishi (Misri na Katari) kueleza kuwa, kundi la wapiganaji la HAMAS limebadili Msimamo wake wa awali wa kutotoa orodha ya mateka walioko hai mpaka sasa.

Kundi la wapiganaji la HAMAS limekubali wanajeshi wa ISRAEL Kubaki ukanda wa GAZA, katika kile kinachoonekana kubadili msimamo wake wa awali ambao ulikwamisha upatikanaji wa mpango wa kusitisha vita.

Kundi la HAMAS tayari limekabidhi orodha ya mateka walioko hao mpaka sasa,wakiwemo raia wa Marekani,ambao wataachiwa huru chini ya mpango huu wa kusitisha vita. Hii ni kwa mjibu wa wapatanishi kutoka Misiri na Katar.

Ikumbukwe kuwa,kikwazo kikuu kilichokwamisha mipango ya kusitisha mapigano, ni misimamo mikali kutoka pande zote mbili za kukataa kulegeza mashariti yao. Kundi la HAMAS liliitaka ISRAEL kufanya yafuatayo kabla ya kuwaachilia mateka wote;

1. Kuondoa wanajeshi wake wote kutoka GAZA

2.Kuwaachilia maelfu ya wafungwa wa kipalestina walioko kwenye jela mbalimbali za ISRAEL.

3. Kuondoa Msingiro wa GAZA ambao umedumu tangu mwaka 2005.

Hata hivyo, baraza la vita la Israel likiongozwa na waziri mkuu BENJAMIN NETANYAHU lilikataa mashariti hayo ya HAMAS na kuapa kuendelea la Vita mpaka pale malengo yake yatakapotimia. Lakini,ISRAEL ilikubali shariti la kuwaachia wafungwa wa kipalestina kutoka kwenye jela za ISRAEL.

View: https://x.com/IhabHassane/status/1868351066347119018
 
mbona kobaz wanasema Hamas wameshashida vita? na Israel imeshindwa kukomboa mateka
 
Gaza imechakaa.Zayuni kafanya matusi sana pale.
 
Unagonga mvinyo huku mbele watoto wakali 72 wanacheza cheza tu..
 
Back
Top Bottom