Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS

Hapa anasubiliwa muajemi tu sema naye kawa mjanja sn ameshanusa harufu kuwa yy ndiye target amebaki kupiga porojo tu huko pembezoni lkn hatii mguu.
 
Kila
Nikikumbuka mauaji ya mtanzania Joshua hakika naungana na Israel nasema piga hao mbwa mpaka wanyooke
 
Hamas walipochimba matanuli yao ya kilomita nyingi, walijiaminisha Sasa kuwa wanaweza kufanya lolote kwa Israel na wakashinda, siku zote Hamas Wana wazo la kufuta Israel, lakini je, wataweza? Hili suala liko kiimani zaidi. Miaka ya 580 Mungu alinena kupitia manabii wake Zakaria, Ezekiel na Amos kuwa, Israel wamesahau Mungu, na akasema atawatawanya eneo Hilo, ikatokea mwaka 135 AD Waisraeli walipigwa na Warumi na kutawanywa. Mungu alisema pia kuwa atawarejesha Israel na walirejea mwaka 1948. Pia Mungu alisema Kuta za Gaza zitawaka moto (Amos 1:6-7) na yanatokea Sasa Kuta za Gaza zinawaka Mungu pia alisema atakapowarudisha Israel, hakuna wa kuwatoa (Amos 9:15). Haya maneno yalishasemwa miaka ya nyuma 580 BC na Sasa yanatimia,bado moja, kwamba watakaporejeshwa hakuna wa kuwatoa, hili tusubiri tuone, nani atawatoa Waisraeli? Je, UN? Je, maandamano ya Dunia? Wapalestina wakae kwa kutulia, vinginevyo hawataweza, wakikomaa watafutwa mazima.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kila

Nikikumbuka mauaji ya mtanzania Joshua hakika naungana na Israel nasema piga hao mbwa mpaka wanyooke

1. Uliwahi kuyakumbuka mauaji ya Ben, Mawazo, Lijenje, Azory au wale was kwenye viroba?

2. Uliwahi kukumbuka kuna watanzania waliwahinkufa Congo, Uganda, msumbiji, Zimbabwe Nk?

3. Siyo ungejitathmini labda utakuwa ni mnafiki, time saver fulani tu mwenye kudhani Israel ni wajomba zake Mungu.
 
1. Kwa hiyo huku kwenye kauli yako hii, tulimalizana?

View attachment 2849004

2. Kama #1 kwa hiyo sasa umekuja kiimani zaidi?

3. Kama #2 ni kweli, unasemaje kuhusu hili?

Kama Maji Maji au Mau Mau ilikuwa halali, iweje lawama kwa wapalestina?
Ndiyo suala la Palestina liko kiimani zaidi, Nabii Zakaria aliishi miaka ya 591 BC na Mungu alinena kupitia kinywa chake kwamba, "Nitaifanya Yerusalemu(Israel) kuwa jiwe zito, kila atakayejaribu kunyanyua jiwe Hilo atapata jeraha nyingi (Zakaria 12:2-12). Mataifa ya Dunia yataungana kuishambulia Israel, lakini yatapata jeraha nyingi. Maandamano ya Dunia yameanza kuhusu suala hili la Hamas, mwisho hayatakuwa maandamano tu, Mataifa wataunganisha majeshi kuishambulia Israel, na unabii utatimia, jeraha nyingi watapata mataifa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yaaaani nyieempaka mseemeeee maaamaaee nyinyiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘
 
Usiwe kama mtu asiejielewa, kwani hufahamu kuwa kumbukumbu huja kutokana na kisababishi? Hii post yako inaongelea Hamas afu nikumbuke ya nyuma ilhali mawazo yangu yapo Gaza???

Unafiki ni kujifanya una uchungu na ngozi nyeupe kisa sababu unayojua wewe, ilhali mi nikionesha uchungu kisa kuuwawa kikatili mtanzania mwenzangu niwe mnafiki?

Kama ndivyo na iwe mara 100, ila wale mbwa wapigwe mpaka wachakae
 
Hapa anasubiliwa muajemi tu sema naye kawa mjanja sn ameshanusa harufu kuwa yy ndiye target amebaki kupiga porojo tu huko pembezoni lkn hatii mguu.
Mwajemi mtafanya nini mnafikiri hao ni kama hamasi . Mmeshaazoea kupigana na vinchi vilivyo dhoof lihali huyo muajema anazo setilite zake drone zake , mizanga yake aliyozalisha mwenyewe katikati ya mbinyo wa vikwazo lukuki vya kiuchumi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hapa anasubiliwa muajemi tu sema naye kawa mjanja sn ameshanusa harufu kuwa yy ndiye target amebaki kupiga porojo tu huko pembezoni lkn hatii mguu.

Hii itakuwa ni habari mbaya sana kwa beberu kubwa na kibaraka wake
 

Haipo shaka Muajemi yupo vizuri. Ila ye versus Israel uzito sawa (light feather). Ila Beberu kubwa? Labda Putin, siyo Muajemi (heavy).
 

1. Usiye jielewa ni wewe kujibu mada bila kusoma.

2. Kwani wewe ni waluowapoteza Ben, Lijenje, Azory, mliomjaribu Lissu au kusokomeza watu kwenye viroba?

3. Kwamba uchungu walio fia vitani mliowauwa hukunni sawa?

4. Kama ndivyo mu watu waovu sana msiofaa kuwa huru mkiandika upuuzi mitandani.

5. #4 hapo ngoja tupate serikali yenye kuwajibika mtamcheua Lijenje akiwa hai!
 
Yaaaani nyieempaka mseemeeee maaamaaee nyinyiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘

1. Uko nje ya mada ndugu, ungesoma usingeandika huo ushuzi.

2. Ila usisahau ziumiazo nyasi mjomba:





Nadhani wenye ndugu zenu Gaza:

"Yaaaani nyieempaka mseemeeee maaamaaee nyinyiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘"
 

1. Kumbe vipi la Maji Maji au Mau Mau?

Kama Maji Maji au Mau Mau ilikuwa halali, iweje lawama kwa wapalestina?

2. Vita vya leo vya ma drones na makombora ya bara Kwa bara yanamhutaji mmarekani kuungana na nani kufanya nini?

3. Kumbuka Russia na makando kando yake Ukraine hatii mguu hapa.
 

1. Mkuu dini ni suala binafsi na la hiari.

2. Imani Yako si ya wengine.

3. Vitabu vyako ni relevant kwako si Kwa wengine.

4. Uhalali wa kuvitumia vitabu vyako visivyokubalika Kwa wengine huoni ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa?

5. Kuifuta Israel ni propaganda zilizoshindwa za kuwatenga HAMAS Ili kuwafuta kimataifa.

6. HAMAS kama PAC, ANC, FRELIMO Maji Maji, Mau Mau nk hatimaye walifanya maamuzi magumu ya kutumia nguvu baada ya njia zingine zote kukwama Tokea 1948.

7. PAC na kauli mbiu yao "One settler, One bullet" hakukuwafanya kudhamiria kuwafuta Makaburu ambao hata kwenye chama hicho walikuwamo.

8. Tofautisha kauli mbiu mjomba, Gari la chama halina reverse, haikuwa na maana duni ya usemi huo kama ulivyo.
 
1. Wanaitwa wakristo wafia dini uchwara hao; ujuaji mwingi!

2. Kuna na hili jingine MK254 ambalo kila asiyekubaliana na Israel huyo ni Mwislamu hata kama ni Mwamposa, Lissu, Ruto, Putin, Xi au Papa Francis.

Huyo muarabu unayemabudu kakuroga, hadi mtie adabu

 

nivizuri uwe unasema ni mawazo yako!

Marekani apigane na palestina kwa masilahi gan labda??? ushaona marekani imepigana vita vya hasara!!

Uadui wa palestina na marekani umeanza lini???

US aid to gaza 100 million $
US aid to palestina annually 600million. $
US aid to palestina combined since 1994-5.2Billion $

Haya tueleze huo ugomvi na US na palestina ulianza lini na wanagombea nn??
Ugomvi ambao dunia haiujui unaujua ww na akilk yako
 

shida mkuu unapigana vita kwenye akili yako !!
Kakuletea maandiko hapo kama evidence ya anachoongea ww unaleta bla bla

Kama huamini hicho alichosema njoo naww na ushahidi wako wa kupinga !! mgogolo una miaka zaidi ya elfu tatu unataka kuutazama kadiri majini yako yanavokutuma!

Na pia si hekima kufananisha frelimo,ANC na huu mgogoro Waisrael hawajatoka huko walikotoka wakaanza kulilia lile eneo No …Eneo linauhusiano na mababu zao tofaut na wapalestina ambao wamehamia kutoka nchi za kiarabu za jiran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…