- Thread starter
- #61
Israel kawakamata waislam wote Duniani, mmeandamana, mmepiga mayowe kote Duniani but nani awasikilize,
Israel iligeuza sherehe za allah akbarrr!!! za 7octoba kuwa kilio kikali hadi cha leo huko Gaza hakika Israel ni hatari jamn
1. Kumbe wewe unadhani Gaza kuna vita dhidi ya waislamu? Kuwa ni wayahudi dhidi ya waislamu?
2. Au unadhani wayahudi ni waislamu? Au kuwa Kila anayempinga mwisraeli ni mwislamu?
3. Kwamba kwa sababu hiyo wakristo wote ndiyo mnakenua?
4. Jipe muda kutambua Nini kinaendelea kujua watoto wadogo wale haikuwa haki kukosa huruma vile kama wachoropoa mimba tu!
5. Kumbe kwa mawazo yako wanaokiona ni wakristo wa dunia nzima? Kumbe dunia ipi unayoiongelea?