Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS


Mkuu:

1. Ushahidi wa maandiko yako kutoka kwenye kitabu chako unachokiamini wewe ni sawa na gunia tupu kusimama!

2. Kaisari anasimama katikati ya kwake apewe yeye!

3. Ushahidi wangu huu hapa, huu unasimama wima mahakamani:



4 Nikuongeze na huu hapa kutokea tokea kwa zako:

 
Marekani na Isreal zinaupunguka. Wasiaahau walikuwemo Warumi walikuwa wanajeshi kubwa na katili sasa wapo wapi?
 

1. Kabla ya kusema jambo soma kwanza.

2. Bila hivyo hamtaacha kurukia treni kwa mbele.

3. Ulijiridhisha na maudhui ya mada au kichwa cha mada kikakuelekeza ku google for irrelevant statistics?
 
Hiv unajua pale Russia kwenye utawala asilimia kubwa Jews wewe.
 
Safi kabisa
 
Vita viendeleee washenzi wa Hamas wamalizwe kbs wao na mazalia yao maana wametuulia ndugu zetu

Pro Hamas mbona mnataka vita isitishwe na wakati nyie ndo mnasema inapoteza sana

Kwamba?



Kwa hiyo anayeomba vita isiendelee kumbe nani?
 
Hapa anasubiliwa muajemi tu sema naye kawa mjanja sn ameshanusa harufu kuwa yy ndiye target amebaki kupiga porojo tu huko pembezoni lkn hatii mguu.
Muajemi akili kubwa ana Hizbullah ana houthi ana nawengine kibao
Sasa mpaka yeye kuona anaingia sehemu mzima mzima ujue hali ishakua tete kabisa
Kama kweli us na shost zake walidhania kwamba eti iran atauingilia huu mzozo unaoendelea walikosea sana
Pia mie sikudhania tokea mwanzo kama iran ataingilia hili suala nilijua tu kama iran atakua kule anaangalia
Sana sana nilijua Hizbullah ndio wataingia wazima wazima ila nawao wamekua wanaingia nusu nsusu
Ila nimegundua tu kwamba Hizbullah wana akili kubwa hawafanyi mambo kwa kukurupuka
njia pekee yakunfanya iran aingie mgogoro wa moja kwamoja na israhell ama marekani niwao kuanza kushambulia iran ndani ya Mipaka yake siioni iran yakupigana eti kisa Hizbullah ama hamas wanapigana
Kama washirika wakaribu kabisa wa Hizbullah walipigana na israhell mwaka 2006 na iran hakuingia moja kwa moja itakua hanas
Kama mshirika wake assad anapigwa kila leo na israhell itakua ghaza
Mwisho israhell na shost zake hawatamani kwa sasa kuingia ulingoni na iran wanajua hata kama iran itaumia sana ila kuna wasi wasi israhell ikapotea maana wameonesha kama wadhaifu sana kwenye suala la vita mpaka wao kwa wao sasa wanaanza kuvutana huko israhell walijua vita itakua ya siku kadhaa khatimae masiku yanakatika dalili yakushinda vita hawana wala kuimaliza
 
Suala lakua marekani anapigana na Palestine hili lipo wazi tokea kabla ya huu mgogoro wasasa
Tokea mwama 1994 us unasema kapeleka msaada wa usd 5B pale Palestine sijajua msaada umegawanyikaje
Ila sasa kama hujui marekani kila mwaka anawapa israhell msaada wa dola zaidi ya billion 3 kila mwaka tena huu msaada niwakijeshi tu
Msaada huo ndio unaowezesha israhell kutengeneza makombora na vifaa vyengine vya kijeshi ambaovyo viliwaua wapalestine wa ghaza 2008 yakawaua 2014 naleo yanawaua tena 2023
Msaada huo huo ndio unasaidia majeshi ya israhell kuvamia na kuua watu ukingo wa magharibi nakila sehem ya palestina wanayoikalia kwamabavu
Sijajua kama hjjui haya ama unafanya kusudi ila marekani anachangia kwa [emoji817]% mauaji ya wapalestine au yeye ndio anapigana na wapalestine nyuma ya mgongo wa israhell
 
1. Kwa hiyo huku kwenye kauli yako hii, tulimalizana?

View attachment 2849004

2. Kama #1 kwa hiyo sasa umekuja kiimani zaidi?

3. Kama #2 ni kweli, unasemaje kuhusu hili?

Kama Maji Maji au Mau Mau ilikuwa halali, iweje lawama kwa wapalestina?
Jibu ni kwamba wenye amri ya kupigana au kuacha wameshatoa majibu
1. Hamas wamekataa kuzungumza kwa nia ya kubadilishana mateka na wafungwa ila wanataka vita iishe maana watu wao wanaangamia bure
2. Israel wamekataa kuweka silaha chini mpaka Hamas waondolewe nguvu zao, miuondo mbinu kuharibiwa na mateka kurejeshwa wakati katika hali yoyote

Sasa hapo mazungumzo ya kusitisha yako wapi?

Vitu viwili tu ambavyo ndivyo vitasitisha kwa muda vita kati ya Hamas na Israekl
1. Askari wengi na raia wa Israel kufia katika ardhi ya Gaza kwa kupewa taarifa za kiusalama za Hamas za kilaghai
2. Gaza itabaki magofu na makaburi huku baadhi ya wenyeji watakaobaki kuyahama makazi na kugeuka kuwa tegemezi zaidi kutokana na hisani ya Israel
3. Kutatokea mauji ya kutatanisha kwa baadhi ya viongozi wa Israel, nchi majirani ya Israel wanaounga mkono Hamas pamoja na UN
4. Hakuna kesi ya uharifu wa kivita dhidi aidha Israel au Hamas itafaulu bila maumivu ya kupoteza uhai kutokea isivyotarajiwa
 
Unabii ulioahidiwa kumlinda isreali kama taifa ulishamalizika sababu israeli walimkataa yesu mpaka kufa kwake waliwakataa mitume baada ya Yesu...
Wakati wa Yesu.... Aliwaambia nyuba yao yaani hekalu limeachwa kwa ukiwa kwa maana Mungu hataishi tena ndani ya Hekalu la suleiman.. Sababu walimkataa Yesu... Sasa je ahadi zile zilibatika... Hapana ila zimeamia kwa kila anaemwamini kristo(soma 1wakorinto 7:19) pia soma wagalatia 3:29.... Ondoeni swala la kwamba kuna Taifa, kwa mtazamo wa kidunia, ambalo Mungu analiangalia ila ni watu wamwaminio kristo hao ndo watarithi ahadi zote zilizahidiwa kwa wana wa israel..
Pia taifa hili la israeli linafanya mambo mengi ambayo Mungu aliwakataza mfano kuruhusu mapenzi ya jinsia moja... Wayahudi wengi hawamwamini Yesu..... Baadhi yao hawaamini kama kuna Mungu kabisa... Tumia muda wako kusoma maandiko....
 
Kwa hiyo vita imesimama?

Katika watu wasioaminika kabisa, jamii ya waarabu ni no.1. Na hilo alilidhihirisha hata Gadafi. Na akasema ni aheri awe mwanachama wa taasisi ya Waafrika kuliko waarabu, kwa sababu hawaaminiki na hawana msimamo.
Acha kusambaza chuki humu maana ndyo kazi yako tokea vita ianze

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Naona umeweka tabiri za watu wakale tu kabla ya Yesu,lakini huu ndiyo utabiri wa kufanyia Kazi kwa sasa toka kitabu cha Luka 19:


28 Na alipokwisha kusema hayo, alitangulia mbele akipanda kwenda Yerusalemu.
41 Alipofika karibu aliuona mji, akaulilia,
42 akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako.
43 Kwa kuwa siku zitakuja, adui zako watakapokujengea boma, likuzunguke; watakuzingira na kukuhusuru pande zote;
44 watakuangusha chini wewe na watoto wako ndani yako, wasikuachie jiwe juu ya jiwe, kwa sababu hukutambua majira ya kujiliwa kwako.


Sasa ebu leta ufafanuzi wa utabiri huo wa Yesu.
 

Kuna na huu hapa mwamba Hana hamu nao:

Ukweli kuhusu Gaza, usiopendwa na wakristo wasio haki

Ya bwana eliasmisinzo ni Amos 9:15 mengine aah aaah ..🤣🤣
 
Israel kawakamata waislam wote Duniani, mmeandamana, mmepiga mayowe kote Duniani but nani awasikilize,

Israel iligeuza sherehe za allah akbarrr!!! za 7octoba kuwa kilio kikali hadi cha leo huko Gaza hakika Israel ni hatari jamn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…