Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS

Israel kawakamata waislam wote Duniani, mmeandamana, mmepiga mayowe kote Duniani but nani awasikilize,

Israel iligeuza sherehe za allah akbarrr!!! za 7octoba kuwa kilio kikali hadi cha leo huko Gaza hakika Israel ni hatari jamn

1. Kumbe wewe unadhani Gaza kuna vita dhidi ya waislamu? Kuwa ni wayahudi dhidi ya waislamu?

2. Au unadhani wayahudi ni waislamu? Au kuwa Kila anayempinga mwisraeli ni mwislamu?

3. Kwamba kwa sababu hiyo wakristo wote ndiyo mnakenua?

4. Jipe muda kutambua Nini kinaendelea kujua watoto wadogo wale haikuwa haki kukosa huruma vile kama wachoropoa mimba tu!

5. Kumbe kwa mawazo yako wanaokiona ni wakristo wa dunia nzima? Kumbe dunia ipi unayoiongelea?



 
Wenye vita vyao wameelekea Israel. Rafah itashabuliwa muda si mrefu:

 
mkisha kaa na wajinga wanawajaza sumu tu.
unafahamu wapalestina kibao wanaishi marekani na wana citizen
 
Wenzio wanaleta fact wewe Unaleta BIBLE KNOWLEDGE hivi shuleni mlipelekwa mkasome nini


Poor
Pooor
Pooorest 🤤
 
Wenzio wanaleta fact wewe Unaleta BIBLE KNOWLEDGE hivi shuleni mlipelekwa mkasome nini


Poor
Pooor
Pooorest 🤤
 
1. Kwa mara nyingine wale wenye vita vyao wametimba kuliko na jambo lao (mashariki ya kati):



2. Ikumbukwe hapa kunatafutwa mwendelezo wa vita, na hapa wamekuja na wababe wa vita wameongea? Vitalipuka vita Rafah!



3. Kwani kipi kilitaka kupoa hadi hii hulka ya kihayawani inayowatuma kwenda kulikamilisha jambo lao huko kabla hawajazidiwa na nguvu ya hoja nyumbani?

3. Si kuwa ni hili jambo letu wasilolitaka?




4. Bila shaka hapo #2 na #3 ikizingatiwa na nyumbani nako ni mwendo mdundo?

Marekani: Migomo kwa Palestina yasambaa kama moto wa nyika!

5. Hata hivyo wamdanganye nani hawa? Watuambie nini?




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…