Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

Israel ndiye anajua adui yake ni nani, wewe huwezi kujua, na ulaghai wa hamas na wafuasi wao ndio umewafikisha hapo mpaka wanaovuliwa nguo na kudhalilika kiasi hicho
 
Israel ndiye anajua adui yake ni nani, wewe huwezi kujua, na ulaghai wa hamas na wafuasi wao ndio umewafikisha hapo mpaka wanaovuliwa nguo na kudhalilika kiasi hicho
Kuvuliwa nguo kwani kuna nini zaidi ya mashoga wanatufuta nani ana silaha ya kuwakuna labda, mwanaume ambaye sio shoga hawezi kupekua mili ya wanaume wenzake hi nikuonyesha wazi taifa teule la kikristo ni ushoga mtupu mpaa kwenye vita wanaleta ushoga.
 
ITR:
Kweli iko tabu sana! Hivi unajua historia ya Middle East wewe,! ama unaokoteza okoteza tu! Mmmebeshwa half truth za misikitini na nyinginezo ambazo ni very biased! Mara occupation! mara Israel ina commit genocide, bila kuwa na basis yoyote ile, hii brainwashed ya Waarabu aliyowajaza inasikitisha sana! Dont be lazy, do your own research !

Halafu unazungumzia Vietnam na US......Hiyo ni mada nyingine tofauti! Huifahamu context kabisa, na kama Hamas inadhani inaweza ku copy na ku paste vita vya 1955 basi itazidi kushindwa na kushindwa......Hiyo element ya Jihad ndio itakayowaangamiza Wapalestina leo na kupoteza kabisa objectivity katika kujenga hoja ya maana leo! Na ndio maana means waliobakiza Hamas katika mgogoro huo umeiona October 7

Haya hebu turudi kwenye Historia ya Palestina...Sijui unataka nianzie wapi, sijui kama you can handle the historical facts and truth. Kelele kubwa zinazopigwa na Wapelestina na washirika wake leo ni kwamba Kama Israel ikiruhusu tu Wapelestina wawe na taifa lao wenyewe, amani itapatika Mashariki ya kati. Hiki ndio tunachokisikia UN na baadhi kutoka kwa wana diplomasia wengi wa Ulaya na Uarabuni, na hata maproffesors katika baadhi ya vyuo US. Na ndio information zilozagaa kwenye media nyingi!

Kitu ambacho wengi wanashindwa kutambua Israel imetoa na kukubali kuanzishwa kwa taifa la Wapelestina zaidi ya mara tano! Nyakati tofauti tofauti! Hebu tuiangalie historia, ambayo wengi ni vipofu!

1. Baada ya kuvunjika kwa Dola ya Ottoman 1914 (Ottoman Empire) Baada kushindwa katika ya vita vya kwanza vya dunia, Uingereza ilichukua mamlaka ya kulitawala eneo hilo LOTE la Mashariki ya kati, na hiyo sehemu inayoitwa Palestine ( Kumbuka Hakukuwepo taifa hapo lilokuwa likiitwa Palestine au Israel wala utawala wowote ule)

Miaka 17 baadaye, yaani 1936 Waarabu waliasi (rebell) dhidi ya Utawala wa Waingereza ( The great Palestine Revolt ) Au Waarabu wenzako wanaita "(al-Thawra-al Kubra) Sana ilikuwa ni kupinga Uingereza kutowasaidia wao (Waarabu walichuke eneo hilo lote na pia kupinga Wayahudi wachache waliokuwepo pia mahali hapo kuwakaribisha Wayahudi wenzao toka nchi ya Ulaya na nchi za Kiarabu.

Ili kutatua tatizo hilo la uasi wa Waarabu, Uingereza ilitengeneza Task Force ambayo iliitwa PEEL COMMISSION Kuona jinsi ya kutatua mgogoro huo, na July 1937 ilikuja na matokeo haya, kuwa kuna makundi mawili, Waarabu na Wayahudi wote wanataka kutawala eneo moja, wote wana historical attachment na hilo eneo, hivyo walihitimisha kwa suluhisho hili:

Kuundwe Mataifa mawili ( Two Independent States) Moja la Waarabu na taifa jingine la Wayahudi.(Two States Solution) Mgawanyiko huu ulikuwa unawapendelea Waarabu mno, Uingereza iliwapa 80% ya eneo hilo wanalogombania na Wayahudi wapate 20% Kilichotokea Waarabu walikataa KABISA hiyo asilimia 80% na Wayahudi Walikubali huo mgao waliopewa wa 20% Warabu walikataa katu katu na kuendelea kugombana na Waingereza na pia kuwashambulia Wayahudi. HILI NI PENDEKEZO LA KWANZA KABISA WAARABU WALIKOLIKATAA.

2. Miaka 10 baadaye, 1947, Uingereza iliomba Umoja wa Mataifa itafute suluhisho jipya, maana lile la kwanza la Peel Commision lilikuwa limeshindikana, na mgogoro ulikuwa ukiendelea tu! Hivyo Umoja wa Mataifa uliona njia ya kutatua mgogoro huo ni kugawanya tena eneo hilo!

November 1947 Umoja wa Mataifa ulipiga kura ili kutengeneza Mataifa mawili ( Resolution 181)Mataifa yaliyopiga kura kukubali yalikuwa 33, na kupinga 13, na kumi hayakupiga kura (Abstain) Mgawanyo huu uliwapa Waarabu 42% na Wayahudi 56% (Kuna sababu nyingi za mgawanyo huo siwezi kuziweka hapa. ) Kama ilivyokuwa mara ya kwanza, WAARABU WALIKATAA AZIMIO HILO WAYAHUDI WAKALIKAKUBALI na kujitangazia taifa lao sehemu waliyopewa na UN

Na sio kulikataa tu, Warabu walienda hatua ya ziada, siku ya May 14 1948 mataifa yafuatayo, Lebanon, Syria, Misri, Iraq, na Saudi Arabia waliingia Vita na Israel, na kuleta matokeo mabaya mno kwa Waarabu, walipoteza lile eneo walilopewa na UN 1947, Kwa kifupi Israel ilichukua 60% ya kile Walichopewa Waarabu na UN, na Hapo ndipo Waarabu walipopoteza pia West Bank na East Jerusalem! na kuwa "occupied territory" na Jordan!

Matokeo ya kushindwa kwa Waarabu kulifanya wengi mno wakimbie eneo hilo na kuwa Wakimbizi! Wao wenyewe wanaita Nakba ( Catastrophe) au janga ! Huo ndio ulikuwa mwanzo wa Waarabu (Wapelestina) kutawanyika katika nchi nyingi za kiarabu.

3. Miaka 20 baadaye, 1967, waarabu wakaanzisha vita tena! Wakiongozwa na Misri na kusaidiwa na Syria na kuishirikisha Jordan, wakataka kuliangamiza taifa la Israel! Vita hivi ambavo vinajulikana kama vita vya siku sita ( Six Day War) Viliisha kwa ushindi mkubwa mno kwa Israel, na kushindwa vibaya mno kwa Waarabu! Jerusalem na West Bank ambayo ilikuchukiwa na Jordan katika vita vya 1948 ilichukuliwa na Israel na Gaza iliyokuwa chini ya Misri.

Utawala wa Israel uligawanyika mno jinsi ya kuyamiliki maeneo mapya waliojitwalia katika ushindi wa vita hivi! Baadhi walitaka maeneo ya West Bank kuyarudisha kwa Jordan na Gaza kuirudisha tena Misri ili wawe na amani na Waarabu! Na wengine walitaka kuwapa Waarabu waliokuwa makimbizoni ambao waliaanza kujiita rasmi Wapelestina! Ambao Israel ilitegemea wataunda taifa lao wenyewe! Lakini kila option ilikuwa ngumu! Na ilikuwa na Vipingamizi vyake!

Baada ya kushindwa huku kwa Waarabu , June 1967, Mataifa ya Kiarabu chini ya umoja wao (Arab League Summit) Walikuta Khartoum, Sudan August, 1967 na kutoa na Maazimio matatu ( The Khartoum Resolution) yanayojulikana "Three No"
  • No Recognition of Israel
  • No Negations with Israel
  • No peace with Israel
Na Waarabu kwa pamoja wakalikata kabisa wazo la " Two State solution" Hii ikawa ni MARA YA TATU WANAKATAA KABISA WAZO LA TWO STATE SOLUTION!

4. Mwaka 2000, Waziri Mkuu wa Israel Ehud Barak alikutana Camp David na Yasser Arafat kiongozi wa Wapelestina, ili wafikie hitimisho la "Two State Solution" Ehud Barak aliwapa offer Wapelestina sehemu yote ya Gaza na 94% ya West Bank! na East Jerusalem kama Makao Makuu, lakini Yaseer Arafat alikataa kabisa makubaliano hayo! Rais wa wakati huo wa Marekani, Bill Clinton alimwambia wazi Yasser Arafat maneno haya:

"If the Israelis can make compromises and you can't, I should go home. You have been here 14 days and said no to everything. These things will have consequences. Failure will end the peace process. . . . Let's let hell break loose and live with the consequences."

Baada ya Yasser Arafat kukataa makubaliano hayo, alianzisha wimbi la watu kujilipua kwa mabomu na kuua kama Waisarel 1,000 , kwenye vituo vya mabasi, migahawa nk! kumbi za harusi nk!
Hii ikawa ni mara ya NNE offer ya Israel inakataliwa.

5. Mwaka 2008 kukawa na mazungumzo mengine, kati ya Waziri Mkuu Wa Israel Ehud Olmert, yeye alienda mbali zaidi ya Ehud Barak, aliongeza maeneo ya Kuwapa Wapalestine, lakini kama alivyofanya Yasser Arafat, Mahmoud Abbas kiongozi wa Wapelestina alikataa!

Hii Katalio la Amani la mara ya Tano! Kati ya offer ya 4 na ya tano, Israel iliirudisha Gaza mikononi wa Wapelestina na kuwapa complete control na kuweza hata kufanya uchaguzi ambao uliiweka Hamas madarakani! Kinachoshangaza kitu kikubwa ambacho Hamas walifanya toka 2005, ni kugeuza Gaza uwanja wa mapambano! Na kuanza kurusha maroketi Israel!

Ikumbukwe kwamba kila Mara Israel inapokubali " Two States Solution" Wapelestine wanakataa.....Maana agenda yao ni moja tu! Kuifuta Israel chini ya jua! Kwa Wapelestina wakiongozwa na Hamas support toka Iran wao wamekataa kabisa kuwepo kwa taifa la Israel mahali hapo! Jambo wanajua wazi HALIWEZEKANI KABISA!

Jamaa yangu, Waarabu wamejaribu kutumia vita toka 1948, 1967, 1973, Wanashindwa na kupoteza maeneo! Egpty walipoona wanashindwa walifanya mapatano na Isarel hata kurudishiwa Sinai walioipoteza 1973!

Waarabu wanachokitafuta hawatakipata....! Wanapoteza Gaza kwa gharama kubwa mno! Kila approach huwa haiwafikishi mbali....Hii ya October 7 matokeo yake unayaoona! Hamas is just a death cult!
















































think you can handle the truth. Kelele tunazozisikia leo
 
Ww kuniambia kuwa sijui historia ya mashariki ya kati haini sumbui maana huo ni mtazamo wako, ebu tuchukulie mfano hayo maelezo yote uliyo yaandika ni ya kweli.sasa katika maelezo yako yote uliyo yaweka hapo kuna jambo lolote linalo halalisha kuchukua binadamu mwenzako na kuwajaza kwenye makambi kama wafungwa katika karne hii ya 21 hali ya kuwa wana ardhi zao ambazo wange ishi kwa Uhuru?

Au kati ya hayo maelezo yako kuna jambo lolote linalo halalisha kuuwa maelfu ya raia wa palestina kila mwaka?, Je kuna jambo linalo halalisha kuweka mpaka watoto wa miaka 10 magerezani? ,Au yanahalalisha kuwavua watu nguo na kuwaacha uchi alafu unawarecod?

Ndio maana nasema naongea na kilaza asiye na akili hapa tunajadiliana mambo ya kuhusu mgogoro wa Israel na palestina ww unaleta mambo ya sijui misikitini sijui nini hivi una akili ww hayo mbambo yana uhusiano gani?

Udini na chuki za kidini zime kujaa kichwani mwako maana ww kila kitu unakichukulia kwa misingi ya kidini.
Umekomalia kusema Hamas wana pigania jihad hali ya kuwa hiyo sio sera ya Hamas , makundi yote yanayo dai kupigana hizo jihadi huwa hayana mipaka katika mashambulizi yake ,sasa nikuulize ni lini hamas ushasikia ikifanya operation zake nje ya mipaka ya Israel?

Israel imeudwa mwaka 1947 alafu ww unatuletea hadithi za kipindi cha Ottoman alafu unajiona unajua, nime kuuliza ni nani aliye vunja mkataba wa Oslo ambao ndo ungemaliza mzozo uliko mpaka sasa ujajibu zaidi ya kuruka ruka kwa maelezo mengi yasio na mantiki.

Kuishinda Hamas kwa silaha haiwezekani maana hamas ni itikadi ili uishinde hamas ni razima uje na itikadi bora zaidi ya wao , iwapo Israel ngekuwa inawatendea haki wapalestina sidhani kama Itikadi ya hamas iwapo na ushawishi wowote kwa wapalestina.

Alafu haki huwa inachelewa tu lakini mwisho wa siku huwa unapatikana kwahiyo ipo siku haki za wapalestina zitapatikana haijalishi itapita miaka mingapi na watakufa wapalestina wangapi ,na kila kitu kina mwisho haijalishi itapita miaka mingapi,mwaka 1975 ungemuambia mtu kuwa ipo siku utawala wa makaburu utaanguka angekuona kichaa lakini mwisho wa siku ulianguka tena kiurahisi mno.
Hao Wayahudi wenyewe hii amani waliyo nayo wameanza kuipata miaka 75 tu iliyo pita lakini wameteseka maelfu ya miaka, lakini cha kushangaza wao badala wawe mfano wa kuigwa katika kulinda haki za watu wao ndo wamegeuka kuwa wafanya maovu dhidi ya binadamu wenzao.

Mtu huwezi kujiita eti umeelimika ukashabikia ukoloni katika dunia hii iliyo sitarabika.
 
Huwa wanaangalia kwa macho ya kengeza! Chuki ya Waislamu dhidi ya Wayahudi ina msingi wa dini......Ukisoma Charter ya Hamas, iko wazi mno...
Ndio maana nasema waarabu na waislamu bila kuwatia adabu hamuwezi kuishi pamoja,,,unless wewe uwe kijakazi wao...
Dini ya kiislamu inaamini watu wasio waislamu ni watumwa wa waislamu kinguvu...
Sasa watu wa aina hiyo utaishi nao vipi?????
Ni kwa ubabe tu
 
Arab,s and Islam,s mindset...
Eti wanaukataa ukweli wa kuwepo kwa himaya za kiyahudi hasa falme za Israel na Yuda eneo lile kabla yao waarabu na waislamu..Eti israel imeanza 1948,,,hawajui hata historia ya wayahudi
We dont buy cheap islamist,s hate,s propaganda,s sababu tunaujua ukweli!!!Mkuuu
 
Oky no peace na israel bas tupigane msililie cease fire!!!
Walichoanzisha October 07 walitegemea nn??
 
Waarabu na waislamu ni watu wanajiona kama ni binadamu halisi kuliko binadamu wengine.
Na dini yao inawafundisha kua binadamu wengine wote ni watumwa wao
 
Vp kuhusu wale wayahudi waliokua wanawatembeza mitaani..
Sio uvunjaji wa haki za binadamu
 
Tatizo waarabu na waislamu hampendi kuambiwa ukweli...kuhusu mindset zenu kutokana na mapokeo ya dini yenu.
Mm sikulaumu maana Allah mungu wa kiarabu si amewafundisha kuwachukia wayahudi......na wakrsto na mungu wao el shedai!!!
 
Sasa kama Israel yenyewe inatambua kuwa imeanzishwa mwaka 1948 mimi na ww ni nani mpaka tupinge?
Leo hii mtu yeyote duniani akiwemo raia wa Israel ukimuuliza Israel ime anzishwa lini atakwambia ni mwaka 1948.
 
Oky no peace na israel bas tupigane msililie cease fire!!!
Walichoanzisha October 07 walitegemea nn??
Kilicho tokea sio mwanzo wa mzozo bali ni muendelezo wa mzozo wa tangu mwaka 1947 acheni kupotosha.

Tz ilivamiwa na Amini majeshi yake yaliuwa raia wengi tu mkoani kagera, Je wanajeshi wa Tz walienda wakaanza kuuwa watu kiholela kisa kiongozi wao aliuwa watz?
Au walienda na kuanza kuvamia hospital na kuchomoa milija ya vichanga njiti kwa kisingizio cha kuwasaka wanajeshi wa Uganda?
Au walienda kuchukua raia wa Uganda na kuwavua nguo kisha kuwarekodi wakiwa uchi?
 
Duniani tutaona mengi.....Shoga anamponyanyasa rijali.......! UN imejaribu kusimamisha mapigano, kura VETO imepigwa......Kama Iran isipoingilia kati nitatilia mashaka kabisa uwezo wa Waarabu!
Waraabu hakuna kitu,,,,,,wanaujua mziki wa IDF
 
Wao si walikua wanatembeza mateka mtaani October 07 na walibaka na kuua wanawake na watoto wa kiyahudi...
Acha wavune walichopanda.. October 07.
Hamas millitias huwapangii cha kufanya ila IDF solder's unawapingia cha kufanya mkuu???.
Au ndio mkuki kwa nguruwe....???
 
Tatizo waarabu na waislamu hampendi kuambiwa ukweli...kuhusu mindset zenu kutokana na mapokeo ya dini yenu.
Mm sikulaumu maana Allah mungu wa kiarabu si amewafundisha kuwachukia wayahudi......na wakrsto na mungu wao el shedai!!!
Wewe mbona hupendi kuambiwa ukweli wa kuwa nyinyi wakristo ndo wahusika wakuu wa mauaji ya mamilioni ya Wayahudi na mateso ya wayahudi kwa mamia ya miaka badala yake unakimbilia kutupa lawama kwa waisilam?

Niambie ni watu wa dini ipi walio husika na mateso na mauaji dhidi ya wayahudi kati ya waisilam na Wakristo.
 
Wao si walikua wanatembeza mateka mtaani October 07 na walibaka na kuua wanawake na watoto wa kiyahudi...
Acha wavune walichopanda.. October 07
Hayo masuala ya kubaka na kuuwa watoto mpaka sasa Israel yenyewe imeshindwa kuleta ushahidi sasa labda ww huo ushahidi unao nina uomba.
 
Sasa kama Israel yenyewe inatambua kuwa imeanzishwa mwaka 1948 mimi na ww ni nani mpaka tupinge?
Leo hii mtu yeyote duniani akiwemo raia wa Israel ukimuuliza Israel ime anzishwa lini atakwambia ni mwaka 1948.
Mkuu kwa akili yako taifa la israel limeanzishwa 1948????
Siwezi kubishana na waarabu na waislamu....Nazijua mindset zao na mapokeo yao
Mkuu hakuna aliyekataa wakristo kuwaua wayahudi toka karne hizo historia ipo wazi hakuna propaganda..
Je unakataawaislamu chini ya makhalifa wa kiarabu na kituruki waliwaua wayahudi,,sababu allah mungu wao wa kiarabu amewaagiza???
 
Hayo masuala ya kubaka na kuuwa watoto mpaka sasa Israel yenyewe imeshindwa kuleta ushahidi sasa labda ww huo ushahidi unao nina uomba.
KAMA KAWAIDA YA ISLAM AND ARAB,S MINDSET"""LETA USHAHIDI NA UKIWAPA WANAUKATAA"""
Wanaamini waarabu hawawezi kubaka 🀣🀣🀣.
Ndio maana wayahudi hawana mda wa kupoteza kwenye ngonjera.
Ukibaka,,na wao watakubaka na ukiua na wao watakuua...
Jino kwa jino
 
Mkuu disaopora wa kiyahudi ulaya walikuepo na wataendelea kuwepo na hata falme za wahispania na warumi na Wanazi hawakuweza kuwamaliza.
Ebu niambie disapora wa kiyahudi kwenye miliki za kiislamu wapo wapi na kwa asilimia ngapi???
Kuanzia iliyokua Grenada ya waislamu mpaka Aden na Mecca kwenyewe???
AU KAMA KAWAIDA WAARABU HAWAKUUA WAYAHUDI ENZI ZA MAKHALIFA NA MASULTAN????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…