Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Imekuwaje sasa yule Mungu wao amwwasaliti?Mamia ya wapiganaji wa HAMAS wamejisalimisha kwa jeshi la Israel kaskazini mwa GAZA. Picha zimesambaa mitandao ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Israel wakiwa wanawatembeza uchi wa mnyama huku wengine wakipakiwa kwenye malori kupelekwa upande wa Israel. View attachment 2836141View attachment 2836142View attachment 2836143View attachment 2836144View attachment 2836145
Eeehh mkata roho hata utani kabisa na magaidi
Takbirrrrjeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya
Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.
Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.
magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.
... wanesikia kuna pump lenye capacity ya 60,000 ltrs per min (Guinness Record) linafungwa huko Mediterranean kujaza mashimo yao lazina watoke tu panya buku hao!Mamia ya wapiganaji wa HAMAS wamejisalimisha kwa jeshi la Israel kaskazini mwa GAZA. Picha zimesambaa mitandao ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Israel wakiwa wanawatembeza uchi wa mnyama huku wengine wakipakiwa kwenye malori kupelekwa upande wa Israel. View attachment 2836141View attachment 2836142View attachment 2836143View attachment 2836144View attachment 2836145
Uliona wapi maji ya bahari yakawa silaha isipokuwa kwa vichaa na wanaomini vichaa lazima wawe vichaa.Bado maji hayajajazwa kwenye mashimo yao,watatoka wote na kidakwa kama kuku wa kideri
Acha uwongo wewe wamekamata raia hawana hata silaha kwenye makazi huko KhanJeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya
Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.
Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.
Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.
Hizi za October acha uwongoMamia ya wapiganaji wa HAMAS wamejisalimisha kwa jeshi la Israel kaskazini mwa GAZA. Picha zimesambaa mitandao ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Israel wakiwa wanawatembeza uchi wa mnyama huku wengine wakipakiwa kwenye malori kupelekwa upande wa Israel. View attachment 2836141View attachment 2836142View attachment 2836143View attachment 2836144View attachment 2836145
Aljazeera wanawabisha wanasema tv channel ya Israel ambayo ni wasemaji rasmi wa Israel mara wasema tumefananisha viatu vyao na Hamasi 😄 Mara lazima tufanye hivi ili wanamgambo wa Hamasi wajisalimishe 😄 Sa wanauliza swali Aljazeera tangu kuanze vita Israel kawahi onyesha hata mwanamgambo mmoja ha Hamasi wamemshika au wameuwa hamna vipi apate mara moja mateka vile 😄Acha uwongo wewe wamekamata raia hawana hata silaha kwenye makazi huko Khan
Yunus na Israel haijasema kua ni Hamas hizo ni Propaganda
Haven't noticed any weapons or uniforms, at least 1 would have some type of uniform, patch or gun, or chad adidas pants, guess must have left all at the hospitals.Maji yamewafika shingoni
Hata boxer hawakuruhusiwa kuvaa, si kutakuwa na uhaba wa wanaume huko, au ndio maana kuna Sera ya 1 kwa 4Mamia ya wapiganaji wa HAMAS wamejisalimisha kwa jeshi la Israel kaskazini mwa GAZA. Picha zimesambaa mitandao ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Israel wakiwa wanawatembeza uchi wa mnyama huku wengine wakipakiwa kwenye malori kupelekwa upande wa Israel. View attachment 2836141View attachment 2836142View attachment 2836143View attachment 2836144View attachment 2836145
Punguza chuki ww mrokole uchwara mpaka sasa hakuna ushahidi wowote unao onesha kuwa hao ni wapiganaji wa Hamas.... wanesikia kuna pump lenye capacity ya 60,000 ltrs per min (Guinness Record) linafungwa huko Mediterranean kujaza mashimo yao lazina watoke tu panya buku hao!
Hao Israel wanawachelewesha; piga risasi hao itapunguza mengi. Huruma huruma zitawa-cost bila sababu.
Eti kipigo,wenzio wanakufa kwa maelfu wewe unaleta siasa na kingine hayo ni magaidi ni lazima yaadhibiwe vikali sana.Uliona wapi maji ya bahari yakawa silaha isipokuwa kwa vichaa na wanaomini vichaa lazima wawe vichaa.
Kipigo anachopewa Israel mpaa kinawavuruga akili hamna walicho pata, Hamasi wako very strong na hizo picture za kushika raia wasio na silaha kujidai ni wanamgambo wa Hamasi ni kama ile filim walio act wakaingia kwenye jumba pale Gaza eti wameuwa wanamgambo wa Hamasi, wako wapi hamna 😄
Sa wameona wakamate raia wa kawaida na kujidai wanamgambo wa Hamasi, afu silaha zimewasuta kumbe za plasitic wamekuja nazo wao 😄
Wamejisalimisha baada ya Israel kuanza kuingiza maji kwenye mitaro yao mzee.Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya
Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.
Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.
Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.
Yule msemaji wa AL-HAMAS, FaizaFoxy, amethibitisha kuwa Hawa ni wapigani wao? Au mnazusha tu?Mamia ya wapiganaji wa HAMAS wamejisalimisha kwa jeshi la Israel kaskazini mwa GAZA. Picha zimesambaa mitandao ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Israel wakiwa wanawatembeza uchi wa mnyama huku wengine wakipakiwa kwenye malori kupelekwa upande wa Israel. View attachment 2836141View attachment 2836142View attachment 2836143View attachment 2836144View attachment 2836145