Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

Eeehh mkata roho hata utani kabisa na magaidi
1701999501452.png
 
jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

Takbirrrr
 
Mamia ya wapiganaji wa HAMAS wamejisalimisha kwa jeshi la Israel kaskazini mwa GAZA. Picha zimesambaa mitandao ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Israel wakiwa wanawatembeza uchi wa mnyama huku wengine wakipakiwa kwenye malori kupelekwa upande wa Israel. View attachment 2836141View attachment 2836142View attachment 2836143View attachment 2836144View attachment 2836145
... wanesikia kuna pump lenye capacity ya 60,000 ltrs per min (Guinness Record) linafungwa huko Mediterranean kujaza mashimo yao lazina watoke tu panya buku hao!

Hao Israel wanawachelewesha; piga risasi hao itapunguza mengi. Huruma huruma zitawa-cost bila sababu.
 
Hamna lolote Israel anacho fanya kuwashika raia wa kawaida na kujidai wanamgambo wa Hamasi 😄

Vita hi hashindi wasalimieni Wamarekani na waingereza pamoja na mashoga zao Israel ile Central operation yao imepata kipiga takatifu wamekufa wote waliopo kwenye joint operation yao.
 
Bado maji hayajajazwa kwenye mashimo yao,watatoka wote na kidakwa kama kuku wa kideri
Uliona wapi maji ya bahari yakawa silaha isipokuwa kwa vichaa na wanaomini vichaa lazima wawe vichaa.

Kipigo anachopewa Israel mpaa kinawavuruga akili hamna walicho pata, Hamasi wako very strong na hizo picture za kushika raia wasio na silaha kujidai ni wanamgambo wa Hamasi ni kama ile filim walio act wakaingia kwenye jumba pale Gaza eti wameuwa wanamgambo wa Hamasi, wako wapi hamna 😄

Sa wameona wakamate raia wa kawaida na kujidai wanamgambo wa Hamasi, afu silaha zimewasuta kumbe za plasitic wamekuja nazo wao 😄
 
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

Acha uwongo wewe wamekamata raia hawana hata silaha kwenye makazi huko Khan
Yunus na Israel haijasema kua ni Hamas hizo ni Propaganda
 
Aljazeera wanawabisha wanasema tv channel ya Israel ambayo ni wasemaji rasmi wa Israel mara wasema tumefananisha viatu vyao na Hamasi 😄 Mara lazima tufanye hivi ili wanamgambo wa Hamasi wajisalimishe 😄 Sa wanauliza swali Aljazeera tangu kuanze vita Israel kawahi onyesha hata mwanamgambo mmoja ha Hamasi wamemshika au wameuwa hamna vipi apate mara moja mateka vile 😄

Kingine kwa ujinga wao wameshika mpaa wandishi wa habari

View: https://youtu.be/QQX8mbk2VrM?si=SYt-1wOXGz8WFptJ
 
[emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599]Israel ni matapeli na waongo wanapigana kwa mihemko ya kike

Israel is telling us these men were caught in Khan Yunis but their pictures tell a different story.....

Last picture of map for reference, Beit Lahiya is located in northern Gaza while Khan Yunis is 21 miles to the south.

More Israeli LIES....
IMG_20231208_062202.jpg
IMG_20231208_062206.jpg
IMG_20231208_062209.jpg
IMG_20231208_062213.jpg
 
Mamia ya wapiganaji wa HAMAS wamejisalimisha kwa jeshi la Israel kaskazini mwa GAZA. Picha zimesambaa mitandao ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Israel wakiwa wanawatembeza uchi wa mnyama huku wengine wakipakiwa kwenye malori kupelekwa upande wa Israel. View attachment 2836141View attachment 2836142View attachment 2836143View attachment 2836144View attachment 2836145
Hata boxer hawakuruhusiwa kuvaa, si kutakuwa na uhaba wa wanaume huko, au ndio maana kuna Sera ya 1 kwa 4
 
... wanesikia kuna pump lenye capacity ya 60,000 ltrs per min (Guinness Record) linafungwa huko Mediterranean kujaza mashimo yao lazina watoke tu panya buku hao!

Hao Israel wanawachelewesha; piga risasi hao itapunguza mengi. Huruma huruma zitawa-cost bila sababu.
Punguza chuki ww mrokole uchwara mpaka sasa hakuna ushahidi wowote unao onesha kuwa hao ni wapiganaji wa Hamas.
Hiyo Israel yenu vita inewashinda wameanza kukamata kila mwanaume wakihofia kuwa ni Hamas, hao wanaume unao waona hapo wakifanyiwa hivyo baada ya Israel kuivamia kambi moja wapo ya wakimbizi huko gaza kusini kwa madai kuwa ni kambi ya hamas lakini mpaka sasa hawajapata huo ushahidi wa madai yao.
 
Uliona wapi maji ya bahari yakawa silaha isipokuwa kwa vichaa na wanaomini vichaa lazima wawe vichaa.

Kipigo anachopewa Israel mpaa kinawavuruga akili hamna walicho pata, Hamasi wako very strong na hizo picture za kushika raia wasio na silaha kujidai ni wanamgambo wa Hamasi ni kama ile filim walio act wakaingia kwenye jumba pale Gaza eti wameuwa wanamgambo wa Hamasi, wako wapi hamna 😄

Sa wameona wakamate raia wa kawaida na kujidai wanamgambo wa Hamasi, afu silaha zimewasuta kumbe za plasitic wamekuja nazo wao 😄
Eti kipigo,wenzio wanakufa kwa maelfu wewe unaleta siasa na kingine hayo ni magaidi ni lazima yaadhibiwe vikali sana.
 
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

Wamejisalimisha baada ya Israel kuanza kuingiza maji kwenye mitaro yao mzee.
 
Mamia ya wapiganaji wa HAMAS wamejisalimisha kwa jeshi la Israel kaskazini mwa GAZA. Picha zimesambaa mitandao ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Israel wakiwa wanawatembeza uchi wa mnyama huku wengine wakipakiwa kwenye malori kupelekwa upande wa Israel. View attachment 2836141View attachment 2836142View attachment 2836143View attachment 2836144View attachment 2836145
Yule msemaji wa AL-HAMAS, FaizaFoxy, amethibitisha kuwa Hawa ni wapigani wao? Au mnazusha tu?
 
Back
Top Bottom