Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

Sijapenda Sasa ndio wawabakizie vi boxser[emoji1787]
 
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.


Uharo mtupu mabasha zenu baada ya cinema ya kihindi kubuma kama Shifa Hospital wamesema siyo Hamas mashoga peke ndiyo wanameza hizi propaganda.

🚨 BREAKING: IDF ADMITS TODAY'S MASS ARRESTS ARE NOT NECESSARILY HAMAS

In a statement, the IDF spokesman states that the IDF arrested Palestinians who may not be part of Hamas, as they were in Hamas hotspots.

The detainees will be interrogated to investigate who is and isn't linked to Hamas.

Full Statement by IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari:

"Jabaliya and Shejaiya are 'centers of gravity'... for terrorists, and we are fighting them. They are hiding underground and come out and we fight them.

Whoever is left in those areas, they come out from tunnel shafts, and some from buildings, and we investigate who is linked to Hamas, and who isn't.

We arrest them all and interrogate them."

Source: Times of Israel
———
🚨 BREAKING: IDF YAKUBALI KUKAMATWA KWA MISA LEO SI LAZIMA HAMAS

Katika taarifa yake, msemaji wa IDF anasema kuwa IDF iliwakamata Wapalestina ambao huenda si sehemu ya Hamas, kwa vile walikuwa katika maeneo yenye Hamas.

Wafungwa hao watahojiwa ili kuchunguza ni nani anahusishwa na asiyehusika na Hamas.

Taarifa Kamili na Msemaji wa IDF Daniel Hagari:

“Jabaliya na Shejaiya ni ‘centers of gravity’... kwa magaidi, na tunapambana nao wanajificha chini ya ardhi na wanatoka na tunapambana nao.

Yeyote anayeachwa katika maeneo hayo, wanatoka kwenye shimo la handaki, na wengine kutoka kwa majengo, na tunachunguza ni nani anayehusishwa na Hamas, na ni nani asiyeunganishwa.

Tunawakamata wote na kuwahoji."

Chanzo: Times of Israel
 
Hawa ni Hamasi kweli au wameteka na wazee kwenye mitaaa na majumba?🤣🤣🤣
Wamejichanganya wakateka n waandishi wa habari😂
 

Attachments

  • IMG_7620.jpeg
    IMG_7620.jpeg
    92.9 KB · Views: 3
  • IMG_7618.jpeg
    IMG_7618.jpeg
    47.9 KB · Views: 4
... wanesikia kuna pump lenye capacity ya 60,000 ltrs per min (Guinness Record) linafungwa huko Mediterranean kujaza mashimo yao lazina watoke tu panya buku hao!

Hao Israel wanawachelewesha; piga risasi hao itapunguza mengi. Huruma huruma zitawa-cost bila sababu.

Ni wajinga pekee ndiyo watakaomezeshwa propaganda uchwara kama hizi
 
Mamia ya wapiganaji wa HAMAS wamejisalimisha kwa jeshi la Israel kaskazini mwa GAZA. Picha zimesambaa mitandao ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Israel wakiwa wanawatembeza uchi wa mnyama huku wengine wakipakiwa kwenye malori kupelekwa upande wa Israel. View attachment 2836141View attachment 2836142View attachment 2836143View attachment 2836144View attachment 2836145
Another israeli propaganda video they kidnapped some civilians in Gaza forced them to act this way in front of the camera then added another video of them targeting some appartement windows somewhere in Gaza😂
 
Mabasha zako wameushaema siyo Hamas ni raia walidhani Hamas bwege wewe 😂
Kumbe! Sema mwangu Allah miyeyusho sana kwann asiwasapoti mbn yy akiwaona IDF anakula chocho Kwa chocho mwendo wa majini،😁😁
 
Back
Top Bottom