Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

Nyinyi msio na chuki na hao wayahudi mbona ndo mna historia ya kitesa na kuuwa mamilioni ya Wayahudi kwa mamia ya miaka?

Rudia tena Charter ya Hamas.....purely a religious hatred.......!
 
ITR.....Hivi ulitegemea HAMAS watasema hao ni Hamas mkuu? Anyway hivi unajua ni nani ameua Wapelestina wengi katika historia.....Ni Mfalme Hussein wa Jordan 1970....

When Pakistan’s Zia-ul-Haq helped Jordan King kill thousands of Palestinians​

A set of hijackings carried out by Palestinian resistance groups in September 1970 set off a war between them and Jordan. It culminated in the killing of approximately 10,000 to 25,000 Palestinians. The war was significant because of its unusual geopolitics. It involved Pakistan’s former General Muhammad Zia-Ul-Haq rebuilding Jordan’s tattered military​

Nadhani hujui chokochoko za Wapelestina hata kwa jamii yao ya Waarabu, hushangai kwa nini Egypt haitaki kabisa kufungua mipaka.....ni rahisi kuwasaidia ukiwa nao mbali, Israel inawajua fika, nao Wapelestina wanaijua Israel fika, Je walichokifanya October 7 kilikuwa cha aina gani.......Hawa jamaa wamekutana.

Mmoja wa viongozi wa Hamas, Ghazi Hamad amesema wazi, wakipata nafasi watarudia tena na tena walichokifanya October 7....

Hamas official says group aims to repeat Oct. 7 onslaught many times to destroy Israel​

A senior member of Hamas has hailed the systematic slaughter of civilians in Israel on October 7, vowing in an interview that if given the chance, the Palestinian terror group will repeat similar assaults many times in the future until Israel is exterminated.
“We must teach Israel a lesson, and we will do it twice and three times. The Al-Aqsa Deluge [the name Hamas gave its October 7 onslaught] is just the first time, and there will be a second, a third, a fourth,” Hamad continued. “Will we have to pay a price? Yes, and we are ready to pay it. We are called a nation of martyrs, and we are proud to sacrifice martyrs.”

Sasa unapopambana na watu kama hawa unategemea nini? Wamekula yamini ya kukuangamiza......Wanachokipata walikitafuta...
Israel yenyewe imesema hao sio hamas kama walivyo hofiwa mwanzo na tiyari wameachiwa,alafu hata kama wangekuwa ni Hamas ni sheria gani inayo sema mateka wa vita wavulishwe nguo na kubaki uchi?
Hakuna anaye piga Israel kupambana na Hamas bali kinacho pingwa ni kitofuata kwake sheria za vita ambazo yeye mwenye ametia saini kuzifuata.

Acha kupotosha Misri ilikataa wapalestina kuhamishiwa Sinai baada ya kubaini kuwa Israel ili kuwa inajaribu kutumia mbinu kama iliyo itumia mwaka 1967 kuteka ardhi za wapalestina ambazo kwa sasa ndo kusini mwa Israel.
Hivi unajua kuwa raia walioko gaza kwa sasa ni wapalestina walio fukuzwa kwenye ardhi zao ambazo kwa sasa ni kusini mwa Israel kwa kutumia mbinu kama walio kuwa wanajaribu kutumia sasa hivi?
Mwaka 1967 iliwaambia wapalestina kuwa wahamie ukanda wa gaza kwa muda na watarudi baada ya vita kuisha , matokeo yake baada ya vita kuisha Israel iliwazuia kurudi nyumbani kwao wakarazimika kujazana hapo gaza.
 
Rudia tena Charter ya Hamas.....purely a religious hatred.......!
Usipindishe maneno hayo ya charter ya Hamas imekaa kisiasa ila kiuhalisia haiwezekani, ni sawa na Trump aliingia madarakani akiaidi kuwafukuwa waisilam ndani ya Marekani lakini mwisho wa siku aliingia madarakani na hakupata hiyo nguvu kisheria ya kufanya hivyo.

Una takiwa unipe majibu nyinyi dini ambao dini yenu ina upendo na wayahudi mbona ndo mna historia ya kuuwa mamilioni ya hao wayahudi mnao dai hamna chuki nao?
 
Mkuu sky soldier,
Tunaomba source ya habari hii?
Kuondoa utata tu maana wapo wanasema hao ni raia wakawaida.

Ahsante.
Si kweli ipo video yake kabisa .

Shida Hamas wanapiga propaganda ili kuonyesha bado hawajashindwa.
 
Usipindishe maneno hayo ya charter ya Hamas imekaa kisiasa ila kiuhalisia haiwezekani, ni sawa na Trump aliingia madarakani akiaidi kuwafukuwa waisilam ndani ya Marekani lakini mwisho wa siku aliingia madarakani na hakupata hiyo nguvu kisheria ya kufanya hivyo.

Una takiwa unipe majibu nyinyi dini ambao dini yenu ina upendo na wayahudi mbona ndo mna historia ya kuuwa mamilioni ya hao wayahudi mnao dai hamna chuki nao?

ITR: Wapi nimepindisha maneno? Nimekusikitikia tu! Wewe kila anayeitetea Israel ni Mkristo! Unafahamu imani yangu? Okay for the sake of arguments hebu niwe kama unavyotaka niwe, Hitler aliyeua Wayahudi 6 Million alikuwa Mkristo? Chuki yake kwa Wayahudi na Wakristo ilikuwa almost equal, lakini alishindwa kuwauwa Wajerumani akawaundia Makanisa ambayo boya kutimiza adhma yake..... Unajua orodha ya Wakristo waliouawa na Hitler? Au Huwafahamu watu kama Dietrich Bonheifer...list ni kubwa sana.....Sio mada yetu hiyo....

Kama huko ulaya Wayahudi walichukiwa na kuuawa na hao Wakristo (Sidhani Maandiko ya Wakristo) yanafundisha chuki dhidi ya Wayahudi, lakini walijifunza makosa yao, na kuwakubali kubadilisha mwelekeo wao....

Sasa utasemaje kuhusu Waislamu? Chuki yao iko deep rooted kutokana na imani yao....Huwezi kupinga huo ukweli! The motivation to fight jews is deep rooted from your religious text.....Waarabu (facts from History) Wanaungana na Palestinians inapokuja kuipiga Israel, ukiondoa hilo support yao ni ndogo mno! Najua unafahamu Mfalme Hussein alivyowachinja 1970, na unajua Kuwait ilivyowafungasha virago! Ni imani ya dini tu ndio inawaunganisha!

Hivyo ITR kama wewe unasukumwa na dini kuitetea Hamas....hukosei hata kidogo, your lenses to view life is skewed by your religion!
 
Kwa hilo nakubaliana na wewe kabisa! Charter ya Hamas kiuhalisia HAIWEZEKANI! Huwezi kabisa kuwafuta Million 15 ya Wayahudi na kuwatumbukiza baharini! Wanajua kabisa hilo haliwezekani na halitawezekana! Iran inajua fika kuwa kuwafuta Israel chini ya jua ni ndoto!
Hivyo ITR Charter ya HAMAS haijakaa kisiasa.....Imekaa kidini....Hebu isome tena!

he Hamas Covenant​

  • The Covenant of the Islamic Resistance Movement was issued on August 18, 1988. The Islamic Resistance Movement, also known as the HAMAS, is an extremist fundamentalist Islamic organization operating in the territories under Israeli control. Its Covenant is a comprehensive manifesto comprised of 36 separate articles, all of which promote the basic HAMAS goal of destroying the State of Israel through Jihad (Islamic Holy War). The following are excerpts of the HAMAS Covenant:

  • Goals of the HAMAS:
    "The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinian movement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life is Islam. It strives to raise the banner of Allah over every inch of Palestine." (Article 6)

    On the destruction of Israel:

    "Israel will exist and will continue to exist until Islam will obliterate it, just as it obliterated others before it." (Preamble)

    The exclusive Moslem nature of the area:

    "The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession] consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No one can renounce it or any part, or abandon it or any part of it." (Article 11)
    "Palestine is an Islamic land... Since this is the case, the Liberation of Palestine is an individual duty for every Moslem wherever he may be." (Article 13)

    The call to jihad:

    "The day the enemies usurp part of Moslem land, Jihad becomes the individual duty of every Moslem. In the face of the Jews' usurpation, it is compulsory that the banner of Jihad be raised." (Article 15)
    "Ranks will close, fighters joining other fighters, and masses everywhere in the Islamic world will come forward in response to the call of duty, loudly proclaiming: 'Hail to Jihad!'. This cry will reach the heavens and will go on being resounded until liberation is achieved, the invaders vanquished and Allah's victory comes about." (Article 33)

    Rejection of a negotiated peace settlement:

    "[Peace] initiatives, and so-called peaceful solutions and international conferences are in contradiction to the principles of the Islamic Resistance Movement... Those conferences are no more than a means to appoint the infidels as arbitrators in the lands of Islam... There is no solution for the Palestinian problem except by Jihad. Initiatives, proposals and international conferences are but a waste of time, an exercise in futility." (Article 13)
  • Article Thirteen:​

    Initiatives, and so-called peaceful solutions and international conferences, are in contradiction to the principles of the Islamic Resistance Movement. Abusing any part of Palestine is abuse directed against part of religion. Nationalism of the Islamic Resistance Movement is part of its religion. Its members have been fed on that. For the sake of hoisting the banner of Allah over their homeland they fight. "Allah will be prominent, but most people do not know."

    Now and then the call goes out for the convening of an international conference to look for ways of solving the (Palestinian) question. Some accept, others reject the idea, for this or other reason, with one stipulation or more for consent to convening the conference and participating in it. Knowing the parties constituting the conference, their past and present attitudes towards Moslem problems, the Islamic Resistance Movement does not consider these conferences capable of realising the demands, restoring the rights or doing justice to the oppressed. These conferences are only ways of setting the infidels in the land of the Moslems as arbitraters. When did the infidels do justice to the believers?

    "But the Jews will not be pleased with thee, neither the Christians, until thou follow their religion; say, The direction of Allah is the true direction. And verily if thou follow their desires, after the knowledge which hath been given thee, thou shalt find no patron or protector against Allah." (The Cow - verse 120).
    There is no solution for the Palestinian question except through Jihad. Initiatives, proposals and international conferences are all a waste of time and vain endeavors. The Palestinian people know better than to consent to having their future, rights and fate toyed with. As in said in the honourable Hadith:

    "The people of Syria are Allah's lash in His land. He wreaks His vengeance through them against whomsoever He wishes among His slaves It is unthinkable that those who are double-faced among them should prosper over the faithful. They will certainly die out of grief and desperation."
 
ITR: Wapi nimepindisha maneno? Nimekusikitikia tu! Wewe kila anayeitetea Israel ni Mkristo! Unafahamu imani yangu? Okay for the sake of arguments hebu niwe kama unavyotaka niwe, Hitler aliyeua Wayahudi 6 Million alikuwa Mkristo? Chuki yake kwa Wayahudi na Wakristo ilikuwa almost equal, lakini alishindwa kuwauwa Wajerumani akawaundia Makanisa ambayo boya kutimiza adhma yake..... Unajua orodha ya Wakristo waliouawa na Hitler? Au Huwafahamu watu kama Dietrich Bonheifer...list ni kubwa sana.....Sio mada yetu hiyo....

Kama huko ulaya Wayahudi walichukiwa na kuuawa na hao Wakristo (Sidhani Maandiko ya Wakristo) yanafundisha chuki dhidi ya Wayahudi, lakini walijifunza makosa yao, na kuwakubali kubadilisha mwelekeo wao....

Sasa utasemaje kuhusu Waislamu? Chuki yao iko deep rooted kutokana na imani yao....Huwezi kupinga huo ukweli! The motivation to fight jews is deep rooted from your religious text.....Waarabu (facts from History) Wanaungana na Palestinians inapokuja kuipiga Israel, ukiondoa hilo support yao ni ndogo mno! Najua unafahamu Mfalme Hussein alivyowachinja 1970, na unajua Kuwait ilivyowafungasha virago! Ni imani ya dini tu ndio inawaunganisha!

Hivyo ITR kama wewe unasukumwa na dini kuitetea Hamas....hukosei hata kidogo, your lenses to view life is skewed by your religion!

Hata ww nakusikitikia kwa kudhani kuikosoa Israel ni chuki dhidi ya wayahudi.
Pia acha kukana imani yako ww ni mkirsito.

Sasa ww usiye jua hata Hitra alikuwa dini gani kuna haja gani ya kuendelea kubishana na ww?
Hitra alikuwa mkirsito wa dhehebu la kikatoriki na kuna nyaraka zilivuja mwaka mwezi wa 6 mwaka huu zinazo fichua kuwa papa wa wakati huo alikuwa ana jua nia na mkakati wa Hitra kuwaangamiza wayahudi lakini akakaa kimia ina maana wenda na kanisa katoriki inahusika kwa namna moja au nyingine kwenye maangamizi hayo.

Sasa kama hakuna andiko linalo wafundisha chuki dhidi ya Wayahudi kwann wakiristo ndo wawe wahusika wa maangamizi dhidi ya hao wayahudi na sio waisilam walio fundishwa chuki dhidi ya wayahudi?
Alafu naomba uniwekee andiko ndani ya Qruan linalo sema waisilam wawachukie Wayahudi.

Mm sisukumwi na dini kuitetea hamas kwa sababu hakuna sehemu yeyote ambayo hamas imesema inapigania uislam ,bali lengo la Hamas ni kukomboa ardhi za wapalestina na kuwafanya wawe huru, ina maana ww kwako binadamu mwenzako kuwa huru ndani ya nchi yake kama ulivyo ww ni vibaya? mm naiunga mkono hamas kwa misingi ya kupigania uhuru wa wapalestina na pia tambua ya kuwa wapalestina sio waisilam tu bali pia kuwa wakristo na wasio na dini.

Sasa ww niambie unaitetea Israel kwa hoja zipi zaidi ya hoja za udini wa taifa teule ?
Ww ni mtu kutoka kwenye nchi ambayo ilisha pitia makovu ya ukoloni leo hii unaitetea Israel ambayo anawafanyia ukoloni wapalestina, kama huo ukoloni ni mzuri kilicho kufanya ukawafukuza wakoloni kwenye nchi yako ni kipi?
 
Kwa hilo nakubaliana na wewe kabisa! Charter ya Hamas kiuhalisia HAIWEZEKANI! Huwezi kabisa kuwafuta Million 15 ya Wayahudi na kuwatumbukiza baharini! Wanajua kabisa hilo haliwezekani na halitawezekana! Iran inajua fika kuwa kuwafuta Israel chini ya jua ni ndoto!
Hivyo ITR Charter ya HAMAS haijakaa kisiasa.....Imekaa kidini....Hebu isome tena!

he Hamas Covenant​

  • The Covenant of the Islamic Resistance Movement was issued on August 18, 1988. The Islamic Resistance Movement, also known as the HAMAS, is an extremist fundamentalist Islamic organization operating in the territories under Israeli control. Its Covenant is a comprehensive manifesto comprised of 36 separate articles, all of which promote the basic HAMAS goal of destroying the State of Israel through Jihad (Islamic Holy War). The following are excerpts of the HAMAS Covenant:

  • Goals of the HAMAS:
    "The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinian movement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life is Islam. It strives to raise the banner of Allah over every inch of Palestine." (Article 6)

    On the destruction of Israel:

    "Israel will exist and will continue to exist until Islam will obliterate it, just as it obliterated others before it." (Preamble)

    The exclusive Moslem nature of the area:

    "The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession] consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No one can renounce it or any part, or abandon it or any part of it." (Article 11)
    "Palestine is an Islamic land... Since this is the case, the Liberation of Palestine is an individual duty for every Moslem wherever he may be." (Article 13)

    The call to jihad:

    "The day the enemies usurp part of Moslem land, Jihad becomes the individual duty of every Moslem. In the face of the Jews' usurpation, it is compulsory that the banner of Jihad be raised." (Article 15)
    "Ranks will close, fighters joining other fighters, and masses everywhere in the Islamic world will come forward in response to the call of duty, loudly proclaiming: 'Hail to Jihad!'. This cry will reach the heavens and will go on being resounded until liberation is achieved, the invaders vanquished and Allah's victory comes about." (Article 33)

    Rejection of a negotiated peace settlement:

    "[Peace] initiatives, and so-called peaceful solutions and international conferences are in contradiction to the principles of the Islamic Resistance Movement... Those conferences are no more than a means to appoint the infidels as arbitrators in the lands of Islam... There is no solution for the Palestinian problem except by Jihad. Initiatives, proposals and international conferences are but a waste of time, an exercise in futility." (Article 13)
  • Article Thirteen:​

    Initiatives, and so-called peaceful solutions and international conferences, are in contradiction to the principles of the Islamic Resistance Movement. Abusing any part of Palestine is abuse directed against part of religion. Nationalism of the Islamic Resistance Movement is part of its religion. Its members have been fed on that. For the sake of hoisting the banner of Allah over their homeland they fight. "Allah will be prominent, but most people do not know."

    Now and then the call goes out for the convening of an international conference to look for ways of solving the (Palestinian) question. Some accept, others reject the idea, for this or other reason, with one stipulation or more for consent to convening the conference and participating in it. Knowing the parties constituting the conference, their past and present attitudes towards Moslem problems, the Islamic Resistance Movement does not consider these conferences capable of realising the demands, restoring the rights or doing justice to the oppressed. These conferences are only ways of setting the infidels in the land of the Moslems as arbitraters. When did the infidels do justice to the believers?

    There is no solution for the Palestinian question except through Jihad. Initiatives, proposals and international conferences are all a waste of time and vain endeavors. The Palestinian people know better than to consent to having their future, rights and fate toyed with. As in said in the honourable Hadith:

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kwanza unacho takiwa ni kutofautisha raia wa Israel na watu wenye asili ya kiyahudi.

Kuna mamilioni ya raia wa Israel ambao sio wayahudi na kuna mamilioni ya Wayahudi ambao sio raia wa Israel mm nadhani hapa ndo unapo shindwa kutofautisha na kujikuta kwenye mtego wa kufikiri kuwa mtu akiikosoa au kuichukia Israel basi anawachukia Wayahudi.

Watu wanapo sema kuiangamiza Israel kinacho kuwa kimelengwa sio wayahudi bali ni serikali ya sasa inayo iongoza Israel .
Acha kushabikia ukoloni , ww kila siku kushinda humu undai haki kutoka kwa ccm ila hizo haki hutaki wapalestina wapewe.
 
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

hao wote wanaenda kuchinjwa. nawaonea huruma mno. bora wangemjua Mungu wa kweli kuliko kufa katika hiyo dini ya waarabu. wataenda motoni moja kwa moja.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kwanza unacho takiwa ni kutofautisha raia wa Israel na watu wenye asili ya kiyahudi.

Kuna mamilioni ya raia wa Israel ambao sio wayahudi na kuna mamilioni ya Wayahudi ambao sio raia wa Israel mm nadhani hapa ndo unapo shindwa kutofautisha na kujikuta kwenye mtego wa kufikiri kuwa mtu akiikosoa au kuichukia Israel basi anawachukia Wayahudi.

Watu wanapo sema kuiangamiza Israel kinacho kuwa kimelengwa sio wayahudi bali ni serikali ya sasa inayo iongoza Israel .
Acha kushabikia ukoloni , ww kila siku kushinda humu undai haki kutoka kwa ccm ila hizo haki hutaki wapalestina wapewe.

Mimi nashabikia ukoloni....Wewe unashabikia Jihad....? Una tofauti? Wewe na Boko Haram na ISIS tofauti ndogo....Unaikataa Charter ya Hamas, ambayo iko wazi....Kweli tabu tupu....!
 
Hata ww nakusikitikia kwa kudhani kuikosoa Israel ni chuki dhidi ya wayahudi.
Pia acha kukana imani yako ww ni mkirsito.

Sasa ww usiye jua hata Hitra alikuwa dini gani kuna haja gani ya kuendelea kubishana na ww?
Hitra alikuwa mkirsito wa dhehebu la kikatoriki na kuna nyaraka zilivuja mwaka mwezi wa 6 mwaka huu zinazo fichua kuwa papa wa wakati huo alikuwa ana jua nia na mkakati wa Hitra kuwaangamiza wayahudi lakini akakaa kimia ina maana wenda na kanisa katoriki inahusika kwa namna moja au nyingine kwenye maangamizi hayo.

Sasa kama hakuna andiko linalo wafundisha chuki dhidi ya Wayahudi kwann wakiristo ndo wawe wahusika wa maangamizi dhidi ya hao wayahudi na sio waisilam walio fundishwa chuki dhidi ya wayahudi?
Alafu naomba uniwekee andiko ndani ya Qruan linalo sema waisilam wawachukie Wayahudi.

Mm sisukumwi na dini kuitetea hamas kwa sababu hakuna sehemu yeyote ambayo hamas imesema inapigania uislam ,bali lengo la Hamas ni kukomboa ardhi za wapalestina na kuwafanya wawe huru, ina maana ww kwako binadamu mwenzako kuwa huru ndani ya nchi yake kama ulivyo ww ni vibaya? mm naiunga mkono hamas kwa misingi ya kupigania uhuru wa wapalestina na pia tambua ya kuwa wapalestina sio waisilam tu bali pia kuwa wakristo na wasio na dini.

Sasa ww niambie unaitetea Israel kwa hoja zipi zaidi ya hoja za udini wa taifa teule ?
Ww ni mtu kutoka kwenye nchi ambayo ilisha pitia makovu ya ukoloni leo hii unaitetea Israel ambayo anawafanyia ukoloni wapalestina, kama huo ukoloni ni mzuri kilicho kufanya ukawafukuza wakoloni kwenye nchi yako ni kipi?

Wewe unaitetea Hamas kwa ahadi ya Mabikra?......Ni Nakba nyingine.....Mtaanza upya kuikomboa Gaza......Jazba ya Jihad isiyo na logic wala common sense....!
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kwanza unacho takiwa ni kutofautisha raia wa Israel na watu wenye asili ya kiyahudi.

Kuna mamilioni ya raia wa Israel ambao sio wayahudi na kuna mamilioni ya Wayahudi ambao sio raia wa Israel mm nadhani hapa ndo unapo shindwa kutofautisha na kujikuta kwenye mtego wa kufikiri kuwa mtu akiikosoa au kuichukia Israel basi anawachukia Wayahudi.

Watu wanapo sema kuiangamiza Israel kinacho kuwa kimelengwa sio wayahudi bali ni serikali ya sasa inayo iongoza Israel .
Acha kushabikia ukoloni , ww kila siku kushinda humu undai haki kutoka kwa ccm ila hizo haki hutaki wapalestina wapewe.

ITR :

Unatimiza wajibu Mkuu......

Article 15:

The day that enemies usurp part of Muslim land, Jihad becomes the individual duty of every Muslim. In face of the Jews' usurpation of Palestine, it is compulsory that the banner of Jihad be raised.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kwanza unacho takiwa ni kutofautisha raia wa Israel na watu wenye asili ya kiyahudi.

Kuna mamilioni ya raia wa Israel ambao sio wayahudi na kuna mamilioni ya Wayahudi ambao sio raia wa Israel mm nadhani hapa ndo unapo shindwa kutofautisha na kujikuta kwenye mtego wa kufikiri kuwa mtu akiikosoa au kuichukia Israel basi anawachukia Wayahudi.

Watu wanapo sema kuiangamiza Israel kinacho kuwa kimelengwa sio wayahudi bali ni serikali ya sasa inayo iongoza Israel .
Acha kushabikia ukoloni , ww kila siku kushinda humu undai haki kutoka kwa ccm ila hizo haki hutaki wapalestina wapewe.

Mkuu Ukoloni upi huo.......Wana serikali yao.....Gaza na West Bank iko chini yao......Unataka wapewe nini....Kila offer kuanzia 1948 wanaikataa.....Wamepewa offers nyingi....wao wanataka Genocide......Sasa imewakuta wao.....angali death toll leo....

Israel-Hamas war live: Gaza death toll surpasses 17,700 in Israeli attacks​

  • At least 17,700 Palestinians have been killed in Gaza since October 7 with more than 48,800 wounded. In Israel, the revised official death toll stands at about 1,147.

All this is part of senseless Jihad.......Mpaka mwisho mwa December itakuwa almost 20,000.......! Hamjifunzi kutokana na attempts za toka 1948, 1967, 1973......Now you are losing Gaza again..... Hamas inabidi irudi kwenye drawing board tena....Hii ya October 7 imeshindwa.
 
Mimi nashabikia ukoloni....Wewe unashabikia Jihad....? Una tofauti? Wewe na Boko Haram na ISIS tofauti ndogo....Unaikataa Charter ya Hamas, ambayo iko wazi....Kweli tabu tupu....!
Sasa kama hushabikii ukoloni unaitetea Israel kwa hoja zipi?
Hamas hawapigani jihadi wala kwenye sera zao hakuna wanapo sema wanapigana jihadi, bali wanapigania ukombozi wa taifa la palestina kama akina mkwawa, msike ,kinjekitire, na Nyerere walivyo pigana na wakoloni ww hapo ukawa huru ndani ya taifa lako hiyo ndo hoja ninayo itumia kuwaunga mkono hamas.
Sasa ww niwekee sababu zenye mashiko zinazo kufanya ushabikie huu uovu unao fanywa na Israel?
 
Mkuu Ukoloni upi huo.......Wana serikali yao.....Gaza na West Bank iko chini yao......Unataka wapewe nini....Kila offer kuanzia 1948 wanaikataa.....Wamepewa offers nyingi....wao wanataka Genocide......Sasa imewakuta wao.....angali death toll leo....

Israel-Hamas war live: Gaza death toll surpasses 17,700 in Israeli attacks​

  • At least 17,700 Palestinians have been killed in Gaza since October 7 with more than 48,800 wounded. In Israel, the revised official death toll stands at about 1,147.

All this is part of senseless Jihad.......Mpaka mwisho mwa December itakuwa almost 20,000.......! Hamjifunzi kutokana na attempts za toka 1948, 1967, 1973......Now you are losing Gaza again..... Hamas inabidi irudi kwenye drawing board tena....Hii ya October 7 imeshindwa.
Eh kumbe naongea na kilaza hapa? Wapalestina wanavyo kuwa wanapingwa risasi na kuuwa , kunganganywa ardhi zao ,kuwekwa gerezani mpaka watoto wa miaka kumi hiyo serikali ya West bank inakuwa wapi kuwatetea hao raia wao wasifanyiwe hivyo na Israel?

Vipi kuhusu mkataba wa Oslo ulio tiwa saini kati ya Yarafat na waziri mkuu wa Israel wa wakati ule ambao ulikuwa ni makubaliano ya kuundwa kwa mataifa mawili ni nani aliye uvunja?

Asilimia kubwa ya wapalestina wanaishi kwenye kambi za wakimbizi baada ya wao kufukuzwa kwenye nyumba na ardhi zao na kupewa walowezi.
Vipi ww utajisikiaje serikali ije ikuondoe nyumbani kwenu na familia yako nzima alafu wachukue mali zenu zote Wawa gawie watu wengine alafu ww upelekwe kwenye kambi ya wakimbizi uanze kuishi kwa misaada ya UN.

Hata kama akiuwa watu milion 1 haiwezi kumsaidia kushinda vita maana kama kuuwa watu hovyo ndo kushinda vita basi mpaka sasa alitakiwa awe ameishinda Hamas.
Kama kuuwa watu ndo kunapelekea kushinda vita Hitra ndo alitakiwa awe mshindi wa vita ya dunia maana jeshi lake liliuwa mamilioni ya watu.

Marekani aliuwa mamilioni ya watu nchini Vietnam lakini mwisho wa vita yeye ndo akawa mshindwa vita tena kwa aibu.
Kuna vita vimeuwa mamilioni ya watu ww unashangaa watu 20,000? alafu kila binadamu ni mkimbizi wa kesho hivyo kuwa na akiba ya maneno.

Ww uko kwenye nchi yako unafurahia uhuru ndani ya nchi yako alafu upo unashabikia binadamu mwenzako kutawaliwa kikoloni katika karne ya 21 ww ni mtu wa ajabu sana.
 
Hamas wameshambulia october 7 lakini israel ameizingira gaza kwa zaidi ya miaka 50 na anauwa wa palestine anavyojisikia kwahyo ulitaka miaka yote wakae kimya tu kukubali uonevu huo wanavunjiwa nyumba zao maeneo wanawekwa wazayuni wanajenga nyumba hayo maeneo wanafanya ushoga humo halafu mnawaita watakatifu,km ww unaweza kuvumilia uonevu ni ww
Acheni wapambane sasa, mstuletee mambo ya udini
 
Back
Top Bottom