Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

Nadhani something is wrong with you! ..........Statistics as today........

Gaza's Ministry of Health said on Thursday that at least 179 people had been killed and 303 wounded in Israeli attacks over the past day, bringing the death toll in Gaza since the war began on October 7 to 18,787 with 50,897 injured.1 day ago

Kwa hiyo kufa kwa raia 18,787 ndio kushinda Vita......Ipe Hongera Hamas basi kwa hilo! .......Na kuabika mbele ya Ulimwengu una maana ipi...? Ulimwengu ndani ya ubongo wako? Umeulizia Bolivia....Chad.....Guatemala........Belize...Una sensa yoyote ile......! Labda ulimwengu wa nchi 22 za kiarabu.....ambayo wameiabisha Palestina kwa kutotoa msaada wowote! Imebidi US atoe litu kidogo kwa Egpty ili ifungue mpaka kuingiza misaada! Egpty hataki kabisa hata Hamas mmoja aingie, anajua wazi ataleta ugonjwa wa Moslem Brotherhood!

Facts: Gaza inaharibiwa! Itaanza upya tena....Hakuna chochote kile ambacho Hamas iimefanikiwa katika kusukuma agenda yake! Waarabu mataifa 22 wanaendelea kutoa laana, lakini wanashindwa kuchukua hatua yoyote ile!
Taratibu akili imeanza kuingia...Abu Mazrouk mara aseme tuko tayari kuitambua Israel.......mara akatae! Unajua kabisa hali imekua ngumu.....! Sijui nani anaibika....
Huna unchokijua kwenye anga za kimataifa , ili taifa liwe taifa lazima likubalike na kuheshimiwa , na sasa israel imepoteza vyote ndugu zetu watanzania wameuliwa kisa israel , nani ana feel safe kwenda israel?huyo raia wa israel hafeel salama popote alipo duniani
 
Attachments

  • Screenshot_20231216-094641_Chrome.jpg
    Screenshot_20231216-094641_Chrome.jpg
    88.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231216-094304_Chrome.jpg
    Screenshot_20231216-094304_Chrome.jpg
    115.7 KB · Views: 4
Hayo yote ni magaidi hata huhitaji uchunguzi wa kina kujua.Kingine kwanini waislamu wa jf mnaongelea sana mambo ya hovyo na pia mnaongoza kuwa na lugha chafu,kwamba ninyi ndio mmehitimu haswaa mafundisho ya misikitini?
[emoji1134][emoji1193][emoji599][emoji845] BOMBSHELL: These dudes keep surrendering!

In the newer fotos they surrender from the left!

LMAO … don’t ask me why they don’t use other people. I have no idea. [emoji2369][emoji1787]
IMG_20231217_120924.jpg
 
Huna unchokijua kwenye anga za kimataifa , ili taifa liwe taifa lazima likubalike na kuheshimiwa , na sasa israel imepoteza vyote ndugu zetu watanzania wameuliwa kisa israel , nani ana feel safe kwenda israel?huyo raia wa israel hafeel salama popote alipo duniani

Ila Hamas inaheshimiwa kimataifa! Kweli ukipenda chongo utaita kengeza!
 
leo taarifa zinasema 50% ya israel bombs where dumb meaning hayakuwa na target maalum hiyo ni dalili ya kwanza ya mtu asiyejua anachokifanya ataishia kuua raia na nyumba empty , na sio kutokomeza hamas kama anavyojidai mwisho wa aiku kaua hadi raia wake mwenyewe huo sasa ndio ujinga tunaosema, waarabu hilo eneo wana uwezo wa kuijenga kwa siku chache tu hawanaga njaa hizo nadhani unalijua hilo.

Ila so far idf imeshindwa kuwaokoa mateka wao na kuwaua baadhi

mepoteza wanajeshi wake na inaendelea kupoteza

Israel imepoteza heshima yake kwenye international community kwa kushindwa kupigana na hamas na kuokoa raia wakati imekuwa ikijinadi kama bingwa wa intelligence na vita
Imeongeza chuki na uadui kwa jews duniani kote na kuathiri hata uchumi wake na usalama wake kwani hakuna mtu atajisikia salama kwenda israel huku biashara zake na meli zinazoingia na kutoka kupitia suez canal zikishambuliwa na kufanya baadhi ya meli kutotaka kwenda israel ikiwemo biggest shipoing company maersk ambaye kasimamisha meli zake kupita suez canal specifically kwenda israel

Puma imegoma kurenew mkataba wake na israel national team

Haya ni madhara machache na yatazidi kuendelea

Una mambo ya ajabu mkuu.....Puma inaleta madhara kwa taifa? Narudia tena na tena Waarabu 1948, 1967, 1973 na Sana mnaanza tena na asimama tete na Gaza.....Kama sio kutambaa...Poor Arabs....! Poor Jihadist! Kweli hii Nakba nyingine ya kujitakia....Mpaka leo ni Vifo vya Watu 20,000! Eti Israel inauwa raia, Wakati October 7 Hamas iliona inaua panya! Mara mnasema mnashinda Vita! Mara Mapigano yasimamishwe.....Subirni Resolution nyingine ya UN, Marekani inapitia neno kwa neno ili kuipitisha! Amasivyo itaipiga VETO!

Kupigana na Hamas you must be brutal! Israel haina option yoyote, ila kufanya inachofanya! Kama vile Hamas walivyofanya October 7. Tusibiri hao Madhara ya Israel, Mkuu una mabo sana...eti Puma...! Itakuja Adidas....Nike....Huwa vinasaidia nini katika ufanisi wa Taifa! Be serious ndugu yangu.....! Weka hpo tu kwenye hii resolution ambayo nadhani watapiga kura leo....!
 
haya na haya yote tulishasema hii vita israel alishashindwa zamani wenye akili walishaliona sasahivi netanyahu anatapatapa tu with no clear vision
 
Attachments

  • Screenshot_20231222-145518_Chrome.jpg
    Screenshot_20231222-145518_Chrome.jpg
    135.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20231222-145448_Chrome.jpg
    Screenshot_20231222-145448_Chrome.jpg
    128.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231222-145351_Chrome.jpg
    Screenshot_20231222-145351_Chrome.jpg
    123.1 KB · Views: 1
Ila Hamas inaheshimiwa kimataifa! Kweli ukipenda chongo utaita kengeza!
Wapigania uhuru lengo lao ni ukombozi na wamefanikiwa kumuadabisha netanyahu hadi sasahivi kila kitu kinamuende vibaya from international support to uchumi wa israel
 
Wapigania uhuru lengo lao ni ukombozi na wamefanikiwa kumuadabisha netanyahu hadi sasahivi kila kitu kinamuende vibaya from international support to uchumi wa israel

Kuna kipindi huwa nadhani na communicate na intelligent na well read person, kumbe ni hamnazo.....! Kwa hiyo Hamas wamemuadibisha Israel.....Sasa wako Egypt kufanya negotiations za nini.......Kwa Nini Wanarudia tena Muswada upelekwe UN wa kusimamisha mapigano! .....Hizo kelele za stop killing na humanitarian aid ni za nini hasa? Kwa nini wasiendelee kumuadibisha! You contradicting yourself!

Ungelijua strength ya Israel economy and who is behind it ungekaa kimya kabisa.......! Hao Waarabu wanapojaribu ku normalize relationship yao na Israel si wajinga.....They Israel behind the scene.....!
 
Na wewe kweli huna unalojua kwani hujui kwamba marekani ndio anayemuombea israel normalization in exchange for several returns na wengi still wamegoma
 
haya na haya yote tulishasema hii vita israel alishashindwa zamani wenye akili walishaliona sasahivi netanyahu anatapatapa tu with no clear vision

Hivyo Hamas ana clear vision.....Nani mwenye akili...Viongozi wa Hamas wako Egypt leo, Kufanya nini hasa...Nadhani this Friday Muswada utaenda UN....Kufanya nini Hasa...? Hivi Uko wapi wewe? Number as today 20,000 Killed! Inachekesha!
 
Na wewe kweli huna unalojua kwani hujui kwamba marekani ndio anayemuombea israel normalization in exchange for several returns na wengi still wamegoma

Kama nilivyokuambia tena tena....after this war Israel itabakia intact.......Wapelestina wataanza upya kuikomboa Gaza.....na silaha yao kubwa ya Intifada......Historia itaandikwa tena Nakba ya 2023.....Nakba ya 1948 itakuwa imejirudia....Kama ilivyokuwa 1948, 1967, 1973 na sasa 2023....ni mduara ule ule ! Waarabu sio strategic thinkers....Mataifa 22 baadhi yao ni tajiri, huwa hawana game plan ya vita vyovyote ile.....Ni jazba tu...rudia historia ya 1948....Makosa waliyoyafanya wanarudia hayo hayo!.....Eti Israel iatakosa heshima katika International community, utafarikiri Hamas inao hiyo heshima! Israel imezoea kukosa heshima, sio kitu kigeni kwao......!

Mkuu by the end of January vita itakuwa imesimama....Uone hata kuna one nchi Wapelestina watapata! Zitatokea endless negotiation.....Sana sana ku rebuild Gaza tena! Pesa kutoka Arabs na Europe zitamwaga....Watatokea Wapelestina wengine walafi kuzimbilia na kujenga makazi ya kifahari Turkey na Qatar, kama alivyofanya Yarafat kuishia Paris..... Huo ndio ukweli mchungu mjiandae kuumeza.....!
 
Killing civilians haiisaidii chochote israel zaidi ya kuingia kwenye historia mbaya kama ya hitler ndio maana dunia nzima imeacha kuipa support na huruma israel kama hapo awali ukiangalia hadi jbiden aliwaambia jews kwenye meeting USA kwamba israel is risking losing world support kwa anayofanya netanyahu now, 50% of the bombs zilikuwa dummy yani hazikuwa na specific target hiyo ni dalili ya mtu anayepigana bila ya clear vision, na unaongeza civilian deaths , na huwezi kutimiza malengo ya vita thaats why hadi leo haja achieve chochote kwenye vita zaidi ya kupewa maonyo kutoka kila pande ya dunia na kuumiza uchumi wake mwenyewe
 
Hata ukiangalia aljazeera kama huna unachoelewa ni bure hujui kwamba waarabu hawaitambui israel kama state hadi leo

Imesaidia nini kutoitambua Israel ! .....Sio ndio unaona ujinga wao, hayo mataifa ya Kiarabu ambao yako kama 22 kwenye Arab League yameshindwa kabisa kubadili mwelekeo wa Wapalestine kwa miaka 75 ya hicho wanachoita "occupation" ! 75 years ya kushindwa tu, from 1948, 1973, 1967 na sasa 2023.

Wengi tulidhani October 7 Hamas walifanya shambulio lao kama chambo tu, ili mataifa ya Kiarabu yaingie vitani.....Kwa taarifa yako ni ZERO assistance! Hata Iran ambaye amekula yamini ya kuingamiza Israel hatuoni chochote inachofanya wakati Gaza inabakia magofu!

Lakini nikusaidie tu, Uhusiano wa Israel na hao Waarab unaouzungumza ni Mkubwa mno na Israel! Ila unafanyika chini chini tu! Wanafanya biashara nyingi chini ya meza kuwahaada Warabu wenzeo! Imeawauzia Pesagus technology Saudia ambayo iliwasaidia kujua nyendo za Kashoggi hadi kumuua Uturuki, imefanya hivyo hata kwa Egpty, UAE.

Hivyo kaa mkidanganywa kwamba Waarabu hawana mahusiano na Israel......Nadhani unashindwa hata kuona role ya Egypt katika vita hivi!
 
Killing civilians haiisaidii chochote israel zaidi ya kuingia kwenye historia mbaya kama ya hitler ndio maana dunia nzima imeacha kuipa support na huruma israel kama hapo awali ukiangalia hadi jbiden aliwaambia jews kwenye meeting USA kwamba israel is risking losing world support kwa anayofanya netanyahu now, 50% of the bombs zilikuwa dummy yani hazikuwa na specific target hiyo ni dalili ya mtu anayepigana bila ya clear vision, na unaongeza civilian deaths , na huwezi kutimiza malengo ya vita thaats why hadi leo haja achieve chochote kwenye vita zaidi ya kupewa maonyo kutoka kila pande ya dunia na kuumiza uchumi wake mwenyewe

InCharge : Kama killing civilians kwa Israel haisaidii, Je Kwa Hamas ndio inasaidia? Imesaidia nini walichokifanya October7?

Angalia matokeo! : Palestinians crowd around a food distribution point in Rafah

1703330578997.png
 
Killing civilians haiisaidii chochote israel zaidi ya kuingia kwenye historia mbaya kama ya hitler ndio maana dunia nzima imeacha kuipa support na huruma israel kama hapo awali ukiangalia hadi jbiden aliwaambia jews kwenye meeting USA kwamba israel is risking losing world support kwa anayofanya netanyahu now, 50% of the bombs zilikuwa dummy yani hazikuwa na specific target hiyo ni dalili ya mtu anayepigana bila ya clear vision, na unaongeza civilian deaths , na huwezi kutimiza malengo ya vita thaats why hadi leo haja achieve chochote kwenye vita zaidi ya kupewa maonyo kutoka kila pande ya dunia na kuumiza uchumi wake mwenyewe

In Charge: Historia mbaya ipi? Jamaa yangu, Hamas are not near animal, they are just barbaric creatures! Wanaporusha roketi kwenda Israel wana specific targets? Walichokifanya kwa watu waliokuwa kwenye tamasha la muziki October 7 walikua wana target nini hasa? Wengekuwa wameshambulia military installations za Israel angalau kungekua na some sort of justification! Mbona unapofusha akili zako jamaa yangu! Kweli Mkuki kwa nguruwe!

Nakuuliza tena Hamas October 7 Walikuwa na clear vision? They are vision was kill the Jews as much as they can! Sasa Israel ikutumia tactics za Hamas kill the Palestinians as much as you can, kwao inakua ni makosa. Naona kabisa una double standard!

Wana rusha mamia ya rockets without proper targets.....so long zinaangukia Israel, hilo linatosha! Na hali washangazi! Watu kama wewe! Ili Israel akifanya hivyo kelele nyingi! These Barbaric Hamas need that kind of response!

Wamesema wazi wakipata nafasi watarudia tena October 7......Inatakiwa wapate somo mapema! Wakirudia tena, hiyo ndio itakuwa response ya Israel!

Kwa walichokifanya 0ctober 7 hata hiyo " Two State solution" Wataisoma kwenye makaratasi tu! Ni Ukweli mchungu kuumeza, lakini hicho ndicho kinachokwenda kutokea!
 
Back
Top Bottom