Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wazalendo mafisi wanashabikia gazeti likifungiwa kwa kuandika habari za mafisadi?Tanzania ni takataka? wewe mwenzetu raia wa nchi gani maana hili ni tusi kwetu wazalendo, kama wewe ni mtanzania pia tafadhali tangulia dampo tutakukuta.