Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Kama ni kweli twafaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula ndimu kama hutaki wewe unafikiri atawapata wapi watendaji wazuri zaidi ya hao? tulia dawa ikuingie vizuriHii list mbona kichefuchefu
Unafikiri ikulu itakuwa sehemu ya futari kama miaka kumi iliyopita ?Hahahhahha mwanahalisi wahuni snaa hizo ni fitna kwa hao watwajao wasipewe lo
Hahahahahhahahaaaa.....tulisema sisi hakuna jipyaaaaaaa...hahahahahhaaa...
Huyo mangoes yeye ni mambo ya nje nini?ahhahaha ccm buanaaa
Hii list mbona kichefuchefu
Bunge la January mawaziri hawatakuwa na cha kusema maana ndio kwanza watakuwa wameingia ofisini...Wakati joto la kusubiri rais John Magufuli atangaze majina ya baraza lake la mawaziri likizidi kupanda, gazeti la Mwanahalisi limetoa baadhi ya majina yanayodaiwa kuvuja kutoka kwenye orodha hiyo.
Mmoja kati ya majina ambayo yamevuta usikivu wa wengi ni jina la aliyekuwa waziri wa mambo ya nje, Bernard Membe ambaye alikuwa mmoja kati ya wagombea wa CCM waliokuwa wanatajwa kuwa chaguo la rais mstaafu, Jakaya Kikwete.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwana Halisi, majina mengine yanayotajwa ni pamoja na
January Makamba,
Dk. Asha Rose Migiro,
Ridhiwani Kikwete,
Peter Serukamba na
Mwigulu Nchemba.
Jina jingine lililotajwa kwenye orodha hiyo ni jina la aliyekuwa Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino (SAUT), Dk. Charles Kitima.
Dk. Kitima anadaiwa kuwa mmoja kati ya watu waliomuamini sana Dk. Magufuli wakati akiwa Waziri wa Ujenzi na hata kumualika kuwa mgeni rasmi kwenye mahafari ya chuo hicho.
NB: Majina haya ni kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi ambalo limedai kuyapata baada ya kuvuja. Rais Bado hajatangaza baraza lake la mawaziri
Hata hivyo,Rais Magufuli anatarajiwa kutangaza baraza lake la mawaziri muda wowote kuanzia sasa.
Kwa mujibu wa katiba, rais anapaswa kutangaza baraza lake kabla ya kuanza kwa vikao vya bunge vya mwezi Januari.
source Mpekuzi blog
Jiongeze mkuu hiyo taarifa siyo rasmi lakin ajabu kwako ww umeifanya ndio rasmi.
Kumbe na Ridhiwani ni mtendaji mzuri? Kweli Tanzania tunao utajiri wa watendaji...Kula ndimu kama hutaki wewe unafikiri atawapata wapi watendaji wazuri zaidi ya hao? tulia dawa ikuingie vizuri
Labda watateuliwa kwanza kama yule mbobezi wa sheriaRose migiro, Bernad membe hawa ni wabunge wa majimbo yepi?
Hadi Nape anahusishwa na Baraza la Mawaziri? Haiwezekani bwana!Mkuu huo ni ukweli mtupu namie nilinyetwishwa kiaina..baraza safi sana hiliii...hapakazi tuuu...magufuliselemass oyeeee..mwandishi kamsahau nape tuu
Hahahahahhahahaaaa.....tulisema sisi hakuna jipyaaaaaaa...hahahahahhaaa...
Huyo mangoes yeye ni mambo ya nje nini?ahhahaha ccm buanaaa
Yaan hapo kwa Riz1! mbona itakuwa ni kama kurudisha utawala wa awamu ya 4 ?! sheeedah