Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
nasikia kamaliza la sabajamani mwenye kuelewa cv ya kubenea iwekwe hapa tuichambue tunaweza kumsifu kama mtu wa madia mahili kumbe hana fani hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nasikia kamaliza la sabajamani mwenye kuelewa cv ya kubenea iwekwe hapa tuichambue tunaweza kumsifu kama mtu wa madia mahili kumbe hana fani hiyo
Mkuu ukilisifia Mwanahalisi kwa kumuandika mtu liliyemuita mtekaji wa Ulimboka unazidi kulimaliza na kuonesha kuwa halifai. Si Mwanahalisi hili hili lililoandika Makala zaidi ya 70 kuelezea ufisadi wa LOWASSA? Siyo LOWASSA huyohuyo aliyepanda jukwaani pale Ubungo kumnadi KUBENEA(MMILIKI WA MWANAHALISI) wakati wa Kampeni? Kwa andiko lako , MWANAHALISI NI HOPLESS KABISAMkuu TataMadiba
MWanahalisi ni gazeti pendwa kwa habari za uchunguzi.
Kumbuka ni MWanahalisi huyu huyu ambaye alinadika HABARI KUHUSU ALIYEMTEKA NA KUMTESA DR. ULIMBOKA.
je nayo ilikuwa ni uongo?????? mbona mliamua kulifungia hili gazeti kama ni gazeti la uongo???
Lisemwalo lipo na kama halipo ujue linakuja.
Usiweweseke tulia siku yake itafika tu.
mwanahalisi hata ukinipa la bure sitaki, unafki wao wa kuniaminisha Lowassa ni fisadi na tamthilia zao za akina Jason Bourne zilinifanya niamini ni gazeti makini, ila niliyoyashuhudia baadaye halinifai even kwa kulikalia kwenye vumbi.
mkuu weka picha tukuamini
Kula ndimu kama hutaki wewe unafikiri atawapata wapi watendaji wazuri zaidi ya hao? tulia dawa ikuingie vizuri
Baba yake ndiye aliyefanikisha ushindi wa Magu kwa yale magari 700 ya kuwasha na vyombo vya dola pamoja na kumlazimisha yule babu wa tume kutangaza hiyo ni mojawapo ya rekodi nzuri ya familia hii katika utendaji kwahiyo subiri pini lizame kwanzaWe nyani kasoro mkia hivi ridhiwani kikwete anarekodi gani ya kiutendaji katika nchi hii?
LEO 07/12/205 gazeti la Mwanahalisi kwenye ukurasa wa mbele limeandika kichwa cha habari kinachosema "MAWAZIRI WAVUJA" huku kukiwa na picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli na picha watu wanane, wakiwa Wabunge na wengine wasiyo Wabunge kuwa ni miongoni mwa Mawaziri wateule katika baraza la Mawaziri atakaloliunda rais.
Mwanahalisi hawana jipya hapa. wanatafuta tu sifa na jambo la kusema pindi tu Rais atakapotangaza bazara la mawaziri.
Pamoja na mambo ambayo wataandika baada ya baraza kutangazwa yatakuwa ni:
1. Rais amepangua baraza na kuja na majina mapya baada ya yale ya awali kuvuja na kuandikwa na gazeti hili(MWANAHALISI). Huu utakuwa ni upuuzi mtupu, yaani rais ajichimbie takribani mwezi mmoja kwa lengo la kujiridhisha na aina ya watu anaowataka halafu, kwa sababu tu MWANAHALISI limewaandika awaache?
2. MWANAHALISI lilishaandika majina haya kuwa ni miongoni mwa baraza la Mawaziri. hii ni endapo baraza atakalolitangaza rais, majina hayo yatakuwemo. MWANAHALISI wanafanyakazi kwa kubahatishabahatisha tu, kutafuta sifa sifa tu kuwa ni wachunguzi.
LAKINI lengo hasa la MWANAHALISI kufanya hivi na kutaja mjina hayo 8 ni nini? Baraza la Magufuli lina Wizara 8 tu? mbona hawajataja baraza zima? hapa MWANAHALISI hawana jipya, malengo hapa ni mawili tu:
1. wana mambo yao binafsi na hayo majina manane(8) na kwa namna moja au nyingine kutaka kuonesha kuwa wanafaa kuwa kwenye baraza la Magufuli au hawafai.
2. wanataka tu kuionesha Serikali ya MAGUFULI ambaye anakenda na kasi ya ajabu katika utendaji wake kuwa ama iko makini au haiko makini. kwa kifupi ni kutaka tu kuikosoa kupitia ujumbe wake kwa wananchi.
TAFAKURI: MWANAHALISI wanapaswa kujitafakari kwa kina hususani katika kuwahabarisha wananchi. Hii serikali ya awamu ya Tano watanzania wana imani kubwa sana nayo na wako tayari kuiunga mkono kwa kila jambo linalolenga kuwaletea watanzani maendeleo. Propaganda za kijinga kama ambazo wanaanza kuzianzisha zimeshapitwa na wakati. Siyo muda tena wa kuwaaminisha watu mambo ambayo hayana tija kwa taifa.
MWANAHALISI wamuache RAIS AANDAYE BARAZA LAKE LA MAWAZIRI, Rais Magufuli siyo wa MAGAZETI wanajisumbua bure.
![]()
Lengo la mwanahalisi hasa ni kuwaharibia hawa ili wasiteuliwe,
na wakiteuliwa achukue credit kuwa ametoa habari ya kweli,
wasipoteuliwa anakuwa katmiza lengo na pia atasema baada ya kuvuja rais akabadilisha,
hapa rais asiangalia media zinasema nini,ateue kwa utashi wake,huyu kubenea yuko kwenye misheni yake na atapenda kuharibia utawala uliopo kwa kadri anavyoweza
Kwani Lowasa Si Fisadi?mwanahalisi hata ukinipa la bure sitaki, unafki wao wa kuniaminisha Lowassa ni fisadi na tamthilia zao za akina Jason Bourne zilinifanya niamini ni gazeti makini, ila niliyoyashuhudia baadaye halinifai even kwa kulikalia kwenye vumbi.