Gazeti la Mwanahalisi linatafuta cha kusema pindi baraza la Mawaziri litakapotangazwa

Gazeti la Mwanahalisi linatafuta cha kusema pindi baraza la Mawaziri litakapotangazwa

Kama unaona mwanahalisi limefanya makosa kutoa hayo majina 8 ya mawaziri waliovuja basi wachukulie hatua sio unaongea tu humu kwenye mitandao na unatakiwa ukumbuke lile ni gazeti bingwa la habari za kiuvhingizi serikali wenyewe waliligungia wakashindwa kesi sasa kubenea anaidai serikali bilioni 6 halafu wewe nani unaandika maneno meeengi unatumia enegy bure kizungumzia kitu ambacho hakikuhusu
 
Baraza la Kambi ya Upinzani vipi? Kuna fununu zozote kwamba wao wanatarajia kuwaweka kina nani, au nao wanasubiri mpangilio wa Wizara za JPM
 
Kati ya watu nisio taka hata kuwa sikia ni MWIGULU NCHEMBA, JANUARY MAKAMBA, R. KIKWETE na B. MEMBE ETI MAWAZIRI!!!

Duuh si itakuwa tu kama serikali ile ya KJ!! Uongozi wa kurithishana!!
 
Majigambo ya mtoto wa rahisi mstaafu yataongezeka maradufu kama nikweli

Ninachoona hapo lengo ni kuwaharibia akina Maembe,Riz1 na Makamba ili wasifikiriwe kwani JPM atataka kuonesha yeye bado hatabiriki kwenye teuzi zake
 
Mwanahalisi wana tabia za "willing woman" ni sifa chafu na ya kikahaba.
 
Mwigulu Kikwete Makamba Migiro kweli mkuu wa nchi atafanya haya?! Atawaumiza sana watanzania akifanya hili maana ni kulipa fadhila au remote control in the move? Let me believe 'It will never happen'
 
Mwanahalisi walishawai kuandika Lowassa hasafishiki ni fisadi papa baadae mliona wanachomwandika sasa.
 
LEO 07/12/205 gazeti la Mwanahalisi kwenye ukurasa wa mbele limeandika kichwa cha habari kinachosema "MAWAZIRI WAVUJA" huku kukiwa na picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli na picha watu wanane, wakiwa Wabunge na wengine wasiyo Wabunge kuwa ni miongoni mwa Mawaziri wateule katika baraza la Mawaziri atakaloliunda rais.
Mwanahalisi hawana jipya hapa. wanatafuta tu sifa na jambo la kusema pindi tu Rais atakapotangaza bazara la mawaziri.
Pamoja na mambo ambayo wataandika baada ya baraza kutangazwa yatakuwa ni:
1. Rais amepangua baraza na kuja na majina mapya baada ya yale ya awali kuvuja na kuandikwa na gazeti hili(MWANAHALISI). Huu utakuwa ni upuuzi mtupu, yaani rais ajichimbie takribani mwezi mmoja kwa lengo la kujiridhisha na aina ya watu anaowataka halafu, kwa sababu tu MWANAHALISI limewaandika awaache?
2. MWANAHALISI lilishaandika majina haya kuwa ni miongoni mwa baraza la Mawaziri. hii ni endapo baraza atakalolitangaza rais, majina hayo yatakuwemo. MWANAHALISI wanafanyakazi kwa kubahatishabahatisha tu, kutafuta sifa sifa tu kuwa ni wachunguzi.

LAKINI lengo hasa la MWANAHALISI kufanya hivi na kutaja mjina hayo 8 ni nini? Baraza la Magufuli lina Wizara 8 tu? mbona hawajataja baraza zima? hapa MWANAHALISI hawana jipya, malengo hapa ni mawili tu:
1. wana mambo yao binafsi na hayo majina manane(8) na kwa namna moja au nyingine kutaka kuonesha kuwa wanafaa kuwa kwenye baraza la Magufuli au hawafai.
2. wanataka tu kuionesha Serikali ya MAGUFULI ambaye anakenda na kasi ya ajabu katika utendaji wake kuwa ama iko makini au haiko makini. kwa kifupi ni kutaka tu kuikosoa kupitia ujumbe wake kwa wananchi.

TAFAKURI: MWANAHALISI wanapaswa kujitafakari kwa kina hususani katika kuwahabarisha wananchi. Hii serikali ya awamu ya Tano watanzania wana imani kubwa sana nayo na wako tayari kuiunga mkono kwa kila jambo linalolenga kuwaletea watanzani maendeleo. Propaganda za kijinga kama ambazo wanaanza kuzianzisha zimeshapitwa na wakati. Siyo muda tena wa kuwaaminisha watu mambo ambayo hayana tija kwa taifa.
MWANAHALISI wamuache RAIS AANDAYE BARAZA LAKE LA MAWAZIRI, Rais Magufuli siyo wa MAGAZETI wanajisumbua bure.

attachment.php
Kubenea si mweledi na hafai kuwa mwandishi wa habari.
 
Katika ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanahalisi kuna habari eti za kuvuja kwa baraza la mawaziri la Rais John Magufuli.

Kwa uhakika sijui gazeti hilo ni la wiki gani kwa sababu sipendi sana kulichungulia chungulia sana kwa sababu kwa mtazamo wangu Mwanahalisi ni moja ya gazeti zuri sana kwa habari za kiuchunguzi na moja ya gazeti baya mno kulifuatilia.

Ninachoamini ni kwamba aina ya watu waliotajwa na Mwanahalisi kama mawaziri watarajiwa wa Magufuli sioni hata mmoja anayeweza kuwa waziri, labda hawa ni watakaotupwa nje.
 
Hao malofaa na mzamini wake kubenea toka lin magufuli akafanya mambo yake gizani na kuvujisha mambo
 
Dr. Charles Kitine naye sidhani kwa sababu ndy ameteuliwa na Baraza la Maaskofu kuwa mkuu wa chuo Stella Maris Mtwara
 
Hao malofaa na mzamini wake kubenea toka lin magufuli akafanya mambo yake gizani na kuvujisha mambo

Je unakataa kuwa hao ndio mawaziri wako.ccm ni ile ile majizi yamerudishwa ndani ya nyumba


swissme
 
Unapolalamika kwa kitendo cha gazeti kuchapisha majina hayo nane na kuuliza kama baraza la mawaziri lina wizara nane tu, labda nikuulize.. Je unajua maana ya kuvuja?
 
Back
Top Bottom