Gazeti la Mwanahalisi linatafuta cha kusema pindi baraza la Mawaziri litakapotangazwa

Magu hatabiriki,hakuna ukweli,mnawaharibia wenzenu kwa uzushi huu.
 
Hahahhahha mwanahalisi wahuni snaa hizo ni fitna kwa hao watwajao wasipewe lo
 
Yaan hapo kwa Riz1! mbona itakuwa ni kama kurudisha utawala wa awamu ya 4 ?! sheeedah
 
sidhani Kama magufuli ataweka hao watyu watamrudisha nyuma kiutendaji. fullu uozo
 
Hahahahahhahahaaaa.....tulisema sisi hakuna jipyaaaaaaa...hahahahahhaaa...

Huyo mangoes yeye ni mambo ya nje nini?ahhahaha ccm buanaaa

Jiongeze mkuu hiyo taarifa siyo rasmi lakin ajabu kwako ww umeifanya ndio rasmi.
 
Bunge la January mawaziri hawatakuwa na cha kusema maana ndio kwanza watakuwa wameingia ofisini...
 
Rose migiro, Bernad membe hawa ni wabunge wa majimbo yepi?
 
Jiongeze mkuu hiyo taarifa siyo rasmi lakin ajabu kwako ww umeifanya ndio rasmi.

Mkuu huo ni ukweli mtupu namie nilinyetwishwa kiaina..baraza safi sana hiliii...hapakazi tuuu...magufuliselemass oyeeee..mwandishi kamsahau nape tuu
 
Mkuu TataMadiba

MWanahalisi ni gazeti pendwa kwa habari za uchunguzi.

Kumbuka ni MWanahalisi huyu huyu ambaye alinadika HABARI KUHUSU ALIYEMTEKA NA KUMTESA DR. ULIMBOKA.

je nayo ilikuwa ni uongo?????? mbona mliamua kulifungia hili gazeti kama ni gazeti la uongo???

Lisemwalo lipo na kama halipo ujue linakuja.

Usiweweseke tulia siku yake itafika tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huo ni ukweli mtupu namie nilinyetwishwa kiaina..baraza safi sana hiliii...hapakazi tuuu...magufuliselemass oyeeee..mwandishi kamsahau nape tuu
Hadi Nape anahusishwa na Baraza la Mawaziri? Haiwezekani bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…