Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

Weka ushahidi usio acha shaka ili tukuaamini!!
 
Tumebubujikwa na machozi ya simanzi baada ya hizo taarifa na wengine wamezimia kabisa kama lucas na ephen
 
Halafu mtu kama huyu umwambie ccm ni mbaya! Yuko tayari kukupoteza
Unapenda habari za kizushi na umbea kama mwanamke vile. Ushahidi upo wapi? Hata mtumie vipeperushi vya aina gani kumpaka matope Mwamba bado hamuwezi kufanikiwa hata kidogo.Mwamba ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
 
Lakini pamoja na kuikarabati office ya ya DSM lakini mwisho wa siku hakuondoka nayo,wengine tunafaidika nayo,na hiyo ndiyo maana halisi ya serekali!!
 
Saizi ana Defender mbili new Mode kali sana!
Huyu jamaa mwacheni tu! Mwanza Capri point ana Apartments hatari na bado
Pharmacy kila kona ya nchi!
Kwani wewe umezuiwa kuwa na pharmacy? Hata akiwa na kitega uchumi kila ubalozi inakuzuia nini wewe kuwa na miradi yako? Tungeni sana uzushi na uongo lakini watanzania wanafahamu vyema uadilifu na uzalendo wa Mwamba Makonda.
 
[emoji7]
 
Saizi ana Defender mbili new Mode kali sana!
Huyu jamaa mwacheni tu! Mwanza Capri point ana Apartments hatari na bado
Pharmacy kila kona ya nchi!
Sasa ebu mkope hata laki 5 tuone kama atakukopesha!na akikupesha vumilia madai yake!!
 
Huyo matenge kajuaje au naye .......
 
Baba kwa upambaji wako unaweza kulipamba Gereza la Ukonga likapendeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…