Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

Acheni uzushi wenu,acheni kumpaka matope Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.natambua kuwa mnaumia sana mnapoona akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya wana Arusha na kuendelea kukubalika,kuungwa mkono na kuwaletea maendeleo makubwa.najuwa hali hiyo inawaumizeni sana kwa sababu ninyi mlisema hawezi kuongoza jiji la Arusha.

Sasa mnashangaa namna jiji lilivyotulia na kusifika kwa kasi na mipango ya maendeleo.mpaka kufikia hatua viongozi mbalimbali kumpongeza Mwamba kwa uchapakazi wake uliotukuka.

Ndio sababu ya kuanza kutunga vihabari vya uzushi na uongo.hata hivyo hamuwezi kumkwamisha Mwamba Mwenyewe Paul Makonda wala kumkatisha Tamaa.
Luca umemaliza kila kitu Mkuu na kufanya members kama mimi kububujikwa na machozi ya furaha!
 
Yani 186M per month chai😡

Ikulu ndogo Arusha hakuna akapewa chumba presidential, au ikulu ndogo ni maalum kufutwa vumbi mwaka mzima ikisubiri wageni VIP

Saturday, February 17, 2024​

KIKAO IKULU NDOGO ARUSHA​

1724954269171.png


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024.

1724954348320.png

Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella.
Viongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria Kikao hicho Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 16 Februari, 2024.
1724954390312.png

Viongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria Kikao hicho Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 16 Februari, 2024


TOKA MAKTABA :
09 January 2024
Pokot, Kenya

Ikulu ndogo ya rais katika eneo la Turkwel kaunti ya pokot magharibi ilisifika sana miaka ya 90 haswa baada ya hayati Rais mstaafu Daniel Arap Moi kuandaa mkutano wa baraza la mawaziri katika eneo hilo. Lakini kama anavyoarifu Collins Shitiabayi, ikulu hiyo imesalia gofu na kuharibika pakubwa.

View: https://m.youtube.com/watch?v=h77AdqTpkVo


Ikulu ndogo ya rais iliyopo Kaunti ya Mombasa

View: https://m.youtube.com/watch?v=dljYZLTjRck
 
Inaweza kuwa kweli
kwa mfano labda ameipangisha yote je?
hii inanikumbusha kuna dada aliwahi kukodi bus la Abood kutoka Moro hadi Dar akiwa yeye na mtoto wake tu
 
Hizo ni taarifa za uongo na uzushi mkubwa sana . puuzeni taarifa hizo na kipeperusha chake.lengo ni kutumika na maadui wa Mwamba kutaka kumchafua Mwamba.
Lucas,

Weka uchawa pembeni hata Kwa nusu saa Kisha utwambie,

Gharama ya kulala kwenye hotel hiyo katika vyumba anavyoishi jumla na chakula na walinzi na wasaidizi wake ni Bei Gani Kwa siku?

Karibu 🙏
 
Makonda anatumiwa na Mama kwenye michongo yake hata juzi kati hapa bila shaka alikuwa maeneo anaseti mipango na karudi anawaka zaidi!
Ila issue ya kutumia Milion 6 kwa siku ni uongo tu hakuna uhalisia!
nadhani hata shetani anakuogopa si kwa uongo huo
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2

Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unaloView attachment 3082309
:BBRUHH::Joel:Dah nashindwa kuamini!
 
tupe mchanganuo, ila kama anatatua kero za watu hamna shida, hivi helcopta ya mbowe si inatumia hizo hela kwa saa
Acha upuuzi wako. Taifa hili hatuhitaji kiongozi wa hivyo. Mbowe hatumii kwa familia yake. Nyumba ya mkuu wa mkoa ina nn kwan asihamie? Kama s Iman za ushirikina. Halafu anatudanganya anasali sana. Kwa Mungu yupi? Kama Salim Kikeke kamsingizia si amshtaki?
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2

Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unaloView attachment 3082309
Bora amesema Maulid Kitenge wangesema wengine wangeitwa majina hadi ya Faru John.
 
Back
Top Bottom