Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
Marahis ndio wakina nani hao kiongozi?Hata kama anatumia laki 6 kwa siku moja bado ni ushetani.
Huyu kijana hawa marahis nadhani anawaweka mfukoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marahis ndio wakina nani hao kiongozi?Hata kama anatumia laki 6 kwa siku moja bado ni ushetani.
Huyu kijana hawa marahis nadhani anawaweka mfukoni
Luca umemaliza kila kitu Mkuu na kufanya members kama mimi kububujikwa na machozi ya furaha!Acheni uzushi wenu,acheni kumpaka matope Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.natambua kuwa mnaumia sana mnapoona akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya wana Arusha na kuendelea kukubalika,kuungwa mkono na kuwaletea maendeleo makubwa.najuwa hali hiyo inawaumizeni sana kwa sababu ninyi mlisema hawezi kuongoza jiji la Arusha.
Sasa mnashangaa namna jiji lilivyotulia na kusifika kwa kasi na mipango ya maendeleo.mpaka kufikia hatua viongozi mbalimbali kumpongeza Mwamba kwa uchapakazi wake uliotukuka.
Ndio sababu ya kuanza kutunga vihabari vya uzushi na uongo.hata hivyo hamuwezi kumkwamisha Mwamba Mwenyewe Paul Makonda wala kumkatisha Tamaa.
Yani 186M per month chai😡
Kwani sumu ni Mpaka ikuue? Na wapi nilitaja jina lake ? Leta Uzi ambao nimetaja jina !!Mkuu vipi ile sumu ulisema alilishwa ilikuje tena ukapotea sana au ulidanganywa na wewe na source yako?
Lucas,Hizo ni taarifa za uongo na uzushi mkubwa sana . puuzeni taarifa hizo na kipeperusha chake.lengo ni kutumika na maadui wa Mwamba kutaka kumchafua Mwamba.
Unataka kutubeba ufala sio? Kama ni fedha yake anatoa wapi ? Usukumani?Majungu tu hamna uhalisia kama hatumii hela ya serkali kuna shida gani?
Mleta mada jitathimini angalia walivyokususa ku comment na views
nadhani hata shetani anakuogopa si kwa uongo huoMakonda anatumiwa na Mama kwenye michongo yake hata juzi kati hapa bila shaka alikuwa maeneo anaseti mipango na karudi anawaka zaidi!
Ila issue ya kutumia Milion 6 kwa siku ni uongo tu hakuna uhalisia!
Mkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2
Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unaloView attachment 3082309

Dah nashindwa kuamini!Acha upuuzi wako. Taifa hili hatuhitaji kiongozi wa hivyo. Mbowe hatumii kwa familia yake. Nyumba ya mkuu wa mkoa ina nn kwan asihamie? Kama s Iman za ushirikina. Halafu anatudanganya anasali sana. Kwa Mungu yupi? Kama Salim Kikeke kamsingizia si amshtaki?tupe mchanganuo, ila kama anatatua kero za watu hamna shida, hivi helcopta ya mbowe si inatumia hizo hela kwa saa
Mtetezi wa 'wanyonge'...!Huyo jamaa ana historia ya ufujaji na upigaji. Huko DSM alikuwa anabadili gari za kifahari Kila siku.
Anaogopa kulogwaAnalala hotel gani? Kuna shida gani kwenye nyumba ya mkuu wa mkoa?
Inaitwa Grand Melia ni chain ya hotel zipo kuanzia Marekani,Ulaya mpaka Bara Arabu.Analala hotel gani? Kuna shida gani kwenye nyumba ya mkuu wa mkoa?
Gran Melia. Ukiliona range yake ujue yupo!Analala hotel gani? Kuna shida gani kwenye nyumba ya mkuu wa mkoa?
Bora amesema Maulid Kitenge wangesema wengine wangeitwa majina hadi ya Faru John.Mkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2
Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unaloView attachment 3082309
Kama unakubali kwamba Mama anamtimia kwenye michongo inakuwaje unapinga kuhusu 6M?Makonda anatumiwa na Mama kwenye michongo yake hata juzi kati hapa bila shaka alikuwa maeneo anaseti mipango na karudi anawaka zaidi!
Ila issue ya kutumia Milion 6 kwa siku ni uongo tu hakuna uhalisia!