Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Bonge la Hotel ni Excutive for Excellence individuals.Inaitwa Grand Melia ni chain ya hotel zipo kuanzia Marekani,Ulaya mpaka Bara Arabu.
Waliinunua iliyokuwa Hotel 77 na kuivunja kisha kujenga upya.
Hotel za kina Bush na Obama hadhi ya kulala