Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

Inaitwa Grand Melia ni chain ya hotel zipo kuanzia Marekani,Ulaya mpaka Bara Arabu.
Waliinunua iliyokuwa Hotel 77 na kuivunja kisha kujenga upya.
Bonge la Hotel ni Excutive for Excellence individuals.

Hotel za kina Bush na Obama hadhi ya kulala
 
Tanzania hii yote yanawezekana,maana baada ya kuteuliwa kuwa RC DSM alijarabati ofisi yake jwa gharama kubwa sana mamilioni sijui aliyatoa wapi,akaacha kutuumia VX za serikali akawa anabadilisha vibao vya Plate number za RC DSM kwenye ma range na ma lexus
Na mizigo bandarini iliyolete ugomvi kati yake na Dr Mpango Waziri wa Fedha na Mipango.
 
Sasa kama ni hela zake kuna shida gani? Je kama alikua amesave hela sasa ameamua kuishi hapo kwa muda tu anataka kutumia labda milioni 60 kwa siku 10 kuna shida gani?.
Tunapo leta malalamiko mtandaoni tuwe tuna fanya utafiti kwanza.
Gazeti la Mwanahalisi limetaja hadi wanaofadhili.......Kama aliwaloga msielewe sawa.

S/gang huwa hamkubali kabisa huyu jamaa akituhumiwa.
 
Hata ibilisi shetani naye anajiita mungu.
Mbaya zaidi, naye huyo mungu wa dunia hii anagawa vitu kwa kubadilishana na nafsi.
Unapenda habari za kizushi na umbea kama mwanamke vile. Ushahidi upo wapi? Hata mtumie vipeperushi vya aina gani kumpaka matope Mwamba bado hamuwezi kufanikiwa hata kidogo.Mwamba ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
 
Hatuna hotel yenye gharama hizo kwa siku - huo ni uzushi.
  • Sema hotel ipi anayoishi
  • Onesha viambatisho
  • Sema alianza lini kuishi hotelini hapo.

Acheni uzushi!!
Unafahamu gharama ya kulala Gran Melia Hotel Arusha kwa siku au??nadhani unalinganisha gharama na vi-Hotel uchwara vya huko Kibondo kwenye vumbi mpaka makalioni,tembea Uone Muha wewe
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2

Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unaloView attachment 3082309
Acheni kumzushia Kiongozi wa Wanyonge anaefuata nyayo za Shujaa 😆😆😆😆
 
Wewe utakua ndiye yule msaidizi wake uliyekua unaenda kupora kwenye biashara za watu ukisingizia amekutuma. Sasa mmeanza kutoleana siri.
 
Tanzania hii yote yanawezekana,maana baada ya kuteuliwa kuwa RC DSM alijarabati ofisi yake jwa gharama kubwa sana mamilioni sijui aliyatoa wapi,akaacha kutuumia VX za serikali akawa anabadilisha vibao vya Plate number za RC DSM kwenye ma range na ma lexus
Yupo kwenye mfumo wa wizi
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2

Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unaloView attachment 3082309
Kumbe alisemaga kweli pale aliposema yeye ni mtu anakula raha kuliko mtu yeyote hapa Nchini 😳🙄🙌
 
Kwani haishi kwenye nyumba ya Serikali, ile ya mkuu wa mkoa?

Na Hotel gani hiyo anaishi? Lol
 
Unafahamu gharama ya kulala Gran Melia Hotel Arusha kwa siku au??nadhani unalinganisha gharama na vi-Hotel uchwara vya huko Kibondo kwenye vumbi mpaka makalioni,tembea Uone Muha wewe
Melia Hotel ni USD 489 kwa siku ya leo. Sasa 489 x 2389 = 1,168,221.

Kwa maana nyingine ni kuwa Melia Hotel kwa siku ni tzs 1,168,221. Sasa wewe hizo 6.2M umezitoa wapi? Unaamini redio uchwara?

Sawa niko Kakonko lkn nina information za miji mingi kuliko hata wengi wa wanaoishi ktk miji hiyo.
Unafahamu gharama ya kulala Gran Melia Hotel Arusha kwa siku au??nadhani unalinganisha gharama na vi-Hotel uchwara vya huko Kibondo kwenye vumbi mpaka makalioni,tembea Uone Muha wewe
 
Back
Top Bottom