Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

Wewe ndiye unalazimisha awe mchafu lakini huwezi hata kwa chembe. Kijana yupo vizuri sana. Ila kwasababu ya wivu na uchadema huwezi kuelewa kitu
Huyo ni content creator mzuri tu na uzuri nchi iliofkia usishangae ukasikia akawa Pm Tanzania ndo tunaongoza kwa kutokua na viongoz transparent kwenye elimu zao
 
Mwanahalisi ni kipeperushi cha uongo na uzushi tu.si ndio hicho hicho kilitumika kumchafua sana Hayati Edward lowassa halafu baadaye hicho hicho na watu wale wale wakaanza kumsafisha alipokuja kugombea Urais CHADEMA.shida yenu CHADEMA ni kuwa na akili za unyumbu na kushindwa kufikiri vizuri na kutumia akili katika kutizama na kuchambua Mambo . Mpo mpo tu utafikiri mmenyofolewa ubongo.
Asante kwa taarifa dada Lucy
 
Wewe ndiye unalazimisha awe mchafu lakini huwezi hata kwa chembe. Kijana yupo vizuri sana. Ila kwasababu ya wivu na uchadema huwezi kuelewa kitu
Nani amwonee wivu mcheza sinemahuyo analaana ya kudhulumu haki za watu hawez aonedhe alipo ben saanane iko siku ataropoka tu na ni mtu muoga asipokua na cheo anatia huruma anajua anayoyafanya ukitaka kujua angalia alipojua hana cheo hakuna aliyemzingatia manake alikuaga kavu sana enz za mr kopa kopa
 
Sasa mkuu wa MKOA anaishije HOTELINI?
Nyumba ya RC ameikuta haina hadhi, hivyo ina karabatiwa na kuwekwa samani za Danube ndipo ahamie. This is normal kwa watu tofauti kuwa na viwango tofauti, hata alipokuwa RC wa DSM aliiboresha ofisi.
P
 
Nani amwonee wivu mcheza sinemahuyo analaana ya kudhulumu haki za watu hawez aonedhe alipo ben saanane iko siku ataropoka tu na ni mtu muoga asipokua na cheo anatia huruma anajua anayoyafanya ukitaka kujua angalia alipojua hana cheo hakuna aliyemzingatia manake alikuaga kavu sana enz za mr kopa kopa
Niseme tu una mihemuko ya uchadema
 
Ila Sasa hiz gharama anabeba nani?
Zile gharama za kawaida zinabebwa na serikali, gharama za extra vaganza zinabebwa na wafadhili rafiki zake. Mfano akiwa RC wa DSM, serikali inanunua magari ya serikali kutoka Toyota kupitia KJ Motors, lakini Makonda alitumia Range Sport na Lexus aliyochangiwa na rafiki zake.
Hata Arusha nasikia anatumia Land-rover Defender 2024 la 800m.

Hapo sawa..nimekuelewa ila mtu wa muchango sana
 
Back
Top Bottom