middo lulyheart
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 260
- 98
Nimesoma enough length kuelewa inatosha kupoteza muda na huo upuuzi.Bila shaka hujasoma gazeti lote na ukamaliza, sina shaka na hili.
Kama ungetumia dakika tano tu kusoma na kuamua kuelewa kilichoandikwa ndani basi usingekuja na bandiko la maudhii haya. Sorry
We Niki wa Pili sikiliza hela za Bandari zote zinakusanywa na kupelekwa BoT kwenye Collection Account then TPA wakitaka hela kwa shughuli wanawaandikia BoT watoe hela zinawekwa Kwenye Expenditure Account ya TPA at NMB.We unaamini private Bank inaweza toa siri za miamala ya hela?
Je bank kuu wanaweza peleka hela zinazoombwa na shirika kwenye account binafsi tena isiyojulikana?
Why on Earth bandari iombe hela BoT wakati wao ndio wanapeleka hela huko. Hiyo hela ni kama collection ya siku tu bandarini si bora waibie huko.
Hakuna logic wala consistency kwenye story.
Hata mimi nashangaa - hivi TPA na vitengo vyake vyote inaweza kujiendesha bila ya kuwa na fedha - kwani siku za nyuma hapa kuwepo ku-transfer fedha kutoka BOT kwenda NMB kwa ajili ya natumizi ya TPA, kwani kuna ushahidi gani kwamba hizo fedha zilikuwa zinahamishiwa kwa account za watu binafsi specifically Eng D. Kakoko na wenzake, hivi inaibgia akilini kwamba kama kweli Kakoko alikuwa na nia ya fedha anaweza kuwa that sloppy badala ya kuhamishia part ya fedha kwenye account zake kwenye Benki za Ulaya/Marekani kama anazo bafala yake aziweke kwenye Benki ya hapa nchini ambayo angeweza kutiwa mbaroni kirahisi sana, binafsi naona kuna kitu hakijakaa sawa, mostly likely ni majungu tu yenye lengo la kuchafuana na kuharibiana kazi, I might be wrong lakini dalili zibaobyesha hivyo, haya mambo ya kusema eti walitaka kuchukuwa advantage ya msiba ili waibe bila ya kushtukiwa - hizo ni adithi za Mickey Mouse.Majungu tu haya hamna mtu anaye weza kuiba kijinga kiasi hiki. Mwisho wa siku lazima angetakiwa atoe maelezo ya jinsi fedha zilivyo tumika.
Kazi ya mwandishi ni kuibua hoja, alafu kila upande uliotajwa wao wanabidi kukubali au kukanusha, kuna ACCOUNT zimetajwa hapo,kuna Bank imeorodheshwa na good enough kuna muhusika mkuu pia (DG) Hawa inabidi watoke kukanusha au waache serikali ichukue hatua kama alivyofanya MH. Rais hapo jana za kumsimamisha aliyekuwa DG wa TPA.Nimesoma enough length kuelewa inatosha kupoteza muda na huo upuuzi.
Sitetei kosa la wizi Ila wawe tayari kuthibitisha story yao wakiitwa.
Wezi wanaweza kuona hiyo ndiyo njia rahisi kuiba!We unaamini private Bank inaweza toa siri za miamala ya hela?
Je bank kuu wanaweza peleka hela zinazoombwa na shirika kwenye account binafsi tena isiyojulikana?
Why on Earth bandari iombe hela BoT wakati wao ndio wanapeleka hela huko. Hiyo hela ni kama collection ya siku tu bandarini si bora waibie huko.
Hakuna logic wala consistency kwenye story.
Hata mimi nashangaa - hivi TPA na vitengo vyake vyote inaweza kujiendesha bila ya kuwa na fedha - kwani siku za nyuma hapa kuwepo ku-transfer fedha kutoka BOT kwenda NMB kwa ajili ya natumizi ya TPA, kwani kuna ushahidi gani kwamba hizo fedha zilikuwa zinahamishiwa kwa account za watu binafsi specifically Eng D. Kakoko na wenzake, hivi inaibgia akilini kwamba kama kweli Kakoko alikuwa na nia ya fedha anaweza kuwa that sloppy badala ya kuhamishia part ya fedha kwenye account zake kwenye Benki za Ulaya/Marekani kama anazo bafala yake aziweke kwenye Benki ya hapa nchini ambayo angeweza kutiwa mbaroni kirahisi sana, binafsi naona kuna kitu hakijakaa sawa, mostly likely ni majungu tu yenye lengo la kuchafuana na kuharibiana kazi, I might be wrong lakini dalili zibaobyesha hivyo, haya mambo ya kusema eti walitaka kuchukuwa advantage ya msiba ili waibe bila ya kushtukiwa - hizo ni adithi za Mickey Mouse.
Unaonekana bado unaishi zama za Magufuli badilika na ukubaliane na matokeo.Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.
Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.
Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.
Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.
Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.
Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.
Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Kwa iyo kuna watu wanakula maisha saaaaafi??Wakuu niwahakikishie pesa za BOT wakati msiba wa Magufuri ziliibwa binafsi namjua mmoja aliepata mgao...
Mama Samia chunguze tu vizuri pesa imeibwa narudia tena pesa imeibwa.
ππππ Kwa kweli mnachekesha, wewe umeelewa ulichoandika hapa?Uhuru wa habari wa namna hii utaharibu badala ya kujenga. Mh Rais alisema TPA kwa mujibu waripoti ya CAG kulikuwa na ubadhirifu wa kama 3B na ushee. Lakini anafikiri Mkurugenzi wa TPA alilindwa katika uchunguzi wa awali wa PM kwani alisema waliondolewa watu wa chini.
Hapo utaona alimkamia Mkurugezi na kumchafua PM kuwa alimlinda. Mkurugenzi TPA alilindwa na nani ngumu kujua tuna twa ambiwa ni muhandisi lakini.
Hata ukitajiwa majina yao bado utapinga, wasukuma wenzioHao watu ni akina nani?
Kwakwel hata mim nitajaribu kuanza maana nilisha achaga since 2012Yamefufuka sasa tunaweza kusoma magazeti
Kwa mtu mwenye talanta ya kutunga uongo kama wewe wala sishangai kusapoti habari kama hizo.Unaonekana bado unaishi zama za Magufuli badilika na ukubaliane na matokeo.
Mlipoambiwa Magufuli anaumwa hamkuamini,
Mlipoambiwa Mk. TPA atasimamishwa hamkuamini, tumewazoea.
Hivi Kakoko ni CCM?CCM ni ukoo wa panya.
Kwahiyo hii ni habari yangu, najua bado akili yenu haijaamini kilichotokea, poleni mtazoea tu.Kwa mtu mwenye talanta ya kutunga uongo kama wewe wala sishangai kusapoti habari kama hizo.