Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

Bila shaka hujasoma gazeti lote na ukamaliza, sina shaka na hili.
Kama ungetumia dakika tano tu kusoma na kuamua kuelewa kilichoandikwa ndani basi usingekuja na bandiko la maudhii haya. Sorry
 
Bila shaka hujasoma gazeti lote na ukamaliza, sina shaka na hili.
Kama ungetumia dakika tano tu kusoma na kuamua kuelewa kilichoandikwa ndani basi usingekuja na bandiko la maudhii haya. Sorry
Nimesoma enough length kuelewa inatosha kupoteza muda na huo upuuzi.

Sitetei kosa la wizi Ila wawe tayari kuthibitisha story yao wakiitwa.
 
We unaamini private Bank inaweza toa siri za miamala ya hela?

Je bank kuu wanaweza peleka hela zinazoombwa na shirika kwenye account binafsi tena isiyojulikana?

Why on Earth bandari iombe hela BoT wakati wao ndio wanapeleka hela huko. Hiyo hela ni kama collection ya siku tu bandarini si bora waibie huko.

Hakuna logic wala consistency kwenye story.
We Niki wa Pili sikiliza hela za Bandari zote zinakusanywa na kupelekwa BoT kwenye Collection Account then TPA wakitaka hela kwa shughuli wanawaandikia BoT watoe hela zinawekwa Kwenye Expenditure Account ya TPA at NMB.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Majungu tu haya hamna mtu anaye weza kuiba kijinga kiasi hiki. Mwisho wa siku lazima angetakiwa atoe maelezo ya jinsi fedha zilivyo tumika.
Hata mimi nashangaa - hivi TPA na vitengo vyake vyote inaweza kujiendesha bila ya kuwa na fedha - kwani siku za nyuma hapa kuwepo ku-transfer fedha kutoka BOT kwenda NMB kwa ajili ya natumizi ya TPA, kwani kuna ushahidi gani kwamba hizo fedha zilikuwa zinahamishiwa kwa account za watu binafsi specifically Eng D. Kakoko na wenzake, hivi inaibgia akilini kwamba kama kweli Kakoko alikuwa na nia ya fedha anaweza kuwa that sloppy badala ya kuhamishia part ya fedha kwenye account zake kwenye Benki za Ulaya/Marekani kama anazo bafala yake aziweke kwenye Benki ya hapa nchini ambayo angeweza kutiwa mbaroni kirahisi sana, binafsi naona kuna kitu hakijakaa sawa, mostly likely ni majungu tu yenye lengo la kuchafuana na kuharibiana kazi, I might be wrong lakini dalili zibaobyesha hivyo, haya mambo ya kusema eti walitaka kuchukuwa advantage ya msiba ili waibe bila ya kushtukiwa - hizo ni adithi za Mickey Mouse.
 
Nimesoma enough length kuelewa inatosha kupoteza muda na huo upuuzi.

Sitetei kosa la wizi Ila wawe tayari kuthibitisha story yao wakiitwa.
Kazi ya mwandishi ni kuibua hoja, alafu kila upande uliotajwa wao wanabidi kukubali au kukanusha, kuna ACCOUNT zimetajwa hapo,kuna Bank imeorodheshwa na good enough kuna muhusika mkuu pia (DG) Hawa inabidi watoke kukanusha au waache serikali ichukue hatua kama alivyofanya MH. Rais hapo jana za kumsimamisha aliyekuwa DG wa TPA.
 
We unaamini private Bank inaweza toa siri za miamala ya hela?

Je bank kuu wanaweza peleka hela zinazoombwa na shirika kwenye account binafsi tena isiyojulikana?

Why on Earth bandari iombe hela BoT wakati wao ndio wanapeleka hela huko. Hiyo hela ni kama collection ya siku tu bandarini si bora waibie huko.

Hakuna logic wala consistency kwenye story.
Wezi wanaweza kuona hiyo ndiyo njia rahisi kuiba!

Wacha uchunguzi ufanyike.
 
Hata mimi nashangaa - hivi TPA na vitengo vyake vyote inaweza kujiendesha bila ya kuwa na fedha - kwani siku za nyuma hapa kuwepo ku-transfer fedha kutoka BOT kwenda NMB kwa ajili ya natumizi ya TPA, kwani kuna ushahidi gani kwamba hizo fedha zilikuwa zinahamishiwa kwa account za watu binafsi specifically Eng D. Kakoko na wenzake, hivi inaibgia akilini kwamba kama kweli Kakoko alikuwa na nia ya fedha anaweza kuwa that sloppy badala ya kuhamishia part ya fedha kwenye account zake kwenye Benki za Ulaya/Marekani kama anazo bafala yake aziweke kwenye Benki ya hapa nchini ambayo angeweza kutiwa mbaroni kirahisi sana, binafsi naona kuna kitu hakijakaa sawa, mostly likely ni majungu tu yenye lengo la kuchafuana na kuharibiana kazi, I might be wrong lakini dalili zibaobyesha hivyo, haya mambo ya kusema eti walitaka kuchukuwa advantage ya msiba ili waibe bila ya kushtukiwa - hizo ni adithi za Mickey Mouse.

Wako watu walijipanga vizuri sana hapo TPA awamu ya 4. Hizi ndio rasharasha zao masika yenyewe inakuja.
 
Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.

Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.

Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.

Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.

Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.

Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.

Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Unaonekana bado unaishi zama za Magufuli badilika na ukubaliane na matokeo.

Mlipoambiwa Magufuli anaumwa hamkuamini,
Mlipoambiwa Mk. TPA atasimamishwa hamkuamini, tumewazoea.
 
Wakuu niwahakikishie pesa za BOT wakati msiba wa Magufuri ziliibwa binafsi namjua mmoja aliepata mgao...

Mama Samia chunguze tu vizuri pesa imeibwa narudia tena pesa imeibwa.
 
Wakuu niwahakikishie pesa za BOT wakati msiba wa Magufuri ziliibwa binafsi namjua mmoja aliepata mgao...

Mama Samia chunguze tu vizuri pesa imeibwa narudia tena pesa imeibwa.
Kwa iyo kuna watu wanakula maisha saaaaafi??
 
Uhuru wa habari wa namna hii utaharibu badala ya kujenga. Mh Rais alisema TPA kwa mujibu waripoti ya CAG kulikuwa na ubadhirifu wa kama 3B na ushee. Lakini anafikiri Mkurugenzi wa TPA alilindwa katika uchunguzi wa awali wa PM kwani alisema waliondolewa watu wa chini.

Hapo utaona alimkamia Mkurugezi na kumchafua PM kuwa alimlinda. Mkurugenzi TPA alilindwa na nani ngumu kujua tuna twa ambiwa ni muhandisi lakini.
😂😂😂😂 Kwa kweli mnachekesha, wewe umeelewa ulichoandika hapa?
 
Tanzania ni wakati sasa tumtambue kigogo2014 kama mwanaharakati aliyejitoa kuiokoa tz.
 
Unaonekana bado unaishi zama za Magufuli badilika na ukubaliane na matokeo.

Mlipoambiwa Magufuli anaumwa hamkuamini,
Mlipoambiwa Mk. TPA atasimamishwa hamkuamini, tumewazoea.
Kwa mtu mwenye talanta ya kutunga uongo kama wewe wala sishangai kusapoti habari kama hizo.
 
President Samia alimweleza yule bwana CAG, taarifa zako ziwe wazi hasa za mashirika ya umma utayoleta. sio kuficha ficha.
bado hatujaelewa tu?
sisi wananchi ni haki yetu kujua muhstakabali wa mali zetu, serikali kama kuna mahala media wamezingua basi jambo la kwanza wakanushe kwa fact.
sio mambo ya leta evidence
 
Back
Top Bottom