Hata mimi nashangaa - hivi TPA na vitengo vyake vyote inaweza kujiendesha bila ya kuwa na fedha - kwani siku za nyuma hapa kuwepo ku-transfer fedha kutoka BOT kwenda NMB kwa ajili ya natumizi ya TPA, kwani kuna ushahidi gani kwamba hizo fedha zilikuwa zinahamishiwa kwa account za watu binafsi specifically Eng D. Kakoko na wenzake, hivi inaibgia akilini kwamba kama kweli Kakoko alikuwa na nia ya fedha anaweza kuwa that sloppy badala ya kuhamishia part ya fedha kwenye account zake kwenye Benki za Ulaya/Marekani kama anazo bafala yake aziweke kwenye Benki ya hapa nchini ambayo angeweza kutiwa mbaroni kirahisi sana, binafsi naona kuna kitu hakijakaa sawa, mostly likely ni majungu tu yenye lengo la kuchafuana na kuharibiana kazi, I might be wrong lakini dalili zibaobyesha hivyo, haya mambo ya kusema eti walitaka kuchukuwa advantage ya msiba ili waibe bila ya kushtukiwa - hizo ni adithi za Mickey Mouse.