Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Huyu msigwa ana kili gani?
Kwani mbona Hamza hajui kuna ushahidi kuwa ni mwanachama mwenztu wa CCM?.
Kwani mbona Hamza hajui kuna ushahidi kuwa ni mwanachama mwenztu wa CCM?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliopanga njama hawakutajwa , uchunguzi umefichwa Gazeti lililofichua uchafu limefungiwa !Kwa kweli mafisi hayalali,
Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti
Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number
Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na tunamuomba kuwa pindi ikibainika nia ovu basi asiangalie mtu usoni bali hatua kali za kinidhamu katika utumishi wa umma na za kisheria zichukue mkondo wake.
View attachment 1738008
Swali fikirishi je kuna umuhimu wa kuziunda hizi tumeWaliopanga njama hawakutajwa , uchunguzi umefichwa Gazeti lililofichua uchafu limefungiwa !
Mungu ibariki Tanzania
Lazima ziundwe ili kuwadanganya mambumbumbu watanganyikaSwali fikirishi je kuna umuhimu wa kuziunda hizi tume
WadanganyikaLazima ziundwe ili kuwadanganya mambumbumbu watanganyika
Ndiyo maana amegeukia maigizoTume zote awamu 6 ni magumashi Mama anawaogopa Sukuma Gang wote anajua akiwazingua 2025 hakatizi hata iweje ndio maana anaufyata waliochota mabilioni ameishia kuguna na kuwaachia.....