Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

Huyu msigwa ana kili gani?

Kwani mbona Hamza hajui kuna ushahidi kuwa ni mwanachama mwenztu wa CCM?.
 
Kwa kweli mafisi hayalali,

Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti

Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number

Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na tunamuomba kuwa pindi ikibainika nia ovu basi asiangalie mtu usoni bali hatua kali za kinidhamu katika utumishi wa umma na za kisheria zichukue mkondo wake.

View attachment 1738008
Waliopanga njama hawakutajwa , uchunguzi umefichwa Gazeti lililofichua uchafu limefungiwa !

Mungu ibariki Tanzania
 
Tume zote awamu 6 ni magumashi Mama anawaogopa Sukuma Gang wote anajua akiwazingua 2025 hakatizi hata iweje ndio maana anaufyata waliochota mabilioni ameishia kuguna na kuwaachia.....
 
Back
Top Bottom