Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,374
- 13,922
tusicopy sana modern style of life bila kuangalia stage tuliyopo na nini tunataka wakati huu. Binafsi naamini kwenye uwekezaji wa reli ya zamani iwe productive kwanza maana utilization yake ilikuwa minimum almost zero kwangu, ukiwauliza hawa viongozi watu kwa % ngapi reli ya zamani toka tumeichukua kwa mkoloni imechangia pato letu basi utakutana na vichekecho.
Rail network ya zamani ilipaswa kuwa maintained na kuweka network za kutosha kila mahala linking na major productive cities mpaka kwenye ports zetu, boosting economic activities ambazo zitatumia reli kama kilimo, mining activities kama Coal, graphites nk.
Hatufanyi proper Calculations based on data collection kwenye maamuzi yetu. Kila maamuzi yanapaswa kubase kwenye research na data then watu ndio waamue sio matakwa tu ya mtu akilala na kuamka anaamua.
Hii reli ilianza na Kikwete,acheni kusingizia Magufuli pamoja na mabaya yake, yaani watu mnaandika humu ujinga tupu 🚮