Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

tusicopy sana modern style of life bila kuangalia stage tuliyopo na nini tunataka wakati huu. Binafsi naamini kwenye uwekezaji wa reli ya zamani iwe productive kwanza maana utilization yake ilikuwa minimum almost zero kwangu, ukiwauliza hawa viongozi watu kwa % ngapi reli ya zamani toka tumeichukua kwa mkoloni imechangia pato letu basi utakutana na vichekecho.

Rail network ya zamani ilipaswa kuwa maintained na kuweka network za kutosha kila mahala linking na major productive cities mpaka kwenye ports zetu, boosting economic activities ambazo zitatumia reli kama kilimo, mining activities kama Coal, graphites nk.

Hatufanyi proper Calculations based on data collection kwenye maamuzi yetu. Kila maamuzi yanapaswa kubase kwenye research na data then watu ndio waamue sio matakwa tu ya mtu akilala na kuamka anaamua.

Hii reli ilianza na Kikwete,acheni kusingizia Magufuli pamoja na mabaya yake, yaani watu mnaandika humu ujinga tupu 🚮
 
Kila mradi unakuwaga na sunk cost , naona nikikufafanulia zaidi hutakuwa tayari kuelewa kwa sababu uko unaandika ukiwa na upande tayari na unaongea na kivuli pembeni

Yaani humu jamaa anaendeshwa na 'ego' badala ya kutafakari,alafu ni Huyu jamaa ni very stagnant Sana kimawazo.
 
Hii reli ilianza na Kikwete,acheni kusingizia Magufuli pamoja na mabaya yake, yaani watu mnaandika humu ujinga tupu 🚮

Sijamsingizia JPM, kwangu nimeweka hoja kwahiyo inamhusu yeyote aliyeshiriki kwenye maamuzi, ndio maana nimesema "watu wetu" napambana na maamuzi sipambani na mtu, soma hoja yangu bosi.
 
Kama hata historua hujui wewe ni cheti feki..

Hakukenga kwa kutoa huduma Wala kujifurahisha bali kusafirisha mali ghafi kwa faida na walifanya hivyo uzalishaji wao ulipokoma na reli zilikoma kuleta faida hadi kesho.
Kwa iyo malighafi na mali za kusafirisha bongo hakunazo.
Si bure ww ndio cheti feki
 
Habari za leo,

Gazeti la The Citizen limeandika makala kuhoji busara iliyotumika kuamua kujenga SGR Wakati tafiti za Kitaalamu zinaonesha tutapata Hasara...
Wakati Tanzania na Zambia zilipoamua kujenga TAZARA nchi za Magharibi ziliombwa kujenga reli hiyo zikasema haitakuwa na faida kiuchumi. Ndipo Nyerere na Kaunda wakaamua kuomba China ijenge reli hiyo.

Usafiri wa treni tunauhitaji sana Tanzania kwani utapunguza wingi wa malori barabarani na ajali zinazoambatana na wingi huo. Hiyo reli itatatua pia usafirishaji kwenda nchi jirani ambako hivi sasa malori ndiyo yanafanya kazi.

Mjeremani alipoamua kujenga reli ya kati kulikuwa na mizigo kiasi gani cha kusafirisha? Vivyo hivyo na Muingereza alipoamua kujenga reli ya Tabora-Mwanza alikuwa anatarajia kusafirisha mizigo kiasi gani?

Ina maana hiyo mizigo imeisha safirishwa yote ili kwamba mahitaji ya treni sasa yasiwepo?>
 
Hii reli kwan ni mizigo tu si itarahisisha hata usafiri kwa watu
Mkuu,ili Reli ilete faida na kurejesha mkopo uliotumika kuijenga,lazima ibebe mizigo ya kutosha,watu wanapata huduma tu kwenye Reli, nauli za watu hazitoshi kuendesha SGR kwa faida boss.
 
Habari za leo,

Gazeti la The Citizen limeandika makala kuhoji busara iliyotumika kuamua kujenga SGR Wakati tafiti za Kitaalamu zinaonesha tutapata Hasara...
This is rubbish! Hao wanaoitwa ni wataalamu ni wa aina gani? NI hawa wa wizara ya fedha tunaosikia wanajilipa milioni 200 ktk kikao?

Kuna mbinu nyiiingi kwa wanaojiona sekta ya usafirishaji ni yao. Wanachotaka ni kuhodhi sekta hiyo, which is rubbish! Reli siyo mradi wa miaka 5 tu!
 
Mawaziri wengi wana malori na mabasi
 
Mkuu,ili Reli ilete faida na kurejesha mkopo uliotumika kuijenga,lazima ibebe mizigo ya kutosha,watu wanapata huduma tu kwenye Reli, nauli za watu hazitoshi kuendesha SGR kwa faida boss.
Kwan huo mkopo una haraka gani ya kuulipa utalipwa hivyohivyo kidogokidogo
Na suala la mizigo wanaweza kuanza na kiwango kilichopo kwa ss na kadiri mda unavyokwenda itakuwa inaongezeka kama kutakua na mikakati
 
Izo data n kwa mazingira ya Sasa ila magufuri alkua anaboresha mazingira Ili mizigo mingi ipitie kwetu hivyo ndani ya muda mfupi mizigo ingeongezeka mbna Samia kaigiza movie ya 7b na hajahoji
 
This is rubbish! Hao wanaoitwa ni wataalamu ni wa aina gani? NI hawa wa wizara ya fedha tunaosikia wanajilipa milioni 200 ktk kikao?
Kuna mbinu nyiiingi kwa wanaojiona sekta ya usafirishaji ni yao. Wanachotaka ni kuhodhi sekta hiyo, which is rubbish! Reli siyo mradi wa miaka 5 tu!
Kwani wakilipana kiasi hicho ndio inaondoa kwamba ni wataalamu?

Jadili Hoja,hadi sasa hakuna kitu alichofanya Mwendazake kinaleta faida hakipo kwa sababu za kukurupuka na Kwa vile pesa hatoi yeye..
 
Wakati Tanzania na Zambia zilipoamua kujenga TAZARA nchi za Magharibi ziliombwa kujenga reli hiyo zikasema haitakuwa na faida kiuchumi. Ndipo Nyerere na Kaunda wakaamua kuomba China ijenge reli hiyo.
....
Sasa ina manufaa? WB walikataa kutoa pesa kwa sababu haina faida..

Swali umeona inaleta faida?
 
Wakati Tanzania inataka kujenga tazara nchi za magharibi zilikuwa za kwanza kupinga ila walipoongelea kubinafsisha wao ndio walikimbilia kutaka kuiendesha.
Nchi zote zilizofanikiwa kiuchumi ni zile ambazo hazikufata maelekezo ya wb Bali mikakati waliyojibunia
Tazara inaleta faida?
 
Kwan huo mkopo una haraka gani ya kuulipa utalipwa hivyohivyo kidogokidogo
Na suala la mizigo wanaweza kuanza na kiwango kilichopo kwa ss na kadiri mda unavyokwenda itakuwa inaongezeka kama kutakua na mikakati
Kweli kabisa mkuu,mkakati wa Kwanza alioufanya Mwenda zake ni upanuzi wa bandari,ili kurugusu meli kubwa kama manapax,(kama sijakosea jina) ziweze kutia nanga,na kuwa na eneo kubwa kwa ajili ya ushushaji mizigo. Kitu kinachotakiwa hapa baada ya Reli ni usimamizi wa bandari ili ulete Tija.
 
Back
Top Bottom