Gazeti la The Economist: Rais Magufuli na CCM kuendelea kushika madaraka baada ya Uchaguzi Mkuu

Is either hujui au unapiga propaganda! Tangu mfumo wa vyama vingi uanze CCM wameshinda, kihalali mala mbili tuu, that was 2000 second term BW Mkapa, na 2005, J Kikwete first term! Chaguzi nyingine zote mazonge na Tume wanamtangaza wao! Inasemekana 2010 W Slaa, Alichakachuliwa, 2010 unajua 3m won against 10m as per NEC!

Wabunge nadhani kama uko Tz unajua, Hata hapa mjini, Mbagala unajua kinachotokea mpaka wengine sasa tunaitwa "wanaume wa Dar" since we can't fight for our right like watu wa mikoani wanavyompigania mshindi kihalali!
 
Kutokurudi kwa ccm kutaisaidiaje Tanzania ni issue that is open to debate and we shouldn't take bets on it nor assuming the role of a prophet.

Kuhusu hatua iliyopigwa toka uhuru wewe unaweza kuwa na mtizamo wako labda kulingana na "Affinity or Behavioral Characteristics or even Sycophancy existing between you vis a vis the rulers".

Nchi hii na umri huo toka uhuru bado haiwezi kabisa ikaendesha mambo yake bila kutegemea "Economic Handouts" toka nje si swala la kujivunia hata kidogo na mara kwa mara tunashuhudia pro-government media wakishindana kutangaza pale hizo "Handouts" zinapotolewa au kuahidiwa.

Very shameful and it's not something worth smiling about.
 
Hebu kiruhusu kichwa chako kitafakari basi Bingwa. 2010 Dr. Slaa alimshinda a serving Preaident? Halafu 2015 CDM ikiwa ina nguvu na maarufu mara dufu ya 2010 na DR. Slaa akiwa maarufu mara dufu ya 2010, CCM wakiwa wamemuweka mgombea asiye maarufu na kukiwa na mpasuko mkubwa. CDM ikamwacha Dr.Slaa aliyekuwa ametoka kumshinda Rais aliyeko madarakani 2010 na kumuweka Lowassa aliyekuwa ana siku tatu amehama toka CCM na nembo ya ufisadi Tanzania kwa mujibu wa CDM yenyewe. Kama unachosema ni kweli basi inawezekana CDM 2015 mmeweka record na waliochukua maamuzi hayo ni mbumbumbumbu kweli kweli!
 
Hivi ni lazima uwe msomi sana au usome 'the economist' ndiyo ujue CCM itatawala milele? Mbona viongozi wa CCM wanasema na wanapanga hivyo kila siku?
Hata kudai wapinzani wanangoja eti intelligence ya gazeti hilo iseme ndiyo wapange mambo yao ni upuuzi mtupu!
Haihitaji akili kuvunja misingi ya UTU, Haki za binadamu, democracy na Utawala Bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nguvu ya Police na Jeshi, in the ballot box CCM wanashindwa asubuhi sana tena sana! Kwenye uhuru ha haki... free and fair election ,upinzani will emerge winner!
Gazeti la The Economist limeandika, "Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power".
 
Wahisani makini hawatoi tu pesa bila kufanya utafiti wao!

Hata hivyo msiwe na wasiwasi kwa sababu wacheza kamari za kisiasa hawakosekani na hao watawapa pesa wakitegemea labda kuna muujiza unaweza kutokea katika Uchaguzu Mkuu!
 

Usitupatie interpretation ya The Economist kwa mlengo wako wa kiMagufailure.

Kaa usubiri kinachokuja acha kututoa kwenye hoja za msingi.
 
Msingi wa mada ni hoja za gazeti la The Economist.

Nashangaa unataka tuziache hoja za gazeti ambalo limefanya uchunguzi na utafiti na kisha kutoa kile kitakachotokea kwenye Uchaguzi Mkuu.

Mimi sijafanya uchunguzi na utafiti na kwa msingi huu siwezi kuanza kutoa sababu za CCM kushinda au kushindwa kwa kutumia hisia zangu! "No research, no right to speak"

Kumbuka gazeti la The Economist limeandika, "Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power".
 
The Economist wamesema,‘’Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power’’.

Pigia mstari maneno, ''WILL RETAIN A FIRM GRIP ON POWER''

Mtatawala milele usijali Mkuu。
 
Zito na Mazurui wamepewa kavu

 
Hata wakati ccm wako vizuri upinzani walipata viti vingi vya ubunge na kila uchaguzi wanaongezeka na hata this time kama chadema wakimsimamisha lissu take my word wabunge watakaa na wengi watarudi
CCM ya 2015 ilikuwa imedhoofika ndio maana ilibidi Halmashauri Kuu umuagize Katibu Mkuu afanye ziara nchi zima ili kuimarisha.

CCM ya 2015 ilikuwa na wanachama ambao hata kuvaa sare zao za chama waliogopa!

CCM ya 2015 ilianza kukosa uungwaji mkono kwenye kundi la wananchi wa kipato cha chini kutokana na utendaji wa serikali yake.

CCM ya wakati wa sasa ni tofauti sana na kwa msingi huu, wapinzani wana wakati mgumu sana katika Uchaguzi Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…