Gazeti la The Economist: Rais Magufuli na CCM kuendelea kushika madaraka baada ya Uchaguzi Mkuu

Gazeti la The Economist: Rais Magufuli na CCM kuendelea kushika madaraka baada ya Uchaguzi Mkuu

Asiposhinda kwa 100% hata mimi nitashangaa.

Una Kila Kitu Na Wenzio Umewanyima Kila Kitu. Mpaka Wengine Umewaporomoshea Risasi 38 Kama Vile Unaua Chatu, tena wakiwa hoi kitandani hawajitambui umetumia BUNGE mpaka MAHAKAMA kumdhibiti.

Sasa Kwanini Usishinde Kwa 100%
 
Hilo gazeti lilichokifanya pamoja na kuwa halimpendi Magufuli LINALENGA kuwaonya wafadhili wa nchi zao kuwa wasiingie mkenge kuwachangia pesa upinzani walioanza kujipitisha pitisha huko nje ya nchi kwenye nchi zao kuwa ni matapeli wala hawana nia ya kushinda wanawinda pesa tu dakika hizi za majeruhi wazitafune kuelekea uchaguzi mkuu

LInatoa warning signals
Linawaasa wawekezaji hususan wa nje wasije kuwekeza Tanzania kwa sababu hali ya uchumi itakuwa inapangwa ka "amri kutoka juu" kwa miaka mitano mingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni lazima uwe msomi sana au usome 'the economist' ndiyo ujue CCM itatawala milele? Mbona viongozi wa CCM wanasema na wanapanga hivyo kila siku?
Hata kudai wapinzani wanangoja eti intelligence ya gazeti hilo iseme ndiyo wapange mambo yao ni upuuzi mtupu!
Haihitaji akili kuvunja misingi ya UTU, Haki za binadamu, democracy na Utawala Bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wapinzani wangekuwa wanaamini yanayosemwa au kufanywa na viongozi wa CCM, nadhani wasingemuweka kando mgombea Urais (Dkt Slaa) ambaye walituambia alishinda kura za Urais mwaka 2010 na wakamuweka mgombea Urais (Lowassa) ambaye CCM iliwaambia hafai.
 
Usitupatie interpretation ya The Economist kwa mlengo wako wa kiMagufailure.

Kaa usubiri kinachokuja acha kututoa kwenye hoja za msingi.
Kama unaweza kutolewa kwenye hoja za msingi basi wewe utakuwa hauna tofauti na nyumbu!

Wewe endelea na hoja zako za msingi na mimi niendelee na hoja zangu!

Kumbuka sikukuomba usome thread yangu au utoe maoni yako!
 
Ngoja mruhusu mikutano ya siasa ndio mtashangaa,

Wana ccm wengi wanajidanganya kwa kuhisi wanainchi wote wanahangaika na ndege, au madaraja, wakati hali haiko hivyo
Mikutano ya siasa inafanyika kila mara!

Kama hoja ni mikutano ya siasa, Lowassa alikuwa anaita mafuriko huku wajinga wengine wakimdekea barabara!

Hiyo iliyokuwa inaitwa "nyomi" iliishia wapi? Mbona haikumpeleka Ikulu?

Hoja sio mikutano ya siasa bali unafanya nini kwenye mikutano ya siasa!
 
Wangesema Jamaa ni Dikteta ungetokwa jasho hadi kwenye meno

Kitochi Original
Wameishasema sana na bado wanaendelea kusema!

Kwa sasa wamesema, ''‘’Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power’’
 
MsemajiUkweli,
Labda kwa vile hizi ni forecast za jarida maarufu sasa ndio hawa Wapinzani watasikia, lakini kuna akina sisi, forecast tumeanza kutoa tangu hajaapishwa...


P
Hao! The Economists hawana utafiti wowote, wanakusanya tafiti na maoni yenu na kuunga. Halafu watu wanazikubali taarifa zao na kudharau zenu ambazo ni original!
 
MsemajiUkweli,
Labda kwa vile hizi ni forecast za jarida maarufu sasa ndio hawa Wapinzani watasikia, lakini kuna akina sisi, forecast tumeanza kutoa tangu hajaapishwa...


P
Leo The Economist wamekua wazuri?
 
Back
Top Bottom