Kabendera angekuwa nje,angeandika ccm itaangukaNadhani huu utafiti na angalizo la hili gazeti umewafanya viongozi wetu wa upinzani kuingiwa na hofu/wasiwasi na kuanza kutafuta nguvu za kisiasa na kiuchumi kutoka nje ya mipaka ya nchi!
Hii sentesi ya INTELLIGENCE UNIT isemayo, ‘’Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power’’, imetoa ujumbe ambao vyama vya upinzani kama havitajipanga vizuri kuna uwezekano wa kujikuta bunge lina idadi ndogo sana ya wabunge wa upinzani na pia halmashauri za miji na Majiji zikiangukia kwenye mikono ya CCM!
Sio ajabu kuona kwa sasa viongozi wetu wa upinzani wanashindana kwenda nje ya nchi kutafuta msaada wa kisiasa na kifedha!
Hao viongozi waende tu,lakini wajue kuna sheria ya utakatishaji pesa