Gazeti la The Economist: Rais Magufuli na CCM kuendelea kushika madaraka baada ya Uchaguzi Mkuu

Gazeti la The Economist: Rais Magufuli na CCM kuendelea kushika madaraka baada ya Uchaguzi Mkuu

Nadhani huu utafiti na angalizo la hili gazeti umewafanya viongozi wetu wa upinzani kuingiwa na hofu/wasiwasi na kuanza kutafuta nguvu za kisiasa na kiuchumi kutoka nje ya mipaka ya nchi!

Hii sentesi ya INTELLIGENCE UNIT isemayo, ‘’Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power’’, imetoa ujumbe ambao vyama vya upinzani kama havitajipanga vizuri kuna uwezekano wa kujikuta bunge lina idadi ndogo sana ya wabunge wa upinzani na pia halmashauri za miji na Majiji zikiangukia kwenye mikono ya CCM!

Sio ajabu kuona kwa sasa viongozi wetu wa upinzani wanashindana kwenda nje ya nchi kutafuta msaada wa kisiasa na kifedha!
Kabendera angekuwa nje,angeandika ccm itaanguka
Hao viongozi waende tu,lakini wajue kuna sheria ya utakatishaji pesa
 
Kama ishu ya lowasa katika uchaguzi mkuu hujui basi ww ni mgeni wa siasa au ni kijana mdogo ambae unaleta ubishi usio na msingi
Wewe ndiye unaleta hoja za hisia zako lakini bila kujua kuwa hoja zako zinakinzana!
 
Yes, lakini si kwasababu CCM Ni nzuri wala so kwasababu imefana vizuri wenye maendelei ya inchi kwahiyo inapendwa. Lahasha, hii ni kwasababu Ni ukweli kuwa serikali hii ya CCM inafana kila jitihada ya kuua upinzani kwa kutumia nguvu ya Dola, kuwanyima uhuru wa kisiasa na kuhakikisha vyombo vyote vya maamuzi Ni CCM. Hutegemei upinzani ushinde uchanguzi wakati tume ya uchanguzi Ni CCM. The economist wanachosema ndiyo hicho, kwamba kwa Hali ya udictator wa CCM na serikali yake hakuna namna upinzani utashinda madaraka. Huu Ni ukweli.

Nje ya hapo, kuwe na tume ya wananchi, siyo ya CCM, kuwe na uhuru wa kufanya siasa, mtashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi umeanza mwaka 1995.

Tumefanya chaguzi kuu 5 mpaka sasa.

Leo ndio mmejua kuwa tume niya CCM?
 
Si gazeti la mabeberu au.
Mkuu;
Sielewi hoja yako ya msingi ni nini?

Kama mabeberu yamefikia hitimisho na kusema CCM/Rais Magufuli watashinda basi itakuwa yamefanya kila njia kuhakikisha hawashindi lakini imeshindikana!
 
Baada ya uchaguzi wa 2015 nchi hii haijaongozwa tena na ccm bali na "kitchen cabinet". Chama kimetumika tu kama hirizi ya kisiasa na kupiga muhuri mawazo binafsi ya baadhi ya watu.
Wewe ulitaka iongozwe na CCM?
 
Kuna vitu vya kawaida tu ukiviangalia unaona userious wa vyama ukoje...muundo wa vyama vya upinzani kiuongozi na kamati zake...juzi ccm wanaangalia muuelekeo wa siasa zao mpaka 2030 na ilani ya uchaguzi kuanza kuandaliwa...lakini wenzetu wako tuli...daftari ndio hilo sioni uhimizaji watu...ukweli mchungu ccm wanaweza kuwa na muda mrefu zaidi ya tunavyofikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeusema ukweli ambao wapinzani hawataki kuusikia au kuuelewa!
 
Hata ningekuwa mimi, yaani nimchague mwenyewe Mwenyekiti wa Tume na Mkurugenzi wake afu eti waniambie sijashinda...weee labda wakatangazie matokeo hayo Pruto!!

Yaani kwa wale wenye akili nzito ni kwamba kama tunaendelea na Tume hii ya uchaguzi utake usitake CCM watashinda watakavyo.
Baada ya chaguzi kuu 5 kwa muda wa miaka 25 kwa sasa ndio mmejua kuwa Mwenyekiti wa Tume na Mkurugenzi wanachaguliwa na Rais?
 
Tena nimewahi kusema mara nyingi sana humu jamvini kwamba HAKUNA MTU MNAFIKI KAMA ZITTO KABWE, NI OPPORTUNIST WA HALI YA JUU SANA ! Wamarekani na ujanja wao wasipo kua makini atawapiga hela ndefu japokua wanaweza mtemesha vile vile.
Pesa ya Wamarekani huwa haiendi bure!

Juzi tu Wairaq na viongozi wao wamesema hawawataki Wamarekani ndani ya nchi yao lakini Rais wa Marekani akawaambia hawawezi kuondoka nchini humo mpaka wawalipe pesa yao waliyotumia katika kuwalinda!
 
Hakuna mwaka utakuwa na wananchi wachache watakaopiga kura kama uchaguzi wa mwaka huu,raia walio wengi hawaoni umuhimu wa zoezi la kupiga kura (kwa mtazamo wangu)

Kwa habari ya majiji na miji kuwa chini ya CCM au UPINZANI haina maana yoyote,kwani kwa kiasi kikubwa watu wanatafuta nafasi kwa malengo yao BINAFSI...

KABLA ya 2015,miaka zaidi ya 50 majiji na miji karibu yote Tanzania ilikuwa ikongozwa na CCM,hata hiyo 2015 Ni fraction ndogo sana ya halmashauri zilizokuwa chini ya UPINZANI,Kama sikosei ni Arusha,DSM, Iringa,Moshi,Mbeya jiji (sijui kama kuna nyingine)

Halmashauri zingine zooote hapa nchini zimeendelea kuwa chini ya CCM,kurudisha hayo majiji na miji inayoongozwa na UPINZANI sidhani kama utakuwa na "any positive expectations" kwetu walala hoi,utakuwa ni mwendelezo wa maisha yetu ya kawaida tu kama ilivyo sasa...

Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa ni mapambano kati ya vyama vya siasa lakini kikubwa zaidi, Siasa zetu zimejengeka katika msingi wa ''Mshindi huchukua vyote''.

Kuna uwezekano mkubwa mshindi wa 2020 akachukua vyote!
 
Tangu uchaguzi umeanza je kura za upinzani zinapishana kwa ukubwa gani?
Unaweza kupitia LINK HII>>>
 
..binafsi sijamsikia Dr.Slaa akikanusha madai yake kuwa aliibiwa kura na ushindi mwaka 2010.
Kama una macho na yanaona, huhitaji kusikia anachokisema wakati matendo yake unayaona!
 
This is very true, not only CCM will retain a firm grip on power, but for a long time to come, in facts, CCM Itatawala Milele, anayebisha abishe tuu for the sake of kubisha, unless ni kwa msaada wa watu wa Marekani!.
P
P, dunia yenyewe ina mwisho, ccm inatawalaje milele; au una maana gani unapotumia hilo neno “milele”!




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom