Linawaasa wawekezaji hususan wa nje wasije kuwekeza Tanzania kwa sababu hali ya uchumi itakuwa inapangwa ka "amri kutoka juu" kwa miaka mitano mingine.Hilo gazeti lilichokifanya pamoja na kuwa halimpendi Magufuli LINALENGA kuwaonya wafadhili wa nchi zao kuwa wasiingie mkenge kuwachangia pesa upinzani walioanza kujipitisha pitisha huko nje ya nchi kwenye nchi zao kuwa ni matapeli wala hawana nia ya kushinda wanawinda pesa tu dakika hizi za majeruhi wazitafune kuelekea uchaguzi mkuu
LInatoa warning signals
Kama wapinzani wangekuwa wanaamini yanayosemwa au kufanywa na viongozi wa CCM, nadhani wasingemuweka kando mgombea Urais (Dkt Slaa) ambaye walituambia alishinda kura za Urais mwaka 2010 na wakamuweka mgombea Urais (Lowassa) ambaye CCM iliwaambia hafai.Hivi ni lazima uwe msomi sana au usome 'the economist' ndiyo ujue CCM itatawala milele? Mbona viongozi wa CCM wanasema na wanapanga hivyo kila siku?
Hata kudai wapinzani wanangoja eti intelligence ya gazeti hilo iseme ndiyo wapange mambo yao ni upuuzi mtupu!
Haihitaji akili kuvunja misingi ya UTU, Haki za binadamu, democracy na Utawala Bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unasema wamebanwa wakati tunaambiwa na wapinzani kuwa mwaka huu ndio watashinda majimbo mengi zaidi ya uchaguzi!Ni kweli! awamu hii upinzani umebanwa Sana
They cannot run away from the truth because truth will find them!
Kama unaweza kutolewa kwenye hoja za msingi basi wewe utakuwa hauna tofauti na nyumbu!Usitupatie interpretation ya The Economist kwa mlengo wako wa kiMagufailure.
Kaa usubiri kinachokuja acha kututoa kwenye hoja za msingi.
Na wewe utatawaliwa milele usijali Mkuu!Mtatawala milele usijali Mkuu。
Duh!Zito na Mazurui wamepewa kavu
Mkuu;Mmmh Ngoja wengine wakatolewe password backside ndo watajua
Mikutano ya siasa inafanyika kila mara!Ngoja mruhusu mikutano ya siasa ndio mtashangaa,
Wana ccm wengi wanajidanganya kwa kuhisi wanainchi wote wanahangaika na ndege, au madaraja, wakati hali haiko hivyo
Wameishasema sana na bado wanaendelea kusema!Wangesema Jamaa ni Dikteta ungetokwa jasho hadi kwenye meno
Kitochi Original
Mkuu;Maghufuli atakuwa amekubali kusaini ule mkataba wa EPA unaozihusisha nchi 6 za Africa.
Hao! The Economists hawana utafiti wowote, wanakusanya tafiti na maoni yenu na kuunga. Halafu watu wanazikubali taarifa zao na kudharau zenu ambazo ni original!MsemajiUkweli,
Labda kwa vile hizi ni forecast za jarida maarufu sasa ndio hawa Wapinzani watasikia, lakini kuna akina sisi, forecast tumeanza kutoa tangu hajaapishwa...
Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
PWanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Absolutely!
Duh!Sio kwamba wanajaribu kubalance mambo ili Kabendara aachiwe?!?
Out of the boxDuh!
Wetu alisema hakuna kuwa neutralYou are either with us or you're against us - George Bush Jr. Former US President.
Out of my depth!Out of the box
Leo The Economist wamekua wazuri?MsemajiUkweli,
Labda kwa vile hizi ni forecast za jarida maarufu sasa ndio hawa Wapinzani watasikia, lakini kuna akina sisi, forecast tumeanza kutoa tangu hajaapishwa...
Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
PWanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Tusidanganyane, hakuna asiyeogopa kufa!!! Sema hayajakukuta, nawe utakukuwa kama MayalaLeo The Economist wamekua wazuri?