Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Na sababu naziona hapoWameishasema sana na bado wanaendelea kusema!
Kwa sasa wamesema, ''‘’Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power’’
Hawa jamaa wanafurahisha sana!
Hili ni tatizo la kukabidhi akili zao kwa mtu ambaye kiuhalisia hawamjui lakini kikubwa zaidi anazichezea akili zao kama atakavyo!
Mikutano ya siasa inafanyika kila mara!
Kama hoja ni mikutano ya siasa, Lowassa alikuwa anaita mafuriko huku wajinga wengine wakimdekea barabara!
Hiyo iliyokuwa inaitwa "nyomi" iliishia wapi? Mbona haikumpeleka Ikulu?
Hoja sio mikutano ya siasa bali unafanya nini kwenye mikutano ya siasa!
Si gazeti la mabeberu au.Mkuu;
Hilo la kusaini Mkataba linahusiana nini na repoti hii ya gazeti la The Economist?
Sawa!Bwana we mie naboresha ugali wa wanangu, acha nim'quote bosi aangu
MsemajiUkweli,
Labda kwa vile hizi ni forecast za jarida maarufu sasa ndio hawa Wapinzani watasikia, lakini kuna akina sisi, forecast tumeanza kutoa tangu hajaapishwa...
Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
PWanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Nyanjomigire,
Gazeti la The Economist halijasema lolote kuhusu uhalali/muundo wa tume ya Uchaguzi lakini una haki ya kuwa na mtazamo wako! Kumbuka mtazamo wako hauwezi kuondoa angalizo la gazeti la The Economist kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu.
Labda tujiulize, kutorudi kwao CCM madarakani kutasaidia nini Watanzania? Ni chama gani kitaziba nafasi ya CCM baada ya kutorudi madarakani?
Ni kweli, hakuna lolote lililofanywa kwa zaidi ya miaka 60 kwa mtu ambaye akili ya kawaida (common sense) ni bidhaa adimu katika ubongo wake!
Naunga mkono hoja, kitu kama hiki niliwahi kukisemaKusema kweli sababu za ccm kushinda kwa namna yoyote sasa zimeongezeka sana: baadhi ya viongozi wanaamini hawatakuwa salama chini ya chama kingine.
Inabidi tu wakubaliane na sera za CCM kwa sababu CCM bado ipo sana!Likewise linatoa signal kwa mabeberu wanaotaka kuwekeza bongo kwamba CCM ipo sana tu, kama hawakubaliani na sera zake sasa, then wasitarajie mabadiliko baada ya uchaguzi....Kwa hivyo wawe makini wasipoteze pesa zao...
Hii ina maana FDI zitazidi kupungua na ajira kuota mbawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu vya kawaida tu ukiviangalia unaona userious wa vyama ukoje...muundo wa vyama vya upinzani kiuongozi na kamati zake...juzi ccm wanaangalia muuelekeo wa siasa zao mpaka 2030 na ilani ya uchaguzi kuanza kuandaliwa...lakini wenzetu wako tuli...daftari ndio hilo sioni uhimizaji watu...ukweli mchungu ccm wanaweza kuwa na muda mrefu zaidi ya tunavyofikiriMsemajiUkweli,
Swala la idadi ndogo ya wabunge wa upinzani me sitaki kuamini Coz kila uchaguzi huwa tunahisi hivyo na matokeo yake ndio kwanza wanajaa,
Me nadhani watanzania wanawaamini sana upinzani kwenye ubunge kuliko kwenye urais
Na la urais linakuwa gumu sana hasa kwenye kuunda serikali bcoz upinzani hawana watu ambao wanaweza kusema wanaunda serikali
Wengine wanasema, No Hate, No Fear!Wetu alisema hakuna kuwa neutral
Mkuu;
Nimeyapenda maoni yako!
Unajua kuna baadhi ya watu wanaandika tu bila kujua mantiki ya kile wanachokiandika!
Yaani eti aliyeshinda Uchaguzi Mkuu 2010 anawekwa kando kwenye Uchaguzi wa 2015 ili kumpisha mgombea ambaye amehamia ndani ya chama siku tatu zilizopita!
Halafu huyo mgombea anayedaiwa mwaka 2015 alishinda anaamua pia kukiacha chama ambacho wanachama wake mpaka sasa wanapiga kelele wakidai alishinda uchaguzi mkuu 2015!
Hivi vituko utavikuta tu kwa watu ambao hawajui kwa nini wanashindwa katika chaguzi kuu!
Nashukuru kama sababu umeziona!Na sababu naziona hapo
You sound like someone with placebo effect!Ikiwa CCM ya 2015 ilikuwa imedhoofika kiasi cha wwnanchama wao kushindwa kuvaa sare mitaani kwa kuogopa kuzomewa, chini ya Magu CCM inabebwa na ukatili, ubabe, vitisho, mauaji, watu kupotea, kulazimisha matokeo kwenye chaguzi, kukandamiza upinzani, kuminya uhuru wa kupeana habari, na utawala usiofuta sheria za nchi kwa lengo la kutekeleza kwa nguvu ilani ya CCM ili kuja kuonyesha baadae kwamba walijaribu.
Hebu ajitokeze mtu aiondelee CCM hivyo vitu vyote vinavyoibeba halafu weka uwanja sawa wa ushindani uone kama kutabaki CCM mahali..
CCM ni dhaifu na imekataliwa na Watanzania toka zamani sana. Ipo madarakani kwa sababu ya hila, na kubebwa na mfumo mzima wa dola.
Hata CCM wenyewe wanalijua hili mioyoni mwao ndio maana ukigusia kurekebisha baadhi ya sheria ili ushindani uwe wa haki, wako tayari tuanze vita kuliko kugusa kisingi inayowabakisha madarakani.
Every Tanzanian knows this FACT. And the whole world know this dirty secret.
Unahitaji tu kuwa na akili ya kawaida kujua kuwa CCM haiwezi kutawala milele labda kama mwisho wa dunia unajulikana!Post# 16 mtu kasema CCM itayawala milele. Itakuwa hivyo tu kama hapakuwa na siku ilipoanza kama vile MUNGU asiye na mwanzo wala mwisho.
Usahihi ni kusema upo uwezekano mkubwa CCM kutawala muda mrefu. Siyo milele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena nimewahi kusema mara nyingi sana humu jamvini kwamba HAKUNA MTU MNAFIKI KAMA ZITTO KABWE, NI OPPORTUNIST WA HALI YA JUU SANA ! Wamarekani na ujanja wao wasipo kua makini atawapiga hela ndefu japokua wanaweza mtemesha vile vile.Hilo gazeti lilichokifanya pamoja na kuwa halimpendi Magufuli LINALENGA kuwaonya wafadhili wa nchi zao kuwa wasiingie mkenge kuwachangia pesa upinzani walioanza kujipitisha pitisha huko nje ya nchi kwenye nchi zao kuwa ni matapeli wala hawana nia ya kushinda wanawinda pesa tu dakika hizi za majeruhi wazitafune kuelekea uchaguzi mkuu
LInatoa warning signals
Hakuna mwaka utakuwa na wananchi wachache watakaopiga kura kama uchaguzi wa mwaka huu,raia walio wengi hawaoni umuhimu wa zoezi la kupiga kura (kwa mtazamo wangu)Nadhani huu utafiti na angalizo la hili gazeti umewafanya viongozi wetu wa upinzani kuingiwa na hofu/wasiwasi na kuanza kutafuta nguvu za kisiasa na kiuchumi kutoka nje ya mipaka ya nchi!
Hii sentesi ya INTELLIGENCE UNIT isemayo, ‘’Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power’’, imetoa ujumbe ambao vyama vya upinzani kama havitajipanga vizuri kuna uwezekano wa kujikuta bunge lina idadi ndogo sana ya wabunge wa upinzani na pia halmashauri za miji na Majiji zikiangukia kwenye mikono ya CCM!
Sio ajabu kuona kwa sasa viongozi wetu wa upinzani wanashindana kwenda nje ya nchi kutafuta msaada wa kisiasa na kifedha!