MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
- Thread starter
- #161
Siasa za nchi yetu zina baadhi ya wanasiasa wasanii wa kisiasa!Zitto siku hizi analala juu ya mti kapokea mipesa,kaitwa aeleze zimetokana na nini,analalamika twitter kuwa anataka kufungulia kesi ya uhujumu uchumi