Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,176
- 2,479
It is because we are a skunk of the world.Magufuli kawa Rais wa dunia, akipiga chafya tu dunia mzima inaanza kujadili kauli yake, Africa/Tanzania tulitaji marais kumi wenye msimamo usiyoyumbishwa na wazungu kama Magufuli, corona ya mala ya kwanza aliwambia hivi kila mtu akambeza mwisho wa siku akaibuka kidedea, sasahivi kila taifa limechukua njia yake ya kujilinda na corona,akuna anayefungia ndani tena, Ninajua nahii ya mala ya pili lazima aibuke mshindi.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli.
Kwa hiyo kama huna nauli ya kufika mwanza kumsalimia aliyefiwa hata ukiwa na nauli ya kufika dodoma kumsalimia aliyefiwa hapo Dodoma huendi?Wewe mtu UMELOGWA...unajianika ignorance yako. Hivi hujui Baadhi ya Cancer kama ya tumbo na kikazi zinasababishwa na infections ambao kama chanjo ingekuwepo watu wasingepata? Uelewa wako mdogo zaidi ya kunidhalilisha. JPM yuko vzr .
Aibu ya nn kwani nimejinyea?Nikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!
Kaka Kiranga ,leo watumia kifaa gani?Kuna daktari mmoja bingwa anasema Tanzania inaweza kutengeneza strainbyake mpya.
Lama derikali na uongozi wa juu wa nchi, hatutaki kupims, hatutaki ku isolate, hatutaki dawa za kimataifs, hatutaki chanjo.
Ataibuka mshindi akishakufa baba yako na mama yako kwa kovidi huku wewe ukiwa hoi kitandani.Magufuli kawa Rais wa dunia, akipiga chafya tu dunia mzima inaanza kujadili kauli yake, Africa/Tanzania tulitaji marais kumi wenye msimamo usiyoyumbishwa na wazungu kama Magufuli, corona ya mala ya kwanza aliwambia hivi kila mtu akambeza mwisho wa siku akaibuka kidedea, sasahivi kila taifa limechukua njia yake ya kujilinda na corona,akuna anayefungia ndani tena, Ninajua nahii ya mala ya pili lazima aibuke mshindi.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli.
Acha uzwazwa wa kimagu hapa!!Mwanaume n kuwa na msimamo, siku zote nipo upende wake coz anamsimamo na anachokiamin, hii n vita ya kiuchumi via biology, msije mkaletewa chanjo mkazaa vitoto havina akili ili waje wachukue malighafi kilain, ππ
Mbona jibu limo ila mwenyewe huelewi. Kuna mashaka ya nia mbaya kwenye covid 19. Kwa hivyo hata chanjo iinaweza ikawa na lengo tofauti.Unaongelea lockdown tu kukwepa hoja ya msingi.
Hiyo lockdown kama na wazungu wamewekeana, sis inatuhusu nini?
Hoja hapa ni madai ya Magu kuwa hiyo chanjo si salama na sio lockdown.
Heee mtukufu?????Kumbe haya magazeti hayaandiki tena ziara za Lisu Ulaya?
Sasa wako bize kuandika habari za mtukufu Magufuli
Ilikuwa za enz hizoo Watz walikuw wamelala , mikataba ya 80/20. 85/15 , saiz wabongo wachache tumeamka tunatanga ms......kwa buku jero ndo maaana wanahaha wanataka pa kutukamatia, afu uzur jamaa hasikiliz kelele za mbwa wa home wakibweka maana anajua n wake tuu hawawez mng"ata ππ, niny endeleen kubweka tuuu, no effect, work done will be=0( work=forceΓdistance) usiitafsr ki o level, think twice ki artAcha uzwazwa wa kimagu hapa!!
Mtoto akizaliwa tu anapata chanjo ya matone kuzuia kifaduro etc. Hata weye ulipewa chanjo hiyo au wadogo zako.
Bado kuna chanjo za matende na mabusha, chanjo ya kuzuia cancer ya kizazi etc...!!!
Kama ni chanjo cha kuwafanya Wabongo kuwa mazwazwa basi itakuwa tayari including your president....!!
Kukataa chanjo ya Covid-19 kwa kisingizio cha Vita vya Kiuchumi ni ujinga!!
Hivi Tanzania ina Uchumi mkubwa kuliko USA, UK,France, Germany, Italy etc?
Magufuli na CCM yake waache propaganda za kipuuzi!!
Subir izae matunda, we unahis Yale mapapai yalikutwa na Corona kisa nn?, Unahis n reading error? Think twiceKwa hiyo kama huna nauli ya kufika mwanza kumsalimia aliyefiwa hata ukiwa na nauli ya kufika dodoma kumsalimia aliyefiwa hapo Dodoma huendi?
Ina maana kama chanjo ya cancer haijapatikana ikipatikana ya Ukimwi tuikatae hadi ipatikane ya cancer?
Ulijiuliza kwann mapapai yalikutwa na Corona?, Think twice mkuu, vifaa hvyo walitengeneza wao, kwann viwe na errors hvoo?, Walikuw na intension gan?Acha uzwazwa wa kimagu hapa!!
Mtoto akizaliwa tu anapata chanjo ya matone kuzuia kifaduro etc. Hata weye ulipewa chanjo hiyo au wadogo zako.
Bado kuna chanjo za matende na mabusha, chanjo ya kuzuia cancer ya kizazi etc...!!!
Kama ni chanjo cha kuwafanya Wabongo kuwa mazwazwa basi itakuwa tayari including your president....!!
Kukataa chanjo ya Covid-19 kwa kisingizio cha Vita vya Kiuchumi ni ujinga!!
Hivi Tanzania ina Uchumi mkubwa kuliko USA, UK,France, Germany, Italy etc?
Magufuli na CCM yake waache propaganda za kipuuzi!!
Umesahau vipimo vyao vulikuw vinaonesha mapapai yana Corona?, Walitaka mfe kwa woga Kwanza, sometimes achana na siasa na science zama kwenye art, fuatilia what fears do, bas hat Kama husom vitabu hujawah ona hata movie watu wanavyotumia fear kuwadefeat opposition side?π€Unaongelea lockdown tu kukwepa hoja ya msingi.
Hiyo lockdown kama na wazungu wamewekeana, sis inatuhusu nini?
Hoja hapa ni madai ya Magu kuwa hiyo chanjo si salama na sio lockdown.
Those are mere propagandas!!!Ulijiuliza kwann mapapai yalikutwa na Corona?, Think twice mkuu, vifaa hvyo walitengeneza wao, kwann viwe na errors hvoo?, Walikuw na intension gan?
Hizo n assumption zako pia π, tukikwambia ulete proofs kuwa haikuw hvoo utaingia mitin au utaleta siasaππThose are mere propagandas!!!
Watu wenye akili tulijua ilikuwa ni mbinu ya Jiwe kukataa Corona haipo Tanzania ndo akaja na janja hiyo ya vipimo fake!!!
Jiulize kwanini Kipimo cha Covid-19 Tanzania pekee ndiyo kiwe na errors???
Magufuli alipoambiwa awake hiyo proof kwa kupeleke same samples to WHO akaingia mitini!!!!
Huwa sitaki kubishana na wajinga.....!!!Hizo n assumption zako pia π, tukikwambia ulete proofs kuwa haikuw hvoo utaingia mitin au utaleta siasaππ
ππ, Sawa genius, sema we assumptions Kama zote na unaongonzwa na hisia tuuππHuwa sitaki kubishana na wajinga.....!!!
Huyu jamaa atatuponza kama taifa amewatukana sana hao jamaa, awe anaweka akiba ya maneno au lasivyo watatushughulikia ipasavyo muda si mrefu.
Alichosema Magufuli siyo msimamo wa Watanzania. kama ni suala la kuwa na nongwa na wazungu hilo ni suala lake yeye na vibaraka wake si suala la watanzania wote.
Ni kweli, Ni kweliNdiyo maana kina human papilloma virus vaccine. Ni Kwa ajili hiyo