Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

Wewe mtu UMELOGWA...unajianika ignorance yako. Hivi hujui Baadhi ya Cancer kama ya tumbo na kikazi zinasababishwa na infections ambao kama chanjo ingekuwepo watu wasingepata? Uelewa wako mdogo zaidi ya kunidhalilisha. JPM yuko vzr .
Na usisahau kwamba kwamba hizo cancers zinatokana na mapokeo ya mitindo ya wazungu katika mifumo yetu ya maisha.Wenzako wanatengebeza matatizo Ili wayatatue wajitengenezee fursa kiuchumi. Wakati huo wewe umekaa na kudhani kuwa wazungu wanakupenda sana.
 
Magufuli ametoa maoni binafsi na watanzania hatuwezi kufungamana nayo. Ndio maana “hakupiga marufuku” watu kujichanja na kufanya yote yanayoweza kuwakinga na maambukizi ya COVID.

Huyu Magu alikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kwenda kunywa kikombe cha yule babu wa Loliondo bila hofu ya kujioverdose wakati tiba yenyewe haikuwa imefanyiwa utafiti. Ninadhani siku chanjo ikitua bongo, anaweza kuchanjwa kimyakimya huyu
 
Haya basi kama ni hivyo hospitali zote zifungwe na madawa yote yachomwe moto tuanze kutumia miarubaini na milundalunda halafu uone tutaongozeka au kupungua yaani ukiwa CCM na bichwa lako linakua empty sijui kwa nini
 
Tena ya kizazi husababishwa na virusi, nadhani wakiamua chanjo inawezekana
Hivyo virus vimetokana na nini, mbona miaka ya zamani hakuwa na wimbi kubwa hivi la cancer ya shingo ya kizazi? Mnawaza suluhu tu bila kujiuliza chanzo cha tatizo. Huenda inatokana na matumizi ya baadhi ya vitu vinavyotoka hukohuko mnakotaka wawatengenezee chanjo. AFRICA ni sehemu nzuri sana ya kitajirikia wazungu, kwakua wanauwezo wa kulitengeneza tatizo na kuja kana waokoaji wa maisha.
 
Haya basi kama ni hivyo hospitali zote zifungwe na madawa yote yachomwe moto tuanze kutumia miarubaini na milundalunda halafu uone tutaongozeka au kupungua yaani ukiwa CCM na bichwa lako linakua empty sijui kwa nini
Unaona ulivyopofushwa na siasa Sasa🤔.Ni wapi nimetoa maoni kama hayo ya kijinga? Hoja yangu ni kwamba, kabla ya kukimbilia kwenye suluhu na kuwasifu hao waleta suluhu, inabidi tuchunguze kwanza chanzo halisi cha matatizo. Sio kufurahia et wazungu wanatupenda kwakua wamekuletea chanjo ya corina wakati wao ndo wameitengeneza, kwa lengi la kutengeneza fursa ya kiuchumi. Bichwa lako ndo liko empty na akili hizo za kukubali kila kitu, hata ukiambiwa upitishiwe mwichi matakoni Ili upimwe corona utakubali wewe.
 
Kwani walioutengeneza walikuwa na maana gani? Wewe kabwela kama makabwela wengine utaweza kuudhibiti ikiwa walioutengeneza hawana mpango?Maana hata wao huko bado wanakufa tu.

👉 Ni nchi gani kwasasa bado inatoa takwimu hilisi za maambukizi ya virus vya corona kama mwanzo?
 
Wewe mtu UMELOGWA...unajianika ignorance yako. Hivi hujui Baadhi ya Cancer kama ya tumbo na kikazi zinasababishwa na infections ambao kama chanjo ingekuwepo watu wasingepata? Uelewa wako mdogo zaidi ya kunidhalilisha. JPM yuko vzr .
Je inaambikizwa Verticaly? Wewe ndo hujui kotu
 
Mbona sasa wengine wanasema huu ugonjwa tuliweza kuudhibiti mwaka jana? mfano kwenye waraka wa juzi wa baraza la maaskofu katoliki wao wanasema tulifanikiwa kudhibiti corona mwaka jana. Sasa wewe mkuu unasema watu wanateketea mnakuwa mnanichanganya.
Mkuu hata maamuzi ya baraza la maaskofu ni baada ya kuona watu wanateketea kwa ugonjwa huu.
Kumbuka wao wanazika kila uchwao, na hata mapadre na watumishi mbalimbali wanateketea kwa ugonjwa huu!
Tuchukue tahadhari sana hasa ktk family level kwani inasemwa 'akili za kuambiwa...............................'
 
Nikupe siri: Ukiona wazungu wanamjadili MwaAfrika kwa ubaya, ujue huyo ni faida kwa jamii ya kiAfrika. Ukiona wanakusifia, jiulize mara mbilimbili. Watakuwa wanakuona kama hamnazo. Wazungu ni hatari sana yaani sana.
 
Hawajasema kwamba hao watu waliyokufa ni kwa sababu ya huu ugonjwa bali wametoa tahadhari kwamba pengine yaweza kuwa ni huu ugonjwa,nachouliza mie ni maelezo ya kwenye waraka kwamba corona ilipungua mwaka jana kwamba tulifanikiwa kuidhibiti.

Je wewe unaonaje ni kweli mwaka jana tulifanikiwa kudhibiti corona?
 
Alichosema Magufuli siyo msimamo wa Watanzania. kama ni suala la kuwa na nongwa na wazungu hilo ni suala lake yeye na vibaraka wake si suala la watanzania wote.
Jitoe wewe, tuache sisi na rais wetu. Tabloid hii ni kinara wa kumnanga raisi wetu


 
Kuna virus vingi tu ndio husababisha kansa ndugu kwa hiyo Magu yupo sawa!
 
Je wewe unaonaje ni kweli mwaka jana tulifanikiwa kudhibiti corona?
Ukweli ni kuwa tulifanikiwa kudhibiti, hata sasa sasa tukirudi kwenye mbinu tulizotumia kwa dhati, tunaweza kufanikiwa
 
Utakuta waandishi wa hizi makala ni manyang'au na hawa majirani wengine ambao marais wao wamekomba "Covid relief funds" kutoka kwa mabeberu na kujinufaisha, sasa inawauma kuwa hatuna deni na uchumiwetu unapaa. Viva magufuli
 
Nikupe siri: Ukiona wazungu wanamjadili MwaAfrika kwa ubaya, ujue huyo ni faida kwa jamii ya kiAfrika. Ukiona wanakusifia, jiulize mara mbilimbili. Watakuwa wanakuona kama hamnazo. Wazungu ni hatari sana yaani sana.
Mbona faida yake hatuion huku mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…