Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo.
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa ndio gazeti la mwisho kwa mauzo kiasi cha kushangaza namna linavyoweza kujiendesha kwa kuuza nakala chache kila siku, huku vijana wengi wakiliita gazeti la "kufungia vitumbua"
Bado tunashang'aa kulikoni leo gazeti hili kutafutwa hadi kwa gharama ya tsh elfu 10 kwa nakala moja!