Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Chama Cha Mazezeta ni Chanzo Cha Matatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha mchongo hapo, CCM tu wameamua kuchezesha watu ngoma zao!!Huo mchongo umesukwa vizuri Sana ndani ya chama ,rais yupo bize na wapinzani kumbe wapinzani wake wapo ndani ya chama chake mwenyewe
Wamesema wanaweka kumbukumbu ili wamkumbushe 2025, Ila keshachomoaYaani watu wakimbilie kununua gazeti la Uhuru kisa limeandika Samia hatagombea 2025?!
Itakuwa ni CCM wenyewe ndio walinunua nakala zote hili zisisambae!!
Bi chokochoko kwisha habari !Huo mchongo umesukwa vizuri Sana ndani ya chama ,rais yupo bize na wapinzani kumbe wapinzani wake wapo ndani ya chama chake mwenyewe
Akina nani hao wanaoweka kumbukumbu ili wamkumbushe?! CCM Insiders, au?!Wamesema wanaweka kumbukumbu ili wamkumbushe 2025, Ila keshachomoa
Kelele za miamala ya simu naamini bado hazijaisha, kila siku wengi bado wanalalamika, kama hii ni mbinu CCM wanayoitumia wamefeli, Samia alituahidi majibu ya ripoti ya tume aliyoiunda, bado yanasubiriwa.Hakuna cha mchongo hapo, CCM tu wameamua kuchezesha watu ngoma zao!!
And trust me, katika hili CCM wapo vizuri sana, sema watu hawajawashtukia!!
Just imagine.... tozo za miamala! Tozo za miamala! Tozo za miamala! Tozo za miamala; mara from nowhere tunasikia Mbowe kafunguliwa mashitaka ya ugaidi; na hivi sasa hakuna tena anayejadili masuala ya tozo!!
Hatujakaa vizuri; mara Kikekee, mara Samia! Mara Kikeke, mara maswali kwa Samia! Hatujakaa vizuri, mara Uhuru wanashuka na habari za Samia kutogombea 2025, na ghafla gazeti lote "limenunuliwa" na kuadimika mtaani, na kifungo kwa Uhuru juu!!!
Simulizi za Samia na intavyuu zinaachwa, watu wanahamia kwenye Gazeti la Uhuru!!
Anawatengenezea wapinzani kesi uchwara huku ndani ananyolewa kimtindoBi chokochoko kwisha habari !
Wa tz ndo tunapenda kutembea na stori 1 ila bado tozo haIkuwa na kipingamiziHakuna cha mchongo hapo, CCM tu wameamua kuchezesha watu ngoma zao!!
And trust me, katika hili CCM wapo vizuri sana, sema watu hawajawashtukia!!
Just imagine.... tozo za miamala! Tozo za miamala! Tozo za miamala! Tozo za miamala; mara from nowhere tunasikia Mbowe kafunguliwa mashitaka ya ugaidi; na hivi sasa hakuna tena anayejadili masuala ya tozo!!
Hatujakaa vizuri; mara Kikekee, mara Samia! Mara Kikeke, mara maswali kwa Samia! Hatujakaa vizuri, mara Uhuru wanashuka na habari za Samia kutogombea 2025, na ghafla gazeti lote "limenunuliwa" na kuadimika mtaani, na kifungo kwa Uhuru juu!!!
Simulizi za Samia na intavyuu zinaachwa, watu wanahamia kwenye Gazeti la Uhuru!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo.
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa ndio gazeti la mwisho kwa mauzo kiasi cha kushangaza namna linavyoweza kujiendesha kwa kuuza nakala chache kila siku, huku vijana wengi wakiliita gazeti la "kufungia vitumbua"
Bado tunashang'aa kulikoni leo gazeti hili kutafutwa hadi kwa gharama ya tsh elfu 10 kwa nakala moja!
View attachment 1888254
Jo uwe unaelewa vitu vyepesi basiChadema mnasoma sana gazeti la Uhuru siku hizi!
Man,Kelele za miamala ya simu naamini bado hazijaisha, kila siku wengi bado wanalalamika, kama hii ni mbinu CCM wanayoitumia wamefeli, Samia alituahidi majibu ya ripoti ya tume aliyoiunda, bado yanasubiriwa.
Above all, kuna kesi mahakamani, hata kama mshtaki ameshaanza kuulizwa alizaliwa wapi, tunajua hiyo ni michezo tu ya CCM na idara zake kwenye kulindana, muhimu kesi itasikilizwa na kutolewa maamuzi.
Kuhusu Mbowe, nako kuna kila aina ya ushahidi hiyo kesi ilitengenezwa ili kumfunga mdomo asiendelee na issue ya kudai Katiba Mpya.
Sasa inaonekana wazi kabisa, mbinu zote CCM wanazotumia ili kuwaondoa wengi kwenye reli zinaenda kushindwa.
Kwani mpaka mnalifungia Gazeti la Mwanahalisi ina maana MMELISOMAChadema mnasoma sana gazeti la Uhuru siku hizi!
Upopoma marufukuSasa Popoma mimi au wewe ambae hujaelewa nilichoandika. Na alieandika kuwa hatogombea mimi au gazeti la Uhuru??