Gazeti la Uhuru lamalizika sokoni tangu saa 2 asubuhi, Wasomaji walisaka hata kwa dau kubwa

Mhariri Mtendaji wa na Mhariri wa Uhuru Media vipi Tena.Jambo zito Kama hili,nimepitia mahojiano ya Mtukufu Rais na Salim Kikeke sijasikia maneno haha.Tuwe makini
 
Wanaficha aibu yao. Wanamsemea mama kuwa hatagombea 2025 wakati ndio kwanza kaanza kunogewa na Airbus kuzunguka nchi na dunia.

Yani wanataka mama aache raha zote hizo baada ya miaka 4 tu.

Sitostaajabu baada ya 2025 watatokea watu 'kumuomba' mama agombee tena hata kama katiba hairuhusu. Na kwa jinsi mama alivyomsikivu atakataa kidogo halafu atakubali kama alivyofanya rafiki yake Kagame Rwanda.

Halafu Uhuru wanataka kumsingizia mama kuwa hatogombea, they are not serious.

Katiba inamruhusu kugombea muhula mwingine mmoja. Hivi Watanzania mbona tunapenda kudanganya sana
 
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo.

Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa ndio gazeti la mwisho kwa mauzo kiasi cha kushangaza namna linavyoweza kujiendesha kwa kuuza nakala chache kila siku, huku vijana wengi wakiliita gazeti la "kufungia vitumbua"

Bado tunashang'aa kulikoni leo gazeti hili kutafutwa hadi kwa gharama ya tsh elfu 10 kwa nakala moja!

View attachment 1888254
Mama analijenga TAIFA.....

Gazeti la UHURU wamemlisha maneno
.......

#KaziIendelee
 
Nikajua labda kuna makala inayoangazia kufufuka kwa yule mtesi wa watu wake
 
Wanaficha aibu yao. Wanamsemea mama kuwa hatagombea 2025 wakati ndio kwanza kaanza kunogewa na Airbus kuzunguka nchi na dunia.

Yani wanataka mama aache raha zote hizo baada ya miaka 4 tu.

Sitostaajabu baada ya 2025 watatokea watu 'kumuomba' mama agombee tena hata kama katiba hairuhusu. Na kwa jinsi mama alivyomsikivu atakataa kidogo halafu atakubali kama alivyofanya rafiki yake Kagame Rwanda.

Halafu Uhuru wanataka kumsingizia mama kuwa hatogombea, they are not serious.
mbwa kamla mbwa
 
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo.

Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa ndio gazeti la mwisho kwa mauzo kiasi cha kushangaza namna linavyoweza kujiendesha kwa kuuza nakala chache kila siku, huku vijana wengi wakiliita gazeti la "kufungia vitumbua"

Bado tunashang'aa kulikoni leo gazeti hili kutafutwa hadi kwa gharama ya tsh elfu 10 kwa nakala moja!

View attachment 1888254

Utakuwa ulikuwa uhuru wa vyombo vya habari aliosema.
 
Umebakiza ulimbukeni.
 
mnahangaika na mama nyie wahuni sana hamna kazi ya kufanya
1628688677862.png

Tutaangalia nani anajua kujiliza zaidi, wewe au Lijualikali
 
Back
Top Bottom