Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu nina elfu 10 naweza kupata wapi nakala ya leo?Chadema mnasoma sana gazeti la Uhuru siku hizi!
Uzuri wa CCM kila lisilowapendeza huusishwa nalo CHADEMA.Chadema mnasoma sana gazeti la Uhuru siku hizi!
Alooh!?Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo .
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa ndio gazeti la mwisho kwa mauzo kiasi cha kushangaza namna linavyoweza kujiendesha kwa kuuza nakala chache kila siku, huku vijana wengi wakiliita gazeti la "kufungia vitumbua"
Bado tunashang'aa kulikoni leo gazeti hili kutafutwa hadi kwa gharama ya tsh elfu 10 kwa nakala moja !
View attachment 1888254
Ufipa st!Mkuu nina elfu 10 naweza kupata wapi nakala ya leo?
Awamu ya tano iliisha tarehe 27,march 2021 au kabla ya hapo.Awamu ya 5 inaishia 2025. Mama aache usanii.
Kama ni serikali mpya mbona mawaziri ni wale wale wa JPM wakiongozwa na Majaliwa.
Mama must go 2025.
Mitaani watu wanafurahia kinywaji tangu asubuhi.kisa gazeti 🤣Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo.
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa ndio gazeti la mwisho kwa mauzo kiasi cha kushangaza namna linavyoweza kujiendesha kwa kuuza nakala chache kila siku, huku vijana wengi wakiliita gazeti la "kufungia vitumbua"
Bado tunashang'aa kulikoni leo gazeti hili kutafutwa hadi kwa gharama ya tsh elfu 10 kwa nakala moja!
mnahangaika na mama nyie wahuni sana hamna kazi ya kufanyaKwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo.
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa ndio gazeti la mwisho kwa mauzo kiasi cha kushangaza namna linavyoweza kujiendesha kwa kuuza nakala chache kila siku, huku vijana wengi wakiliita gazeti la "kufungia vitumbua"
Bado tunashang'aa kulikoni leo gazeti hili kutafutwa hadi kwa gharama ya tsh elfu 10 kwa nakala moja!
View attachment 1888254
We jamaa umenichekesha sana [emoji1787]SUKUMA GANG+CHADEMA wakishirikiana na UAMSHO kumpiga spana huyu mama atakimbilia kwao OMAN kabla ya 2025.
Tangu lini sisi tulikuwa gazeti la uhuru ?mnahangaika na mama nyie wahuni sana hamna kazi ya kufanya