Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025.

photo_2021-08-11_09-06-26.jpg

Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru

PIA, SOMA:

 
Aende akapumzik tu maana hata mm sikua na mpango wa Kumpa kura yangu.

Nimepiga kura awamu ya 4 mara 2 na ya 5mara 2.

Awamu ya 6 sina kura ya kuchezea.
 
Aachie ngazi sasa hivi. Tuingie Kwenye Uchaguzi huru, Maana yeye ni zao la uchafuzi uliofanyika oct 2020.
 
Hata mwendazake aliwahi kusikika akisema hivo hivo, na pia aliendelea kusema kama angejua ugumu wa kuwa Rais basi asingekubali.

Ila awamu ya pili aligombania Urais kwa figisu, kubambikiza wapinzani kesi, kufunga jela, uongo, uonevu na kwa wizi wa hali ya juu.
 
Bora alivyojitambua kuwa hana mvuto tena na urais ni mzigo sasa umemshinda
 
Back
Top Bottom